wizi wa magari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JituMirabaMinne

    INAUZWA Kifaa cha kuzuia wizi wa Magari, Pikipiki na Bajaj. (Wireless Kill switch)

    Kwanza tuelewane. Kifaa hiki kinamzuia mtu asiweze kuwasha Chombo chako cha moto na kuondoka nacho unless akipakie au akikokote. Chombo chako cha moto ikinafungwa switch secretly na wewe unakuwa na remote control ya hiyo switch. Nipigie simu/Whatsapp 0621 221 606 au 0688 758 625. Kwa lugha...
  2. MR LINKO

    Akamatwa kwa wizi wa magari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam, Venance Ramadhani (36) kwa tuhuma za wizi wa gari aina ya Nissan Xtrail. Kukamatwa kwa gari hilo kulitokana na askari wa usalama barabarani walipokuwa wakifuatilia madeni ya faini za tozo la makosa ya...
  3. Mtu Asiyejulikana

    Wezi na Wizi wa Magari umerudi kwa kasi ya 5G ni wapi tunakosea?

    Ndani ya week 2 kuna gari tano (5) Zimeibwa Tabata, Gari Mbili zimeibwa Mlimani City. Moja ya Tabata imeibwa karibu kabisa na kituo cha Polisi. Mlimani City jamaa yangu kaibiwa Toyota Crown. Naambiwa pia Kimara kuna gari mbili zimeibwa moja ikiwa imepark nje Bar na nyingine Ndani. Naanza...
  4. JituMirabaMinne

    Teknolojia za wizi wa magari. Usiache kupitia hapa kujifunza.

    Uzi huu upo kwa ajili ya madhumuni ya kujifunza, Lengo ni utambue hatua za ziada za kuzifuata ili uweze kulinda gari lako. Zipo Tech nyingi ambazo zinatumika kwenye wizi wa magari, Hapa nazungumzia tech ambazo mtu anaweza kuwasha na kuondoka na gari lako kwa muda usiozidi dakika moja. Tech...
  5. JituMirabaMinne

    Teknolojia za wizi wa magari. Usiache kupitia hapa kujifunza

    Uzi huu upo kwa ajili ya madhumuni ya kujifunza, Lengo ni utambue hatua za ziada za kuzifuata ili uweze kulinda gari lako. Zipo Tech nyingi ambazo zinatumika kwenye wizi wa magari, Hapa nazungumzia tech ambazo mtu anaweza kuwasha na kuondoka na gari lako kwa muda usiozidi dakika moja. Tech...
  6. JituMirabaMinne

    Dhana ya watu wanaofunga GPS tracker kwenye magari kuhusika na wizi wa magari. Je, ni kweli au si kweli?

    Watu wengi huaminishana kwamba eti kwa sababu mtu fulani alikufungia GPS tracker kwenye gari basi mtu huyo anao uwezo wa kujua gari lako lipo wapi na hivyo anaweza kuja kuliiba. Kiukweli mimi nipo against na hii dhana. Naichukulia kama dhana ya mtu aisiyejua jinsi gos tracker zinavyofanya kazi...
  7. MTV MBONGO

    Huu wizi wa magari unaoongezeka. Wanatumia mbinu gani na wanawezaje kuyatumia bila kudakwa?

    Najiuliza sana, naambiwa IST na WISH zinalambwa kinyama. Wezi Hawa wanatumia mbinu gani kuiba kirahisi. Wanawezaje kuyauza kwa wengine au kuyatumia pasipo kadakwa Wakati nyaraka HALISI za gari hawana? Naomba kujuzwa ili tuwe macho na magari yetu.
  8. chizcom

    Kikundi cha wahalifu nchini Uingereza kinachojihusisha na wizi wa magari kwa kutumia kifaa cha michezo (game boy)

    Nchini Uingereza imeweza kuwa kamata wahalifu wanaojiusisha na wizi wa magari hasa yale magari yanayo tumia funguo za rimoti. vijana walio kamatwa ni Armer, 29, Bowes, 33, and Poulson, 31, baada ya kukutwa na gari aina ya Mitsubishi Outlander ambayo ilishakwisha tolewa ripoti ya kuibiwa usiku...
Back
Top Bottom