Waandishi wa Habari waliogombea Ubunge kupitia CCM 2020 waepukwe kama Ukoma, hawawezi kutenda haki

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,724
218,287
Hii ni Taarifa ninayoielekeza kwa CHADEMA, chama Pekee cha Upinzani Nchini Tanzania, kwamba 2020 kwenye ule ulioitwa Uchaguzi waandishi wengi wa habari wa vyombo vinavyoitwa binafsi, waligombea ubunge kupitia CCM , Huku wakiendelea kutumikia vyombo hivyo na wakiendelea kutangaza habari za uchaguzi ule kwa upendeleo wa wazi kabisa, sijui taaluma yao inaeleza nini kuhusu jambo kama hili.

Naweza kuthibitisha Majina machache ya Waandishi hao Mamluki ambao waligombea ubunge kupitia CCM, Mmojawapo yumo humu JF akiitwa Pascal Mayalla, huyu aligombea jimbo la Kawe na kuambulia kitita cha kura moja (Wajumbe noma), Mwingine ambaye pia niliwahi kusoma naye mahali fulani, akiitwa Abdala Baruani, huyu aligombea Ubunge Kigoma Mjini kupitia CCM na huku akijifanya kutenda haki kwenye utangazaji wake pale Azam media, huko anajulikana kama Baruani Muhuza, Sielewi sababu ya Vyombo vya habari vya Tanzania kuwaacha kazini watangazaji wao waliojinasbisha na CCM, huku vikijifanya kutenda haki.

Ni Muhimu sana kwa Chadema kuanzia sasa kuwatenga kabisa Waandishi wa Habari ambao wana vinasaba vya wazi na CCM, hawa ni wahujumu wa Demokrasia kwenye kitengo cha Upendeleo.

Nyongeza: Majina yote ya Waandishi wa Habari waliogombea Ubunge kupitia CCM 2020 na kuendelea kufanya kazi kwenye vyombo hivyo yataanikwa hapa hapa kwenye uzi, Erythrocyte au CIA anaendelea kuyachakata., Hakutakuwa na Mswalie Mtume.
 
Uzi huu ni mgumu sana , kama una roho nyepesi kaa kando , Majina yanayokuja yatakuweka mdomo wazi
Hili mbinu ya kisiasa ya kumg'oa muandishi nguli wa habari Salumu Mwalimu kwenye nafasii yake ndani ya Chadema kwa mgongo wa majina ya waandishi wa habari wengine iko wazi sana aisee.

Eee, ebu elezea kiufupi kinagaubaga, nyuma ya hili au alieanzisha na kuchochea kuwang'oa waandishi wa habari chamani pale chadema ni yule anaepewa backup na Magharibi au huyu wa kulamba Asali?

Na mnamuondoa muandishi wa habari Salumu Mwalimu kwa maslahi ya nani, kijana wa watu wala hanaga hata shida na mtu?

Huyu ata bila kumchafua angekubali tu kung'atuka kama shida ni hiyo nafasi yake
 
Hii ni Taarifa ninayoielekeza kwa CHADEMA , chama Pekee cha Upinzani Nchini Tanzania , kwamba 2020 kwenye ule ulioitwa Uchaguzi waandishi wengi wa habari wa vyombo vinavyoitwa binafsi , waligombea ubunge kupitia CCM , Huku wakiendelea kutumikia vyombo hivyo na wakiendelea kutangaza habari za uchaguzi ule kwa upendeleo wa wazi kabisa , sijui taaluma yao inaeleza nini kuhusu jambo kama hili .

Naweza kuthibitisha Majina machache ya Waandishi hao Mamluki ambao waligombea ubunge kupitia CCM, Mmojawapo yumo humu JF akiitwa Pascal Mayalla, huyu aligombea jimbo la Kawe na kuambulia kitita cha kura moja ( Wajumbe noma ), Mwingine ambaye pia niliwahi kusoma naye mahali fulani, akiitwa Abdala Baruani , huyu aligombea Ubunge Kigoma Mjini kupitia CCM na huku akijifanya kutenda haki kwenye utangazaji wake pale Azam media , huko anajulikana kama Baruani Muhuza, Sielewi sababu ya Vyombo vya habari vya Tanzania kuwaacha kazini watangazaji wao waliojinasbisha na CCM, huku vikijifanya kutenda haki .

Ni Muhimu sana kwa Chadema kuanzia sasa kuwatenga kabisa Waandishi wa Habari ambao wana vinasaba vya wazi na CCM, hawa ni wahujumu wa Demokrasia kwenye kitengo cha Upendeleo.

Nyongeza: Majina yote ya Waandishi wa Habari waliogombea Ubunge kupitia CCM 2020 na kuendelea kufanya kazi kwenye vyombo hivyo yataanikwa hapa hapa kwenye uzi , Erythrocyte au CIA anaendelea kuyachakata.
🤣 🤣 🤣 Duuuu wajumbe sio watu wazuri, jamaa aliambulia KITITA cha kura moko!!
 
Uzi huu ni mgumu sana , kama una roho nyepesi kaa kando , Majina yanayokuja yatakuweka mdomo wazi
Hili mbinu ya kisiasa ya kumg'oa muandishi nguli wa habari Salumu Mwalimu kwenye nafasii yake ndani ya Chadema kwa mgongo wa majina ya waandishi wa habari wengine iko wazi sana aisee......

Eee, ebu elezea kiufupi kinagaubaga, nyuma ya hili au alianzisha na kuchochea kuwang'oa waandishi wa habari chamani ni yule anaepewa backup na Magharibi au huyu wa kulamba Asali?

Na mnamuondoa muandishi wa habari Salumu Mwalimu kwa maslahi ya nani, kijana wa watu wala hanaga hata shida na mtu?
Huyu ata bila kumchafua angekubali tu kung'atuka kama shida ni hiyo nafasi yake
Tumia akili kufikiria, Salum Mwalim anakitumikia chombo gn cha hbr kwa sasa??
kwahiyo akitumia au asipotumia chombo taaluma yake alosomea ya uandishi habari wake unakoma right?
 
Yuko chombo gani cha habari ?
si chadema? Au sio chombo cha watoa taarifa hili?

na hao wako wengine kwan wapo chombo gani na gani.....

Yaani mnataka kumtoa kamanda Salumu Mwalimu kwenye nafasi yake kwa mgongo wa uandishi wa habari, kweli? hii si sawa hata kudogo....
Sijaipenda hii.....

Waandishi wa habari mko kwenye vita kali sana jihadharini sana hasa kwenye chombo cha watoa taarifa hawa waliowalenga waziwazi
 
Hili mbinu ya kisiasa ya kumg'oa muandishi nguli wa habari Salumu Mwalimu kwenye nafasii yake ndani ya Chadema kwa mgongo wa majina ya waandishi wa habari wengine iko wazi sana aisee......

Eee, ebu elezea kiufupi kinagaubaga, nyuma ya hili au alianzisha na kuchochea kuwang'oa waandishi wa habari chamani ni yule anaepewa backup na Magharibi au huyu wa kulamba Asali?

Na mnamuondoa muandishi wa habari Salumu Mwalimu kwa maslahi ya nani, kijana wa watu wala hanaga hata shida na mtu?
Huyu ata bila kumchafua angekubali tu kung'atuka kama shida ni hiyo nafasi yake

kwahiyo akitumia au asipotumia chombo taaluma yake alosomea ya uandishi habari wake unakoma right?
Una uelewa mdogo sana !
 
Raia wote wa Tanzania wana haki ya kuchagua, kuchaguliwa na kujiunga na chama chochote cha siasa, isipokuwa wale tu ambao sheria inawabana (mahakimu/majaji, wanajeshi,.....).
Hata hivyo, raia huyo akifanya upuuzi wa kukosa maadili na uraia mwema kama mwandishi kuandika habari ya upendeleo isiyo na mantiki, ahukumiwe kwayo tu na wala siyo hiyo haki yake msingi ya kiraia ya kugombea.
 
Raia wote wa Tanzania ana haki ya kuchagua, kuchaguliwa na kujiunga na chama chochote cha siasa, isipokuwa wale tu ambao sheria inawabana (mahakimu/majaji, wanajeshi,.....).
Hata hivyo, raia huyo akifanya upuuzi wa kukosa maadili na uraia mwema kama mwandishi kuandika habari ya upendeleo isiyo na mantiki, ahukumiwe kwayo tu na wala siyo hiyo haki yake msingi ya kiraia ya kugombea.
Walipaswa kung'atuka kwanza ndio wagombee
 
Mwingine ambaye pia niliwahi kusoma naye mahali fulani, akiitwa Abdala Baruani , huyu aligombea Ubunge Kigoma Mjini kupitia CCM na huku akijifanya kutenda haki kwenye utangazaji wake pale Azam media , huko anajulikana kama Baruani Muhuza, Sielewi sababu ya Vyombo vya habari vya Tanzania kuwaacha kazini watangazaji wao waliojinasbisha na CCM, huku vikijifanya kutenda haki .
Design ya Juu Ma Mkaa Mia
 
Hii ni Taarifa ninayoielekeza kwa CHADEMA , chama Pekee cha Upinzani Nchini Tanzania , kwamba 2020 kwenye ule ulioitwa Uchaguzi waandishi wengi wa habari wa vyombo vinavyoitwa binafsi , waligombea ubunge kupitia CCM , Huku wakiendelea kutumikia vyombo hivyo na wakiendelea kutangaza habari za uchaguzi ule kwa upendeleo wa wazi kabisa , sijui taaluma yao inaeleza nini kuhusu jambo kama hili .

Naweza kuthibitisha Majina machache ya Waandishi hao Mamluki ambao waligombea ubunge kupitia CCM, Mmojawapo yumo humu JF akiitwa Pascal Mayalla, huyu aligombea jimbo la Kawe na kuambulia kitita cha kura moja ( Wajumbe noma ), Mwingine ambaye pia niliwahi kusoma naye mahali fulani, akiitwa Abdala Baruani , huyu aligombea Ubunge Kigoma Mjini kupitia CCM na huku akijifanya kutenda haki kwenye utangazaji wake pale Azam media , huko anajulikana kama Baruani Muhuza, Sielewi sababu ya Vyombo vya habari vya Tanzania kuwaacha kazini watangazaji wao waliojinasbisha na CCM, huku vikijifanya kutenda haki .

Ni Muhimu sana kwa Chadema kuanzia sasa kuwatenga kabisa Waandishi wa Habari ambao wana vinasaba vya wazi na CCM, hawa ni wahujumu wa Demokrasia kwenye kitengo cha Upendeleo.

Nyongeza: Majina yote ya Waandishi wa Habari waliogombea Ubunge kupitia CCM 2020 na kuendelea kufanya kazi kwenye vyombo hivyo yataanikwa hapa hapa kwenye uzi , Erythrocyte au CIA anaendelea kuyachakata.
Mkutano wa leo umekwendaje?
 
Back
Top Bottom