MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,014
- 16,750
Tumeotesha miti mingi, lakini tatizo moja tumekaribisha tumbili na ngedere wakawa wamejaa kule ndio wanawahi kuvuna mahindi yetu kabla hatujavuna, kwa hiyo njaa itakayokuja kule kwetu itatokana na tumbili na ngedere. Wanazaliana hawana mpango wa uzazi, wanazaliana ovyo ovyo wamekuwa wengi sana, unakuwa unapika wakuja waningia ndani wanakula" Mhe.Charles Kimei - Mbunge wa Vunjo.
----------------------------------
Ngoja taratibu nianze kufanya Study Ndogo tu kwanini Professional akiingia tu katika Siasa za Tanzania automatically Uelewa wake na Akili zake zinakuwa hazipishani sana na asiyesoma kabisa au aliyeishia Darasa la Saba.