Wanaume na suala la kuhonga

Mama Mwana

JF-Expert Member
Jun 6, 2023
1,206
3,876
Aloo, hivi unajisikiaje kuto kumspoil mpenzi wako au mkeo? yaani mmeona ni big deal kumhonga mkeo mpenzi wako? sawa anafanya kazi sasa kumsapoti kiasi nayo ni vita? wanaume wabahili wa JF mnachekesha sana, mimi nafanya kazi na hela yangu inatumika na sote wawili, kilichopungua baada ya yeye kuongeza ni jukumu langu kuchangia tunasaidiana maisha yaende.

Wanawake na wasichana wenzangu tafuteni kazi muepuke haya mashambulizi, japo nashangaa bado yaani kuninunulia dozen ya chupi kuhudumia sehem inyokutoa stress nako ni mbinde? wanaume wabahili kutoa ni moyo sio utajiri no wonder mnsalitiwa unamvumilia mtu unajua hana siku akipata pia hajiongezi usimpe kikubwa hata kidogo inaongeza credit fulani kwamba unajali nyie mnadhani kujali ni kunitelezeshea tu mtinyama wako? kama tunavyoshirikiana kitandani basi kwa ustawi wa uchumi wa penzi na ndoa yetu iwe hivohivo, mind you sikubaliani na mwanamke ambae hela yake haionekani hao ndio wabaya watuponzao wote.
 
aloo, hivi unajisikiaje kuto kumspoil mpenzi wako au mkeo? yan mmeona ni big deal kumhonga mkeo mpenzi wako? sawa anafanya kazi sasa kumsapot kias nayo ni vita? wanaume wabahili wa jf mnachekesha sana,mimi nafanya kaz na hela yangu inatumika na sote wawili, kilichopungua baada ya yeye kuongeza ni jukum langu kuchangia tunasaidiana maisha yaende,

wanawake na wasichana wenzangu tafuteni kaz muepuke haya mashambulizi, japo nashangaa bado yan kuninunulia dozen ya chupi kuhudumia sehem inyokutoa stress nako ni mbinde? wanaume wabahili kutoa ni moyo sio utajiri no wonder mnsalitiwa unamvumilia mtu unajua hana siku akipata pia hajiongez usimpe kikubwa hata kidogo inaongeza credit fulan kwamba unajali nyie mnadhani kujali ni kunitelezeshea tu mtinyama wako? kama tunavyoshirikiana kitandani bas kwa ustawi wa uchumi wa penzi na ndoa yetu iwe hivohivo mind you sikubaliani na mwanamke ambae hela yake haionekani hao ndio wabaya watuponzao wote
wanaume wabahili wa jf mnachekesha sana
 
Unajisumbua na hizi fake ID's za baadhi ya wanawake kuwa wanaume na vice versa.

Unajisumbua na kataa ndoa ambao tayari wana ndoa ila kucha kutwa kupiga kampeni humu.

team chaputa wanaongoza kula mbususu.

Huku mtaani tunatoa hela vizuri tu ila tatizo n humi, za kuambiwa changanya na zako.

Mzunguko wa maisha ni ule ule
 
Aloo, hivi unajisikiaje kuto kumspoil mpenzi wako au mkeo? yaani mmeona ni big deal kumhonga mkeo mpenzi wako? sawa anafanya kazi sasa kumsapoti kiasi nayo ni vita? wanaume wabahili wa JF mnachekesha sana, mimi nafanya kazi na hela yangu inatumika na sote wawili, kilichopungua baada ya yeye kuongeza ni jukumu langu kuchangia tunasaidiana maisha yaende.

Wanawake na wasichana wenzangu tafuteni kazi muepuke haya mashambulizi, japo nashangaa bado yaani kuninunulia dozen ya chupi kuhudumia sehem inyokutoa stress nako ni mbinde? wanaume wabahili kutoa ni moyo sio utajiri no wonder mnsalitiwa unamvumilia mtu unajua hana siku akipata pia hajiongezi usimpe kikubwa hata kidogo inaongeza credit fulani kwamba unajali nyie mnadhani kujali ni kunitelezeshea tu mtinyama wako? kama tunavyoshirikiana kitandani basi kwa ustawi wa uchumi wa penzi na ndoa yetu iwe hivohivo, mind you sikubaliani na mwanamke ambae hela yake haionekani hao ndio wabaya watuponzao wote.
Siku hizi mnauza miili kama malaya wa barabarani indirect kwa malipo ya pesa a.k.a kuhudumiwa

Sh. ngapi unauza ? Weka bei elekezi
 
Ubahili sio asili ya wanaume, wanaume tumeumbwa kutoa kuanzia shahawa hadi mali, vitu vyote tunavyotafta sio vyetu, ni vya wanawake na watoto.

Ubahili ni tabia mbaya, ni ubinafsi mkubwa sana mwanaume kua bahili na inaenda kinyume na asili ya uanaume.
waambie hao, mimi binafsi hela yangu inatumika na inaonekana kwanza sio utu wala tabia nzuri mtu unapata hela mwenzio anaminyana kuwahhdumia wewe unapata zako unazikalia hii ni dalili ya roho mbaya na choyo chako chako cha mwenzio cha wote hell no
 
Siku mnauza miili kama malaya wa barabarani indirect kwa malipo ya pesa a.k.a huduma

Sh. ngapi unauza ? Weka bei elekezi
yan ww kwamba huku nje sina wa kumpa mpaka nije kukuuzia wewe? anyway hata ningekua nauza sidhani kama ningekuuzia ww
 
Fanyeni kazi mjihudumie,

Nimegundua ukiachana na viongozi wasio na weredi kundi lingine linalosababisha kama nchi hatupigi hatua ni wanawake. Wanapenda vya kupewa kuliko kufanya kazi na kupata wanayohitaji kwa juhudi zao.

Wanawake wengi wanawaza kuishi nyumba nzuri, awe na gari nzuri, Simu nzuri, mavazi ya gharama n.k. Ila vyote hivyo anadhani atavipata kwa mwanaume, wengi hawana plan yoyote ya kupata hayo mahitaji kutoka kwenye juhudi zao, wanasubiri wahongwe.

Pesa ya mwanaume inamajukumu mengi sana, basi hiyo yakwenu ambayo haifahamiki inafanyaga nini muitumie kujitunza, ununue Simu yako, mavazi yako n.k ili mwanaume afanye vitu vya msingi
 
Back
Top Bottom