Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,698
- 40,967
Naamini tunafanyiwa hujuma kwa sababu nishati ya umeme ni muhimu sana kwa ukuaji wa uchumi.
Tanzania ina kila kitu cha kulifanya Taifa hili kuwa moja ya Mataifa makubwa kiuchumi baada ya Misri,South Africa na Nigeria lakini bado tupo nyuma.
Hapa tulipo kiuchumi sio sehemu yetu tunapaswa kuwa mbali zaidi.
Tutafikia huko tukiwa na umeme wa uhakika,
Ili tuzalishe.
Huwa najiuliza Taifa Kama Marekani linatafuta nini kwenye sekta yetu ya nishati.
Huwa wanapambana sana kuhakikisha makampuni yao yanafanya kazi katika sekta hiyo.
Ninaamini kabisa tunahujumiwa na mataifa fulani ili tusipate maendeleo.
Maana uhakika wa nishati ndio ukuaji wa uchumi.