Nimeona barua inasambaa Mtandaoni ikisema NECTA inaratibu zoezi la Kurekebisha Makosa ya majina kwenye vyeti vya Mwaka 2000-2023 kwa Malipo.
Barua hii inanipa mashaka sana, JamiiCheck nisaidieni kuhakiki.
Jamani naomba kuuliza! wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2023, lini majina ya kujiunga kidato cha tano yatatoka? Necta au wawakilishi wao watuambie lini?
NECTA na Morogoro Sec ni mtandao wa wezi kwa watahiniwa binafsi. Kujisajili kidato 4 kwa Sh. 160,000 ni kubwa.
Nani anapanga kikomo cha kulipia kwenye vituo vya kufanyia mitihani watahiniwa binafsi?.
Nimefika shule ya sekondari Morogoro kumsajili kijana wangu afanyie mtihani wake wa kuhitimu...
MAANDALIZI YA KUPATA KASUKU WAZURI.
interview ya kuingia tu watoto wanaweza kuwa elf 3 ila wataofuzu ni 100 tu, yaani mtoto kuingia tu hapo inabidi awe kipanga, tatizo ni kwamba hao vipanga wa darasa la saba wanaenda kugeuzwa kuwa kasuku.
KUTRAIN KASUKU
mfumo wao wa kutrain kasuku ni...
Kuna miaka waliandamana ati Dr Ndalichako alikuwa anaharibu matokeo ya vijana wao wenye dini. Sasa hivi yupo mtu wa upande wao lakini hali ni ileile.
Ni muda muafaka tuanze kutafuta suluhisho sahihi nje ya mihemko ya imani.
Matokeo ya Mitihani ya Upimaji Kitaifa kwa Wanafunzi wa Darasa la 4 na Kidato cha Pili iliyofanyika Oktoba na Novemba 2023 yameonesha Wanafunzi 147,837 (8.73%) wa Darasa la 4 hawakufanya Mtihani wa Upimaji ambapo Wasichana ni 60,835 (7.04%) na Wavulana ni 87,002 (10.50%).
Pia, Wanafunzi 257,396...
Tarehe 8/1/2024 shule zinafunguliwa, mpaka leo hii tarehe 05/01/2024 majibu bado mnakwama wapi? Hamjui kuwa kuna maandalizi?
Toeni matokeo mapema ili mzazi ajiandae kama mwanane anarudia anakwenda mbele.
Hata mwanafunzi mwenyewe kuna wakati anahitaji maandalizi pia.
Ndiyo. Habari ndiyo hiyo. NECTA imezifuta rasmi combinations za CBG na HGE.
Tafuta utaratibu mwingine kama ulikiwa unasoma hizo combinations.
Nimemaliza!
Kipindi cha kusubiri matokeo ya mitihani kwa shule za msingi na sekondari huwa ni mwezi 1-3. matokeo haya ndio uhamua mwanafunzi huyu aendelee na shule (kidato cha kwanza au kidato cha tano/vyuo vya ufundi) au atafute Maisha kwa namna nyingine. Ndani ya kipindi hiki (miezi 1-3) yamekuwepo...
Wewe Mtanzania ambae bado haujajuwa kwamba sasa hivi tunaishi kwenye zama za internet na kwa sasa dunia umebadili uelekeo wake utakuja kustuka ukiwa umechoka sana.
Unyanyapaa dhidi ya elimu.
1. Wasomi wana nyanyapaliwa.
2. Elimu ina nyanya paliwa.
3. Mifano inatolewa mingi kwamba ambao...
https://www.youtube.com/watch?v=S09urvRNEIg
JUMLA ya watahiniwa 1, 397, 370 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi utakaofanyika kesho Septemba 13 na 14 nchini kote.
Kati ya watahiniwa hao, 654,652 ni wavulana sawa na asilimia 46.85 na wasichana ni 742,718 sawa na asilimia...
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) imetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2023 huku yakionyesha ufaulu wa jumla umeongezeka kwa asilimia 0.26 ikilinganishwa na mwaka jana.
Akitangaza matokeo hayo leo Julai 12, 2023 katika ofisi za Baraza hilo Zanzibar, Katibu Mtendaji wa Necta Dk Said...
Maamuzi ya kuwa na mitihani ya usaili kwa walimu iliyotungwa, kusimamiwa na kusahihishwa na NECTA (Baraza la Mitihani) ni jambo linaloweza kuwa na faida nyingi kwa mfumo wa elimu. NECTA tayari inasimamia mitihani ya kidato cha nne na kidato cha sita nchini Tanzania, hivyo ina uzoefu na utaalamu...
Je, ulishawahi kutembelea tovuti gani ya taasisi ya kiserikali?Ni kweli kuna watu wako nyuma ya mifumo hiyo na wajibu wao ni kutufikishia huduma nzuri ya mtandaoni.
Inasikitisha wakati ambapo dunia inaendeshwa kwa njia za kisasa za mtandaoni lakini Platforms zilizo chini ya Serikali hazitoi...
Habari zenu waungwana, nina swali moja,
Hivi kwa mfano umesahau namba yako ya mtihani wa form 4 na unataka kujua matokeo yako kuna njia ya kuifaham hio namba na kupata kuyaona matokeo yako?
Sijui anaitwa msonde!? Ambaye ni naibu katibu Mkuu Tamisemi Ameelekeza kistopisha ufundishaji wanafunz wa kidato cha kwanza mwaka huu 2023 sababu kubwa ikiwa ni KKK.
Walimu Wakuu wote nchini wanatakiwa kutekeleza order ya mkubwa huyo.
Najiuliza hivi mauzauza haya yatakoma lini.
Badala ya...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania....na kazi iendelee. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada au hoja yangu kuhusu Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA) Kwa miaka mingi, nchi yetu imekuwa ikipitia mnyukano mkubwa katika swala la Elimu asa katika...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania....na kazi iendelee. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada au hoja yangu kuhusu Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA) Kwa miaka mingi, nchi yetu imekuwa ikipitia mnyukano mkubwa katika swala la Elimu asa katika...
Habari wakuu! Nimeona majadiliano mengi kuhusiana na maamuzi ya necta kutofanya Ranking!! Mm kwa utafiti wangu nitumie nafasi hii kuwapongeza necta kwa maamuzi haya! Kimsingi hayawezi kuwafurahisha wengine kwa sababu ni biashara zao! Hizi ni sababu ambazo zinanifanya niwapongeze necta kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.