umerudi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lumbi9

    Umepotea miaka mitano umerudi leo unanilaumu!

    Mwaka ndio huo unayoyoma shukrani kwa mwenyezi, ila na vimbwanga navyo havikosekani. Mwaka 2018 niliachana na wanawake wawili niliokuwa na mahusiano nao kipindi hiko, mmoja alipotea tu ghafla ikawa kimya kila namba niliyopiga haikupatikana nilienda alipokuwa anaishi, hola! Kazini kwake, hola...
  2. Chachu Ombara

    Mgao wa Maji umerudi Dar?; Kunduchi-Mtongani wiki inaisha bila maji kutoka

    Salaam ndugu, Ni hatari kwa afya kumaliza wiki nzima bila kupata maji. Labda sijui walitangaza kutakuwa na mgao wa maji, lakini hakuna mgao unaokwenda mpaka wiki nzima bila maji kutoka. Tunajipa matumaini labda maji yatatoka usiku lakini wapi! Nilitegemea mvua nyingi zilizonyesha hivi karibuni...
  3. FRANCIS DA DON

    Hali inatisha, Kariakoo hakuna umeme, uchumi wa majenereta umerudi?

    Tunaomba taarifa TANESCO , nini kinaendelea =========================== Inaumiza sana
  4. mirindimo

    Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

    Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi. - Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha kutoridhishwa na gharama za ujenzi wa kibanda cha Mlinzi ambacho ujenzi wake ni Tsh. Milioni 11 “TAKUKURU...
  5. Tony254

    Uhusiano mzuri kati ya Kenya na Somalia umerudi

    Uhusiano mwema kati ya Kenya na Somalia umerudi. Kenya sasa itaruhusiwa kuexport miraa kelekea Somalia. KQ pia itaruhusiwa kuoperate Nairobi-Mogadishu route. ====== Somalia has allowed the resumption of miraa exports from Kenya and permitted Kenya Airways to start scheduled flights to...
  6. Mtu Asiyejulikana

    Wezi na Wizi wa Magari umerudi kwa kasi ya 5G ni wapi tunakosea?

    Ndani ya week 2 kuna gari tano (5) Zimeibwa Tabata, Gari Mbili zimeibwa Mlimani City. Moja ya Tabata imeibwa karibu kabisa na kituo cha Polisi. Mlimani City jamaa yangu kaibiwa Toyota Crown. Naambiwa pia Kimara kuna gari mbili zimeibwa moja ikiwa imepark nje Bar na nyingine Ndani. Naanza...
  7. Nyankurungu2020

    Bernard Membe kwa kuwa umerudi CCM na kujinasibu wewe una mikono safi basi rejesha bil 46 ulizokwapua kupitia ubalozi wa Libya

    Ripoti za ndani kabisa zinaonyesha kuwa hakuna kampuni yoyote ile iliyopokea mkopo wa bil 46 ili iweze kujenga kiwanda cha saruji huko Lindi. Ripoti za ndani zinaonyesha wewe ukiwa waziri wa nje ulifanya janjajanja na hizo pesa zikakwapuliwa na hata huyu muwekezaji Meis industries hakupata...
  8. kmbwembwe

    Je utaratibu wa Serikali kuwapangia wahitimu sekondari vyuo binafsi umerudi?

    Kwenye awamu ya nne elimu ilivurundwa sana hadi wahitimu wa form four kupangiwa chuo kikuu tena na kupewa mkopo kwa kisingizio cha kuandaa waalimu huku vigogo wakiwapangia jamaa zao ambao hata sifa hawana. Tulifikia mahali ambapo wahitimu form six walikua wanapangiwa vyuo vikuu binafsi kwanza...
  9. kmbwembwe

    Je, utaratibu wa Serikali kuwapangia wahitimu sekondari vyuo binafsi umerudi?

    Kwenye awamu ya nne elimu ilivurundwa sana hadi wahitimu wa form four kupangiwa chuo kikuu tena na kupewa mkopo kwa kisingizio cha kuandaa waalimu huku vigogo wakiwapangia jamaa zao ambao hata sifa hawana. Tulifikia mahali ambapo wahitimu form six walikua wanapangiwa vyuo vikuu binafsi kwanza...
  10. Nyankurungu2020

    Ufisadi na ubadhirifu kwenye halmashauri za miji umerudi kwa kasi. Pesa za umma zinatafunwa kama njugu

    Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa. Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa. Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini...
  11. Nyankurungu2020

    Uvuvi haramu umerudi kwa kasi kubwa Kanda ya Ziwa baada ya kifo cha Dkt. Magufuli

    Nilikuwa maeneo ya Nzera jimboni kwa Msukuma uvuvi haramu umetamalaki. Makokoro na nyavu zilizopigwa marufuku maarufu kama Timba ndio zinatumika. Nikaamua kuambaa ambaa mpaka mwambao wa ziwa wilaya Sengerema mwendo ni uleule. Kumbe usimamizi wa sheria za nchi hutegemea na mkuu wa nchi aliepo...
  12. JF Member

    Wizi umerudi kwa kasi tena. Vibaka ni wengi mtaani

    Usiku huu nimekuja kumtembelea rafiki yangu huku Msumi. Namkuta Yuko kwenye kikao Cha ulinzi kilichoitishwa kwa dharura jioni hii. Kumetokea wizi wa majumbani usiku kwa siku tatu mfululizo. Serikali na Jeshi la polisi chukueni hatua. Familia zaidi ya saba zimeibiwa majumbani usiku ndani ya...
  13. ndege JOHN

    Ujambazi ulianza kurudi. Je, umepotea tena?

    Alipoingia Rais mama Samia tukasikia matukio ya uhalifu yamerudi kwa kasi..sasa kwa kuwa hatuna takwimu halisi ba nyie ndo jamii mnaonaje huko matukio yameendelea kushamiri au kumetulia
Back
Top Bottom