Tukimaliza Kuicheka Simba SC Kufungwa na Kaizer Chiefs FC tusisahau kuwa nasi huku VPL tunaharibu na Azam FC hao wanakuja kutupita

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,120
Kisaikolojia Kumcheka Adui yako Mkubwa kwa Kuanguka ( Kufeli ) Kwake huwa ni Jambo la Kawaida ila halijawahi kuwa Suluhisho la kumaliza Matatizo yako ya kudumu uliyonayo.

Tunawacheka Simba SC kwa Kipigo cha Kufungwa Magoli Manne ( 4 ) na Kaizer Chiefs FC juzi ila tusijisahaulishe kuwa nasi huku katika VPL tunazidi tu kuangusha Alama ( Points ) na sasa gape likiwa 12 Points na Azam FC nao wanakuja kwa Kasi nyuma yetu huku wakiitaka nafasi yetu ya Pili tunayoipigania.

Kuna Watu huenda Furaha yao Kubwa kwa Msimu huu ikawa ni ya Kushangilia tu Simba SC Kufungwa vile na Kaizer Chiefs FC ila huku katika VPL wataendelea kuiachia Simba SC itawale kwa Kuchukua Ubingwa na kule katika ASFC Timu bora zaidi yao ya Azam FC ikalibeba na Wao wakabaki tu na Kombe lao la Mapinduzi.

Ni kweli Simba SC Kimataifa juzi imefanya vibaya na Kufungwa vile ila Kiufundi baada ya Kucheza na Timu ile bora ya Kaizer Chiefs FC itakuwa imeongezeka Kiuimara hasa kwa Ligi yetu hii ya VPL na hata kule katika ASFC na hapa GENTAMYCINE nisifiche kuna Mtu ambaye leo anaicheka Simba SC kwa Kipigo ila hiyo tarehe 3 July, 2021 kwa Udhaifu ( Utopolo ) wa Kikosi chao naziona kati ya Goli 8 au 9 ambazo wanaenda Kufungwa na Simba SC.

Msisahau sasa gape ni 12 Points sawa?
 
Points 12 bila kucheza? cheza kwanza ndio uhesabu hayo ndio yamewaponza kwa Kaizer Chiefs
 
Back
Top Bottom