Makonda ni kada siyo mtumishi wa umma hastahili kusafishiwa njia na trafiki kwa kufunga barabara

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
Habari wadau

Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!

Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!

Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!

Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!

Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
 
Makoda ni kundi moja na Kigaila hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inatoa wapi?
Wamelipia..
 
Sisi tuliozaliwa ndani ya CCM huwa hatuoni baya hata akibebwa juu kwa kiti Cha ufalume maan ukishazaliwa huku lazima ukiwa bado kichanga lazima unywe maji ya rangi ya kijani ili kubadilisha mfumo wa akili kufanya kazi, kufikiri, na kutenda kinyume na mwanadamu kamili. Kwa hiyo tuacheni na makonda wetu, huyu ni mwenzetu nyie mliozaliwa nje ya CCM na kubaki na akili zenu za asili ya mwanadamu subirini mabadiliko siku Makonda akistaafu
 
Habari wadau

Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!

Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!

Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!

Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!

Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
Nchi hii tutasikia mengi na kuona mengi ya ajabu ajabu !!
Anataka kujilinganisha na wakubwa !
Naona ameanza kuyapima maji kwa miguu !!
Ngoja Tusubiri tuone !
 
Future president yaani
Hapo basi mfumo na kitengo utakuwa umejaa watumishi wengi wenye taaluma na majina ya kugushi. Yaani kila mtu anatambua uhalisia wa DAB kuwa ndiye PCM aliyegushi vyeti vya taaluma.

Sasa huyu ndiye ambaye kundi la baadhi ya vilaza linampigia upatu kuwa ni "presidential material"!? Hapo hakuna kitu, pengine ni kwa kundi la wajinga kutaka kujenga himaya yao ya wajinga na vilaza kuitwaa dola kupitia CCM.
Empty case!
 
Habari wadau

Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!

Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!

Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!

Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!

Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
NCHI YA HOVYO SANA KUNA SIKU MWENYEKITI WA MTAA ATAPIGIWA MIZINGA 21

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Habari wadau

Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!

Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!

Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!

Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!

Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
Nchi ya kiboya hii
 
Basi mfumo na kitengo utakuwa umejaa watumishi wengi wenye taaluma na majina ya kugushi. Yaani kila mtu anatambua uhalisia wa DAB ndiye PCM aliyegushi vyeti vya taaluma.

Sasa huyu ndiye ambaye kundi la baadhi ya vilaza linampigia upatu kuwa ni "presidential material"!? Hapo hakuna kitu, pengine ni kwa kundi la wajinga kutaka kujenga himaya yao ya wajinga na vilaza kuitwaa dola kupitia CCM.
Empty case!
Heheeeeee
Watu tunaona mambo tofauti mzee paul unaemuona yupo hivyo kuna watu wanamuona anastahili hasa kua rahisi
Kwa hizo shutuma unazompa ama anazopewa unadhani alistahili kupewa hata hio nafasi aliyopo?
 
tofautisheni chama dola na chama cha kawaida
huyu anazunguka kukagua aliyoyaahid kama yametelekezwa na selikali kupitia watumishi wake

ni haki yake
 
Back
Top Bottom