repair

  1. R

    Vifaa vya umeme na electronic vya hospitali vinafanyiwa maintanance na repair wapi?

    Habari ndugu zangu kwa wale wanaofanya kazi kwenye vituo vya afya .je vifaa kama xray, ct scan ,ultrasound machine zinapoharibika huwa zinapelekwa wapi kufanyiwa matengenezo?
  2. Alfatonics

    Delivery service: Computer Maintenance and & Household appliances repair

    Alfatonics Electronics tumekuja na huduma ya "delivery" kwenye ufundi wa kompyuta na vifaa vya umeme majumbani Huduma hii mteja unaweza kufanya booking Kwa kupiga simu au kuchati na mhudumu wetu kupitia Whatsapp namba 0656586676 Huduma hii ni Kwa wateja wote wa maofisini na majumbani. Mteja...
  3. K

    Kama una simu yoyote mbovu inahitaji repair DM

    Nicheki dm kwa simu yoyote mbovu kama inahitaji software au hardware 1. Umesahau password 2. Simu yako imevunjika kioo 3. Unahitaji update kwa ajili ya simu yako 4. Matatizo ya network 5. Ulizi wa simu yako 6. Kuongeza storage iphone au android phone
  4. N

    Dell Inspiron Monitor repair

    Habari wakuu, Poleni na majukumu. Nimeangusha laptop yangu ya Dell Inspiron 5481 , x64 based pc na kioo kimepasuka. Nimejaribu consultation na fundi ananiambia kioo tu ni 350k hapo bado payment yake. Hio cost ni kubwa wazee ambao wanafahamu sehemu naeza rekebisha bila kupigwa ushauri please...
  5. mocoservices

    SOFTWARE Mobile Phones and Computers Services (MOCOS)

    MOCO Services ni Wabobezi wa kurekebisha vifaa vya mawasiliano SIMU na Kompyuta. Tupo Mkoani Mbeya, Mwanjelwa, Barabara ya Juakali. Tumejikita katika ufundi wa "hardware pamoja na software". Ofisi yetu inatumia vifaa vya na teknolojia ya kisasa ili kukidhi mahitaji na matarajio ya wateja wetu...
  6. Kalaga baho

    General machines maintainance and repair. Karibu tukuhudumie

    Based on Dar es salaam & Zanzibar. Generator Services, Refrigerator Services, Air conditioners Services, Electrical wiring, Washing machines services. For first & Reliable Services call us First. +255 693 797 110 Cc. Breeze Rabi
  7. FOX21

    Phone repair (programs & ma file ya kutengeneza simu)

    Salamu zangu ziwafikie wote walio jaliwa afya njema na pole kwa ndugu zangu wanao pitia wakati mgumu kiafya hasa wenye homa kali na mafua. Niende kwenye mada nisiwachoshe Sana ndugu zangu. Nimeamua rasmi kufanya kazi ya ufundi simu hii ni kutokana na hali ya kiuchumi kuwa tete kwa upande...
  8. Kaveli

    Ufa kwenye kioo cha gari (cracked windshield). Je, kuna repair ya uhakika?

    Jamaa yangu amepata crack (ufa) kwenye kioo cha mbele cha gari (windshield). Anasema inazidi kuongezeka (kurefuka) Je, kuna repair ya cracked windshield kwa uhakika? ama ni hamna namna tena? -Kaveli-
  9. mgt software

    Waziri wa Miundombinu unapigwa hela barabara Mwenge - Tegeta inayofanyiwa marekebisho Lugalo

    Wana jf, Waziri wa miundombinu kakague lami inayojengwa Lugalo jeshini, sehemu iliyomalizika ina mawimbi ya kufa mtu. Watanzania wa sasa tuko macho hatuibiwi kodi, Lami mbovu mno haitamaliza mwaka, waoondoeni au wairudie. Ushahidi nenda mkajionee msijesema hamkuona.
  10. kayanda01

    Mnaomiliki na kutumia Volkswagen 'chuma ya mjerumani' ni gereji zipi mnafanyia service & repair? Popote pale nchini

    Kwa kuzingatia viwango vya safety, stability, comfortability, inaonekana wazi kabisa kuwa watu wengi wanatamani sana kumiliki magari ya Ulaya. Lakini wanaogopa kuyamiliki kwasababu kuu tatu: - Uhaba wa mafundi/garage for European cars. - Uhaba wa spea (kupata spea ni shida, sometimes...
  11. Uzalendo Installer

    Computer repair and maintanance, malipo baada ya matengenezo

    Habari, Natoa huduma ya matengenezo ya computer (desktop na laptop) na malipo utatoa baada ya computer yako kufanya kazi. Kama kuna kifaa kitakuwa ni cha kununua, gharama ni juu yako. Kwa wale wanaohitaji kufungiwa CCTV cameras, watahudumiwa weekend tu. Napatikana kigamboni Dar. tuwasiliane...
  12. Mlenge

    Fahamu tafsiri ya neno Maintenance kwa lugha za kiafrika

    Maintenance. Actions performed to keep some machine or system functioning or in service. [wiktionary]. Tusichangananye maana na matengenezo Repair. To restore to good working order, fix, or improve damaged condition; to mend; to remedy. [wiktionary] Maintenance Kwa Kiswahili: ukarafati...
  13. Elon Mzebuluni

    RAM DDR3 4GB (SAMSUNG Made in Philippines)

    Niko Arusha Nauza Ram 4GB DDR3 (Samsung planet first,Made in philippines) kwa ajili ya Laptop iko poa kabisa katika hali nzuri na ifanya kazi poa kabisa bei ni Tsh.37000 maongezi yapo nicheki zaidi kwa biashara kwa namba 0767142928 call,SMS au WhatsApp. Karibu tufanye biashara
Back
Top Bottom