vpl

Vancouver Public Library (VPL) is the public library system for the city of Vancouver, British Columbia. In 2013, VPL had more than 6.9 million visits with patrons borrowing nearly 9.5 million items including: books, ebooks, CDs, DVDs, newspapers and magazines. Across 22 locations and online, VPL serves nearly 428,000 active members and is the third-largest public library system in Canada.

View More On Wikipedia.org
  1. mugah di matheo

    Unaishangaa TFF kwa viporo VPL? Chukua hii

    Ikiwa ya imebakia Masaa kadhaa kabla ya tarehe ya mwisho ya kufanya usajili wa timu zitakazo shiriki michuano ya Afrika msimu ujao ligi ya Misri Epl bado haijaisha na Wala bingwa na top 4 itakayoshiriki mashindanoo hayo bado haijulikani. Hivyo imezua sintofahamu ya timu zipi zinatashiriki...
  2. Greatest Of All Time

    Nani anastahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora VPL?

    Ligi ya VPL imemalizika jana, taja mchezaji anayestahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu!!
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Simba Sc Vs Namungo | VPL | Mkapa Stadium

    Mabingwa mara nne mfululizo leo wanakabidhiwa ndoo yao wakikipiga na Namungo FC. Hii ni katika mwendelezo wa kuchukua back to back 10
  4. Komeo Lachuma

    Wakati Simba wanatembeza Kombe la Ubingwa VPL, Sisi Yanga tunamtembeza Mzee Mpili kwa kutupatia ushindi dhidi ya Simba

    Mzee wangu aliwahi nambia vipaumbele vya Mzungu na Mswahili ni tofauti sana. Mzungu anawaza kuwa mwaka huu nataka nivumbue kitu fulani kiisaidie jamii mswahili anasema mwaka huu nikizikamata tu naoa mtoto mbichii. halafu mswahili atakaa kijiweni akilalamika kuwa mzungu anamhujumu. mzungu atakaa...
  5. kavulata

    Kusema ukweli VPL ni kama iliisha tarehe 3 Julai 2021 mbele ya Rais Samia

    Timu zetu 4 kufanikiwa kwenda kushiriki mashindano ya CAF msimu ujao ni kama vile yamemaliza kiu ya kuwa bingwa kwa msimu huu. Mshindi wa kwanza na wapili wa VPL hawana tofauti kubwa maana tofauti kati ya zawadi ya mashindi wa kwanza na pili hairushi roho washindi wa pili, ni ndogo sana...
  6. Ghazwat

    FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

    Naaaam..! Hujambo na Karibu kwenye Matangazo ya Habari za Michezo, Burudani na Uchambuzi. Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Jumamosi ya July 3, 2021, ambapo mchezo unaobeba hisia za mashabiki wengi Tanzania na nje ya Tanzania kati ya Watani wa Jadi, Kariakoo Derby...
  7. Chizi Maarifa

    FT: Yanga vs Mwadui (3-2) | VPL | Benjamin Mkapa

    Match kama ya leo itusaidie kupandisha wafungaji wetu wafikishe bao nyingi. Huyu kipa wa Mwadui tunamfahamu vizuri sana. Naomba tutumie nafasi hii kupata ushindi wa kishindo. =========== 21' Goaaal, Yanga wanauweka ubao sawa, Yanga 1-1 Mwadui 28' Yanga wanapata mpira wa adhabu ndogo nje...
  8. GENTAMYCINE

    Tukimaliza Kuicheka Simba SC Kufungwa na Kaizer Chiefs FC tusisahau kuwa nasi huku VPL tunaharibu na Azam FC hao wanakuja kutupita

    Kisaikolojia Kumcheka Adui yako Mkubwa kwa Kuanguka ( Kufeli ) Kwake huwa ni Jambo la Kawaida ila halijawahi kuwa Suluhisho la kumaliza Matatizo yako ya kudumu uliyonayo. Tunawacheka Simba SC kwa Kipigo cha Kufungwa Magoli Manne ( 4 ) na Kaizer Chiefs FC juzi ila tusijisahaulishe kuwa nasi huku...
  9. Replica

    FT: Namungo 0-0 Yanga | VPL | Majaliwa Stadium

    Ligi kuu Tanzania bara inaendelea leo kwenye mchezo ambao Namungo ya Lindi inaikaribisha Yanga Sc kutoka viunga Jangwani na Twiga. Mchezo huu unachezwa katika uwanja wa Majaliwa ulio mkoani Lindi. Magoli yote ya pande mbili bado yamenuna. ======= 00' Mwamuzi apuliza kipenga kuashiria mwanzo wa...
  10. luangalila

    TFF na Bodi ya Ligi, kesho Yanga isipoleta timu uwanjani fuateni sheria

    Kuna Taarifa zisizo rasmi zina zagaa eti ya kuwa katika mchezo wa kesho Namungo fc vs Yanga , eti yanga hawataleta timu kiwanjani kwa maana watagomea mchezo kushinikiza mnyama acheze kwanza viporo vyake . Kama watafanya hivyo basi TFF msipepese macho walaa msiruhusu mazungumzo nyie pigilieni...
  11. I

    Simba inaiogopa Yanga kuliko chochote kile

    Pamoja na kufanya vizuri kwenye champions league bado hofu ya Simba inabaki kwa Yanga kuliko timu yeyote ile, ukweli ndio huo na hili tunaliona haswa kupitia hata washabiki wake huku mitaani. Tofauti na Yanga, Yanga timu zote zipo kwenye level moja na kupewa heshima sawa na wote ila si kuhofia...
  12. 3llyEmma

    VPL: Tupange kikosi bora cha msimu 2020/2021

    Ikiwa Ligi kuu Tanzania Bara inaelekea ukingoni sio vibaya kuchambua AU Kutabiri ni wachezaji gani wanafaa kuunda KIKOSI BORA CHA MSIMU (VPL). Kuna wachezaji mbalimbali wamefanya vizuri na wanaendelea kufanya vzr kama Dube, Chama,MUKOKO, MKANDALA, Manula n.k. HAYA TWENDE > 1. Aishi MANULA 2...
  13. Utopologist

    It's official! VPL kupeleka timu 4 kimataifa msimu ujao 2021/22

    Hii ni baada ya jana Ahly Benghazi ya Libya kushindwa kufuzu kwenda 1/4 fainali ya CAF confederation cup
Back
Top Bottom