swala

  1. Kaka yake shetani

    Hivi kwanini likifika suala la kuzungumzia imani za dini zina makosa fulani watu ufahamu unapungua

    Tuna fahamu asili za dini zipotoka kuna vitu vilikuwa havipo ila tuna lazimishwa kuvitambua vitu vyao ambavyo sisi huku havipo. Mfano chakula kama tende, kitimoto, ngamia na n.k. NChi ya saudia dini ilipotokea ni jangwa na nguruwe kuishi jangwani ni ngumu zaidi ya ngamia. Kama hizi dini mbili...
  2. Mama Mwana

    Wanaume na suala la kuhonga

    Aloo, hivi unajisikiaje kuto kumspoil mpenzi wako au mkeo? yaani mmeona ni big deal kumhonga mkeo mpenzi wako? sawa anafanya kazi sasa kumsapoti kiasi nayo ni vita? wanaume wabahili wa JF mnachekesha sana, mimi nafanya kazi na hela yangu inatumika na sote wawili, kilichopungua baada ya yeye...
  3. L

    Iringa: Maria Ngoda aliyefungwa kwa kukutwa na nyama ya swala aachiwa huru na Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza. Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa...
  4. DR Mambo Jambo

    Shairi: Swala la Umeme na Bunge wahenga wanasema "Mwerevu akivuliwa Nguo hasimami Huchutama"

    Mwerevu akivuliwa Nguo hasimami Huchutama"(Mmetupunguza Ubongo,Mnatuchuza Hadharani) Achutama zivukapo, mwerevu zake 'zo Nguo, Kuinama aketipo, soniye ndio chaguo, Tena hata aitwapo, huitika kwa rudio, Mmetupunguza Bongo, mwatuchuza Hadharani. Mwatuchuza Hadharani, mmetupunguza Bongo, Wengine...
  5. Kipondo Cha ugoko

    Watanzania tumekosa mtetezi kwenye suala la umeme, sasa tunaangamia

    Ndicho nachoweza kusema, machozi ya Watanzania kuhusu kero mbalimbali kwa sasa hayana mtu wa kuyafuta. Sio watawala, sio wapinzani, sio taasisi za kidini Wala yeyote yule. Watanzania tunapigwa bakora za ukosefu wa maji ya uhakika,kupanda kwa gharama za maisha(sukari) kupanda kwa bei za vifurushi...
  6. Maleven

    BAKWATA naomba mtusaidie hili la matumizi ya speaker swala ya asubuhi

    Sasa kwa mfano hapa, wameshatoa azana kisha wameamua kuweka audio ya sheikh anazungumzia mambo ya ndoa ya ndani kabisa, kwa nature ya audio inaonekana kilikua cha wanawake tu tena watu wazima ila hapa imewekwa kwa nguvu kabisa1 asubuhi hii. Mbona misikiti mingine hawafanyi hivi? Mbona waislam...
  7. kibori nangai

    Hivi Dotto Biteko umeshindwa kabisa suala la umeme?

    Ndugu Dotto Mashaka Biteko Najua utakuwa kanda hii ya Ziwa maana jana ulikuwa Bukoba kwa wakatoliki. Nakuulizaa tuu umeshindwa kabisa hili swala la umeme samia SULUHU HASSANI Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wewe ulikuwa Serikalini Dr. Medrard Kalemani alikuwa waziri kwenye serikali...
  8. William Mshumbusi

    Swala la Phiri, Onana na Baleke nashauri Benchika achunguzwe. katumwa na waarabu aje kuiua Simba

    Kama maamuzi hayo ya kuwaacha Saidoo, Onana na Bocco kafanya Benchika basi yupo hapo Simba kuiua. Kama maamuzi hayo kafanya mo basi mpango wake ni kuiacha Simba mbovu kama aliyoikuta. Lengo ataeichukua aumize kichwa. Kama maamuzi kafanya try Again na Mangungo basi wametukomesha. Phiri kaja...
  9. Makamura

    Jeshi Linapaswa Kusimamia Ulinzi na Kulinda Usalama, suala la Maandamano Kauli ya Chalamila Inautata

    Jeshi La Ulinzi na Usalama ni kwaajili ya wananchi. Kauli ya Jeshi kufanya usafi baada ya tangazo la maandamano ni mara ya pili sasa, hii ni kwaajili kuwapa hofu wananchi katika kuandamana. Tunajua Maandamano yanamadhara yake makubwa lakini Jeshi la Ulinzi na Usalama tunaomba msimame kulinda...
  10. D

    Ingekuwa kama nchi zilizoendelea, hili swala la umeme lingetosha kabisa Rais kujiudhulu

    Umeme imekuwa kero sana hapa Tanzania kiasi biashara haziendi kama saloon, mboga kama nyama, samaki nk ambazo zinapaswa kutunzwa kwenye friji. Sijui kwa nini Rais Bado Yuko madarakani tena naskia eti anapewa hata PhD bila aibu kabisa. Na sisi watanzania jamani tuamke maandamano siyo dhambi...
  11. M

    Mwenye swala lolote kuhusu Technology ya AI

    Mwenye swala lolote katika maswali ya AI ili tuweze kushare knowledge
  12. Kigoma Region Tanzania

    Vitu kadhaa bado vinawatesa watu wa mkoa wa Kigoma, hili ni swala la Uraia

    Ni wakati wa kubadili mwelekeo kukomesha ubaguzi wa kimfumo, ni muhimu kwa nchi kupitisha "ajenda maalum ya mabadiliko ili kung'oa ubaguzi wa kimfumo juu ya ukiukaji wa haki za kibinaadamu, kiuchumi, kijamii, kitamaduni, kiraia na kisiasa unaowakabili watu wa asili ya mkoa wa Kigoma. Mijadala...
  13. FRANCIS DA DON

    Nchi hii ni bora ukutwe na madawa ya kulevya ila sio maini ya swala

    Haya , huyu nae kala miaka 20 Jela kwa kukutwa na maini ya Swala aliyoyanunua kwa shs.1,000/= Mwingine miaka 22 https://www.jamiiforums.com/threads/picha-ya-uso-wa-mtu-aliekata-tamaa-ya-kuishi-baada-ya-kuhukumiwa-miaka-22-jela.2155829/
  14. James Hadley Chase

    TLS kumsaidia aliyefungwa Miaka 22 kisa nyama ya Swala

    CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Kanda ya Iringa wameanzisha kampeni ya kumsaidia kisheria mjane Maria Emirio Ngoda aliyehukumiwa na Mahakama ya Mkoa wa Iringa kifungo cha miaka 22 kwa kosa la kukutwa na ndoo yenye vipande 12 vya nyama ya swala kinyume na sheria. Hukumu hiyo ilitolewa...
  15. T

    Suala la ukahaba ni matokeo ya wazi ya mifumo yetu ya maadili iliyomongo'nyoka

    Kamwe kuvunja danguro hakuwezi kutokomeza biashara ya ukahaba Tanzania, huu ni ukweli ulio dhahiri kabisa, jambo hili la kudanga lipo mioyoni mwa watu hata kama tukibomoa miundo mbinu ya watu bado tunahitaji kushughulika na ufahamu wa watu, mnabomoa madanguro wao watakuwa wanaranda barabarani...
  16. Carlos The Jackal

    Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

    Mijizi ya CAG mnaiacha inadunda mtaani mnakuja kumfunga Mwanamke ambaye hata hakujua ni nyama ya nini, mwanamke ambaye hata huyo swala hasingeweza kumkamata, mwanamke ambaye pengine yeye na Familia yake wanalala chini, mlo mmoja, kaletewa nyama ya mbuzi auze kumbe ni ni swala, yeye ni mkemia...
  17. DR HAYA LAND

    Kuwa mfupi au kuwa na mwonekano mbaya haimaniishi hautafanikiwa, endelea kujikubali na kujipa thamani

    Kuna jambo katika nchi yetu lipo mtu akijiona mfupi au kuwa mlemavu anaamini yeye safari yake ya MAISHA haitokuwa na MAFANIKIO hii sio Kweli ni upotovu. Katika MAISHA ili ufanikiwe unahitaji zaidi utimamu wa kiakili na kulivaa tumaini hata wakati Akili yako na Mwili vitakapokuwa havina Nguvu ya...
  18. Poppy Hatonn

    Chadema kinawasaliti Watanzania katika swala la bandari.

    Chadema ndio chama kikuu cha upinzani,but they are abdicating their responsibility. Ni kazi yao kuwakaribisha watu wote wanaoipinga serikali. Sasa inawakuwaje Sauti ya Watanganyika inawataka wadhamini mkutano wao,Chadema haitaki kuhusika? Siyo kila mtu anataka DP World wapewe bandari zetu...
  19. Stroke

    Suala la umeme naaamini Tanzania tunahujumiwa

    Naamini tunafanyiwa hujuma kwa sababu nishati ya umeme ni muhimu sana kwa ukuaji wa uchumi. Tanzania ina kila kitu cha kulifanya Taifa hili kuwa moja ya Mataifa makubwa kiuchumi baada ya Misri,South Africa na Nigeria lakini bado tupo nyuma. Hapa tulipo kiuchumi sio sehemu yetu tunapaswa kuwa...
  20. R

    Mlioko kwenye ndoa na watoto wenu wa nje, Mnalitatuaje hili swala?? Msaada jamani naombeni....

    Kuna Kaka yangu mmoja kutoka kwa Baba mkubwa alizaa na mwanamke mmoja miaka kama 12 hivi iliyopita. Ila hawakufanikiwa kuwa pamoja baada ya mtoto kufikisha miaka 4 mama yake alimleta kwa Baba yake na kumpa na kumwambia yeye anaolewa kapata Bwana mpya. Basi kaka yangu huyu akamchukua mtoto wake...
Back
Top Bottom