wanakuja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Kwa sasa Wawekezaji wengi wanawekeza kwenye chakula na sio kwenye dhahabu. Tuwe waangalifu na mikataba ya kujifanya wanakuja kutufundisha

    Don’t miss: Gold has long been considered the ultimate safe-haven asset, but a growing number of investors are now turning to farmland for better returns and greater protection against inflation. See how farmland is becoming easier than ever to invest in. AgroTerra, founded in 2008, is a major...
  2. A

    DOKEZO Kuweni makini na utapeli nimepigwa milioni na ushee, matapeli wanakuja na njia mpya kila siku

    Kuna njia ya hii ya utapeli ambapo mtu anatengeneza urafiki na wewe kupitia mtandaoni. Kadri siku zinavyoenda mnatengeneza ukaribu na ka imani kanaanza kukuingia kiasi fulani kuwa umepata rafiki mzuri kutoka nchi jirani japokuwa wakati mwingine inaweza kuwa hapa hapa bongo. Sasa akishaona...
  3. mrdocumentor

    Wanakuja dhalili wanaondoka wakiwa Wafalme

    Katika maisha ya Mtanzania ambae anapenda mpira na anaufuatilia walau kwa asilimia 40 lazima atakuwa na upande kati ya Simba au Yanga, hizi ni timu zetu kubwa lakini hizi ni kama utamaduni kwetu pia, hicho ndicho hufanya watanzania wengi kuwa ni washabiki wa timu hizo. Jambo usilolifahamu...
  4. USSR

    Hongera Rais Samia, sasa wasafirishaji wa Kenya wanakuja Tanzania kununua mafuta

    Bei ya mafuta ya petrol nchini Kenya ni ksh 195.5 huku Tanzania ikiwa ksh 165 kwa pesa ya Kesha ikiwa ni pungufu kwa 30.5 ksh kwa Lita moja hii ni baada ya serikali ya Kenya kuongeza ushuru wa 8% kutoka ule wa 8% wa awali na kuwa 16% kwa Lita . Maeneo yote yanayopakana na Kenya kwa siku za hivi...
  5. Q

    DP World walifukuzwa Yemeni (Aden Port)

    Kwanini viongozi wetu hawataki kujifunza makosa ya nchi zingine zilizowahi kuingia mikataba ya aina hii na DP World. Mwaka 2008 Yemeni waliingia mkataba wa miaka 30 kwa bandari yao ya Aden Port na DPW na kusainiwa haraka haraka na rais wa wakati huo aliyekuwa anamaliza muda wake Rais Ali...
  6. Webabu

    Askari wa Ukraine awashangaa wapiganaji wa Wagner wasiorudi nyuma

    Moja ya askari wawili wa Ukraine aliyenusurika ameshangazwa na mbinu za kivita za Wagner,amesema wanapigana kama mazombi.Hata ukiwauwa unakuta wengine wanakuja kwa kasi wakikanyaga maiti za wenzao kama vile si watu ni mazombi. Hayo ni maelezo ya askari huyo kwa aliyoyaona siku alipokabiliana na...
  7. Action and Reaction

    VIPERS WALITARAJIA WANAKUJA KUCHEZA NA SIMBA TANZANIA NA SIO YANGA!

    Wajumbe mnajua kabisa Yanga ni timu isiyofahamika Africa ila Tanzania ndo inajulikana sana na wanajiita Mabingwa wa khistoria.... kiukweli Vipers wangefurahi sana kucheza na Simba SC Tanzania na sio timu kama Yanga ambayo hata robo fainili Caf hawaijui! Kinachoibeba Simba ni uzoefu wa kimataifa...
  8. JanguKamaJangu

    DAR: Wanaonunua mali za wizi kutoka kwa PANYA ROAD nao kuanza kusakwa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam, Amos Makalla amesema kuwa Operesheni ya kutokomeza Panya Road ni endelevu na bado inaendelea. RC Makalla amesema hayo wakati akizungumza kwenye kikao Maalum na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa ambapo amewatoa hofu Wananchi kuwa mji uko salama. "Kwa Panya road...
  9. TODAYS

    Kampuni ya Uswidi inaleta Mapinduzi Katika Usafiri wa Umma Nchini

    Wakati juhudi za kurahisisha huduma za uchukuzi wa umma wa kidijitali ukiongezeka kwa kasi duniani, kampuni ya Uswidi imeingia kwenye soko la Tanzania kuwezesha usafiri wa umma wa kisasa. Kampuni iitwayo EnrouteQ imeanzisha jukwaa la usafirishaji linaloruhusu muundo wa njia, shughuli za gari za...
  10. N

    Ushahid: TP Mazembe wanakuja full squad tarehe 19 hadi mfagia choo

    Simba walibaki na option 4 kuuu ,Horoya, mamelodi, al hilal, al ahly nTp mazembe Baada ya hao jamaa wa congo(MABINGWA MARA TANO AFRICA) kutangazwa kumezuka maneno ya MAMA J FC kwamba mazembe siyo kitu yaani zanaco ya KAPUMBU ni kali kuliko hao jamaa yakazuka mengine kamba tarehe 19 wana mechi...
  11. demigod

    Tarehe 19 Septembe TP Mazembe ana Mechi ya Ligi, Dar Wanakuja Kufanya Nini?

    Kama kawaida. Nabii Demigod niko Mjengoni na Swali jingine. Ratiba LigiKuu Congo yaani LinaFoot imetoka leo. Inaonyesha kuwa TP Mazembe wanamchezo wa Ligi katika siku hiyo.? Je Simba wanacheza na TP Mazembe ipi? Kwanini Viongozi wa Simba wanapenda kuwa hadaa sana mashabiki wa Simba? Maana...
  12. GENTAMYCINE

    Tukimaliza Kuicheka Simba SC Kufungwa na Kaizer Chiefs FC tusisahau kuwa nasi huku VPL tunaharibu na Azam FC hao wanakuja kutupita

    Kisaikolojia Kumcheka Adui yako Mkubwa kwa Kuanguka ( Kufeli ) Kwake huwa ni Jambo la Kawaida ila halijawahi kuwa Suluhisho la kumaliza Matatizo yako ya kudumu uliyonayo. Tunawacheka Simba SC kwa Kipigo cha Kufungwa Magoli Manne ( 4 ) na Kaizer Chiefs FC juzi ila tusijisahaulishe kuwa nasi huku...
  13. Meshacky Allyson

    Jinsi muonekano, sura na shape zilivyowaponza wengi na kupata wapenzi ambao wanakuja kujutia

    Hi Wanajamii, Kama title hapo unavyoiona kiukweli mimi pia ni muhanga wa hili jambo yaan kupagawa na muonekano wa pisi kali lkn baada ya kuingia ktk uhusiano kiukweli ni majutoo , vizinga kibao show mbovu , yaan unaaanza kujutaaa ..[emoji24] . Niliwahi kuwa na manzi tena ni mtoto mkali, pisi...
Back
Top Bottom