vunjo

Central Kilimanjaro, or Central Chaga, is a Bantu language of Tanzania spoken by the Chaga people.
There are several dialects:
Moshi (Old Moshi, Mochi, Kimochi)
Uru
Mbokomu
Wuunjo (Wunjo, Vunjo, Kivunjo), including Kiruwa, Kilema, Mamba, Moramu (Marangu), MwikaMoshi is the language of the Chaga cultural capital, Moshi, and the prestige dialect of the Chaga languages.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Charles Kimei: Vunjo tunaanza upya. Katika awamu ya 5 kulikuwa hakuna ushirikiano na Serikali. Mrema na Mbatia hakuwaleta maendeleo Vunjo

    ..ni mahojiano na Dar24. Dkt. Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake. Lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dkt. Kimei pia ameituhumu Serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo. Nadhani Dkt. Kimei ana mushkeli kidogo ktk...
  2. M

    Yaani Kuzaana sana kwa Tumbili ndiyo kusababishe Njaa itakayokuja Jimboni Vunjo Mkoani Kilimanjaro?

    Tumeotesha miti mingi, lakini tatizo moja tumekaribisha tumbili na ngedere wakawa wamejaa kule ndio wanawahi kuvuna mahindi yetu kabla hatujavuna, kwa hiyo njaa itakayokuja kule kwetu itatokana na tumbili na ngedere. Wanazaliana hawana mpango wa uzazi, wanazaliana ovyo ovyo wamekuwa wengi sana...
  3. M

    Ishu nzito kama hii ya Magendo, Bangi, ulevi, dawa za kulevya Mbunge Dkt. Charles Kimei amechemka

    1. Ku address issue nzito kama hii ya magendo, ulevi, dawa za kelevya (narcotics) kwenye Bunge inahitaji umahili wa hali ya juu sio kutoa tu statements na kusema huu ni ukweli. Hapo Dr Kimei alitakiwa atoe matamshi yake kama "facts" zenye supporting data, yaani "facts and figures". Yeye kama...
  4. S

    Kimei aishukuru klabu ya Rotary Mwika kushiriki maendeleo vunjo

    Na Mwandishi Wetu Vunjo. Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei ameishukuru klabu ya Rotary ya Mwika kwa kujenga kivuko cha Koongo-Saghai kinachounganisha kata za Mwika Kusini na Mwika Kaskazini. Ujenzi wa kivuko hicho umegharimu shilingi milioni 10.5 fedha zilizotolewa na...
  5. Mwanamayu

    Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

    Yaani Mbunge wa Vunjo mwenye PhD anamwomba Waziri wa Ardhi awapatie Wachagga wa Vunjo ardhi kwingineko katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sababu ni ili walime kwani kwao wamegawana ardhi kwa mila zao na kujikuta na vipande vidogo sana ambavyo mtu hawezi kulima. Eti wamesongamana, si...
  6. Replica

    NEC yatangaza Uchaguzi mdogo kwenye Kata tatu

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imetangaza uchaguzi mdogo katika kata tatu za Nyahanga iliyopo mji wa Kahama mkoani Shinyanga, Igumbilo iliyopo Halmashauri ya manispaa ya Iringa mkoani Iringa na Kibosho kati ilipo halmashauri ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Kata husika zinafanya...
  7. Crocodiletooth

    Uchaguzi 2020 Wana Vunjo msifanye makosa mchagueni Kimei ana uwezo mkubwa wa kuwapeleka pazuri

    Alipoitoa crdb mpaka alipoifikisha mpaka anastaafu ni rekodi safi kabisa msifanye makosa hapa alikuwa anafafanua ni jinsi gani atawasaidia kuanzisha kiwanda cha kusindika ndizi ukizingatia zao hili ni zao lenye kuharibika mapema.
  8. C

    Uchaguzi 2020 Mrema na wanachama wa TLP wamlaki Magufuli Himo, awaombea kura wagombea wa CCM na kumzawadia Magufuli Mbuzi

    TLP leo imemlaki Magufuli katika eneo la Himo jimboni Vunjo. Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha TLP Mzee Agustino Lyatonga Mrema Akizungumza mara baada ya Rais kumpa nafasi ya kumuombea kura, Mrema amewaambia watu wa Himo na Vunjo kuwa kura zote kwa Rais Dk. John Pombe...
  9. F

    Uchaguzi 2020 Mrema (TLP), Mbatia (NCCR), Kimei (CCM) na Kiwelu (CHADEMA) wafanya kampeni za ubunge Vunjo (K'Njaro) kuwa zenye ushindani mkali kuwahi kutokea

    Mwaka 2020 utakumbukwa kama mwaka ulioshuhudia kampeni zenye ushindani mkubwa na msisimko wa aina yake katika jimbo la Vunjo Mkoani Kilimanjaro. Jimbo la Vunjo limekuwa kama jimbo la North East London huko Uingereza ambalo kila mwaka wa uchaguzi linabadilisha chama. Kinyang'anyiro hiki ambacho...
  10. NCCR Mageuzi

    Uchaguzi 2020 James Mbatia aitikisa Vunjo, maelfu ya wanachama wamiminika kumlaki

    Septemba 19, 2020 Viwanja vya Polisi Himo, Moshi mkoani Kilimanjaro viliwaka moto huku ikishuhudiwa maelfu ya wanachama wa chama cha NCCR-Mageuzi na wakaazi wa jimbo la Vunjo kutoka kila kona ya Moshi wakimiminika kwenye viwanja hivyo kumlaki na kumsindikiza mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi na Mgombea...
  11. Civilian Coin

    Uchaguzi 2020 James Mbatia (NCCR-Mageuzi) v Charles Kimei (CCM) - Jimbo la Vunjo

    NCCR Mageuzi Jimbo la Hai hawajasimamisha mgombea ili kumpisha Mwenyekiti wa CHADEMA na hivyo hivyo tunategemea CHADEMA wote wataelekeza nguvu zao zote kumpigia kura Mbunge James MBATIA kupitia NCCR MAGEUZI. Uongozi nikuachiana madaraka na kulindiana heshima #DON NALIMISON Simu Na. 0682 94 29 01.
Back
Top Bottom