MSUMBIJI: Mitandao ya BBC na Reuters imeripoti kuwa zaidi ya Watu 90 wamefariki katika ajali ya Kivuko kinachodaiwa kilikuwa na takriban Watu 130 jirani na jimbo la Nampula, huku Watu 5 wakiokolewa
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na uongozi wa eneo hilo, imeeleza kuwa miongoni mwa waliopoteza...
Wasaaaalamu
Hali ya usafiri Kigamboni imekuwa mbaya sana wananchi wanahaha na kuhangaika,kwa sasa ni kivuko kimoja tu MV KAZI ndio kinatoa huduma hii inasababisha mrundikano wa raia wanaosubiri kupata huduma ya kivuko na kuleta kero kubwa sana
Mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote alietolea...
Leo Novemba 28, 2023 sisi Wakazi hasa wa Kigamboni tumepata changamoto ya Kivuko.
Yaani leo kivuko kinachofanya kazi ni MV Kazi tu, kingine wanasema ni kibovu, watu wanachelewa makazini, Azam ameleta kivuko kidogo kimoja nacho ni kama kinazidiwa kutokana na idadi ya watu wanaohitaji kuvuka...
Wakazi wa Kata ya Kitumbikwera katika manispaa ya Lindi, wameiomba Serikali kuharakisha matengenezo ya kivuko kilichopo katika eneo lao ili waendelee na shughuli za uzalishaji mali.
Kuharibika kwa kivuko cha MV Kitunda, kumesababisha wananchi hao kutumia boti zinazodaiwa si salama zenye...
Kivuko hicho muhimu kinaunganisha maeneo na Mjini na Vijijini.
Hiki hapa;
====
Wananchi katika Halmashauri ya Wilaya ya Momba mkoani Songwe wameunganishwa baada ya Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kukamilisha ujenzi wa kivuko cha waenda kwa miguu katika mto Nyamba chenye...
Nianze kwa kusema kuwa inawezekana matumizi sahihi ya tiketi zinazotumika katika Kivuko cha Busisi - Kigongo Ferry Mkoani Mwanza hayapo sawa au kuna watu wachache wanatengeneza mazingira ya kukosekana kwa usawa.
Kwanza kabisa Hakuna utaratibu wa ku scan tiketi kama ilivyokuwa zamani, wakati wa...
Muda huu niko kwenye kivuko, kuna mbaba wa makamo amejirusha kwenye kivuko cha Busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea na safari bila msaada wowote
R.I.P jamaa
Kuna kitu kinanishangaza kwenye utaratibu unaotumika kushusha na kupakia abiria na vyombo vya usafiri pale kivukoni feli.
Napenda utaratibu unaotumika wa kuanza kupakia magari kwanza na vyombo vingine vya usafiri kama baiskeli na pikipiki.
Lakini shida yangu linapokuja swala la kushusha hapa...
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Zamani wa Tanzania, Charles Kitwanga amesema “Tunachukua kivuko chetu, sijali kama ilinunuliwa kwa Bilioni 8 na inaendwa kutengenezwa kwa bilioni 7.5, tunashindwaje kuitengeneza sisi Watanzania hadi kupeleka Kenya.
“Tuangalie nani yupo nyuma wa huo mpango, inanipa...
Hii INSHU ya matengenezo ya Kivuko cha MV Magogoni ipoje? Inasemekana kuwa GHARAMA za matengenezo ni bil. 7.5 ilhali bei ya Kivuko kipya ni bil. 8🙄!
"SWALI" kuna ulazima gani wa kutengeneza kivuko kibovu badala ya kununua Kivuko kipya kama bei zinashabiana🤗?
Endapo kivuko kimenunuliwa mwaka 2008 je watu walikuwa wanavuka bure?
Kama hapana je hizo pesa mnazopata Kama nauli ya Mtu kuvuka katika kivuko Cha MV Magogoni Tangu 2008 hadi 2023 je hazitoshi kununua kivuko kipya na kukarabati kilichopo.
Mbona Mimi bodaboda naweza kuendesha bodaboda...
Kwenye manunuzi huwa hatuangalii bei peke yake labda uwe mwehu wa kutupwa! Kuna factors nyingi zinakua considered na mara nyingi price inakua ndio ya mwisho, mnaweza mka-negotiage price.
Sasa, tunaambiwa kuwa Kivuko kipelekwa Kenya kwenye ukarabati kwa Bei ya 7.5B kwakua wale competitors wa...
Kuna Dhana ilianza kupigiwa debe na Serikali ya kuwawezesha watanzania kunufaika na fursa zilizoko nchini ili kuchochea ajira na kukuza uchumi wa nchi yetu, Leo Bilioni 7.5 zinakwenda kunufaisha nchi jirani wakati angepewa Songoro Marine ambaye ni mtanzania fedha zingezunguka Tanzania.
Vijana...
Kwanini watanzania wengi wameshtuka kuhusu ukarabati wa kivuko cha MV Magogoni cha kwa gharama za Bilioni 7.5 kwenda kukarabatiwa nchini Kenya.
Lakini ukipitia Tovuti ya TEMESA kwenye eneo la Zabuni hakuna mahali ilipotangazwa zabuni ya kukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni.
Lakini nimepitia...
Wadau nawasabahi.
Nikiwa mlipa kodi pamoja na tozo mbalimbali najisikia uchungu sana kusikia kuwa Serikali inataka kukarabati kivuko cha Mv Magogoni kwa bil.7. wakati bei ya kuunda kivuko kipya ni kati ya bil.8.5 -9
Najiuliza kwanini ufanyike ukarabati?
Kwanini kisinunuliwe kivuko kipya...
Leo wakati navuka kutokea Kigamboni nimekutana na suala la kustaajabisha sana.
Viti na mapambo yamewekwa eneo la mbele kidogo ukishuka kwenye kivuko kutoka Kigamboni. Kulikuwa na kivuko chetu kimesimama kutoa huduma na leo ndio kuna sherehe ya kutia saini ili ukarabati uanze mara moja.
Kuna...
Naomba kwanza nikiri mimi ni mkazi wa Kigamboni ambaye karibu Kila siku ya Mungu natumia vivuko vya feri.
Najua sio mada mpya Sana hapa jukwaani wengine wengi wameshaijadili hapa lakini kwa msisitizo naleta hii mada tena nikiwa naamini JamiiForums ni jukwaa pana, mada za humu ndani zinasomwa na...
Pesa za umma zinaliwa huku wananchi wakiteswa na tozo.
==
Ujenzi wa kivuko cha Mv Kazi uligharimu Sh7.3 bilioni na kina uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22 sawa na jumla ya tani 170.
Kupitia Ukurasa wa twitter wa TEMESA wamesema Kivuko cha MV. KAZI kimerejea rasmi katika eneo la Magogoni...
Huwa naona watu ni wengi sana asubuhi saa 12 hadi saa 3 wakiwa tayari kuvuka kutoka Kigamboni kuja Ferry na Mv Magogoni ikijaza magari tu na watu wengi kubaki wakiwa wamefungiwa kama kuku kusubiri kivuko kiende na kurudi ndo kiwachukue, wagonjwa wanachelewa hospitali na wafanyakazi wanachelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.