Iringa: Maria Ngoda aliyefungwa kwa kukutwa na nyama ya swala aachiwa huru na Mahakama Kuu

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,338
9,762
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.

Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.

Pia soma > Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

----
Ndugu zangu Watanzania,

Umoja wa wanawake wa CCM Tanzania chini ya uongozi wa Mheshimiwa mama marry chatanda kama mwenyekiti pamoja na katibu mkuu wake Mheshimiwa Jokate Mwegelo, imefanikiwa kumrejeshea tabasamu na furaha mama Maria wa Iringa ambaye alikuwa amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa madai kuwa alikutwa na nyama ya porini kinyume na sheria.

Leo februari 16 ndio ilikuwa siku ya hukumu baada ya umoja huo wa CCM kumkatia rufaa mama huyo mnyonge na aliyehitaji msaada wa hali na mali ambapo mahakama imetoa hukumu na kumuachia huru mama huyo mnyonge aliyetetewa na chama cha Mapinduzi kinachowajali, kuwatetea na kuwasemea wanyonge.

Hii ndio sababu ya CCM kuendelea kuwa kimbilio la wanyonge na kuendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo kila uchaguzi. Sasa unafikiri ni vipi mama huyu ambaye amebubujikwa machozi ya furaha baada ya kutolewa gerezani atashindwa kuipigia kura CCM?

Ni vipi ataacha kuiunga mkono CCM? Ni vipi ndugu, jamaa, marafiki na watoto wake wataacha kuipenda CCM iliyo mtetezi wa wanyonge?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Umoja wa wanawake wa CCM Tanzania chini ya uongozi wa Mheshimiwa mama marry chatanda kama mwenyekiti pamoja na katibu mkuu wake Mheshimiwa Jokate Mwegelo ,imefanikiwa kumrejeshea tabasamu na furaha mama Maria wa Iringa ambaye alikuwa amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa madai kuwa alikutwa na nyama ya porini kinyume na sheria.

Leo februari 16 ndio ilikuwa siku ya hukumu baada ya umoja huo wa CCM kumkatia furafaa mama huyo mnyonge na aliyehitaji msaada wa hali na mali.ambapo mahakama imetoa hukumu na kumuachia huru mama huyo mnyonge aliyetetewa na chama cha Mapinduzi kinachowajali ,kuwatetea na kuwasemea wanyonge.

Hii ndio sababu ya CCM Kuendelea kuwa kimbilio la wanyonge na kuendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo kila uchaguzi.sasa unafikiri ni vipi mama huyu ambaye amebubujikwa machozi ya furaha baada ya kutolewa gerezani atashindwa kuipigia kura CCM? Ni vipi ataacha kuiunga mkono CCM? Ni vipi ndugu ,jamaa , marafiki na watoto wake wataacha kuipenda CCM iliyo mtetezi wa wanyonge?
Tuna jua
Mahakama zote zina agizwa na Ccm na ndio hizo hizo zili hukumu Maria
Leo Ccm hao hao wana jisifu ati kaachiwa. Hovyooo
Halafu Ccm msitafute kiki za kijinga
Walio kata rufaa walikuwa ni TLS. Chama cha wana sheria Tanzania.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Umoja wa wanawake wa CCM Tanzania chini ya uongozi wa Mheshimiwa mama marry chatanda kama mwenyekiti pamoja na katibu mkuu wake Mheshimiwa Jokate Mwegelo, imefanikiwa kumrejeshea tabasamu na furaha mama Maria wa Iringa ambaye alikuwa amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa madai kuwa alikutwa na nyama ya porini kinyume na sheria.

Leo februari 16 ndio ilikuwa siku ya hukumu baada ya umoja huo wa CCM kumkatia rufaa mama huyo mnyonge na aliyehitaji msaada wa hali na mali ambapo mahakama imetoa hukumu na kumuachia huru mama huyo mnyonge aliyetetewa na chama cha Mapinduzi kinachowajali, kuwatetea na kuwasemea wanyonge.

Hii ndio sababu ya CCM kuendelea kuwa kimbilio la wanyonge na kuendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo kila uchaguzi. Sasa unafikiri ni vipi mama huyu ambaye amebubujikwa machozi ya furaha baada ya kutolewa gerezani atashindwa kuipigia kura CCM?

Ni vipi ataacha kuiunga mkono CCM? Ni vipi ndugu, jamaa, marafiki na watoto wake wataacha kuipenda CCM iliyo mtetezi wa wanyonge?
Tengeneza tatizo halafu litatue upate political milage. Makahama zote,mahakimu na majaji ni makada lialia wa CCM.
 
Tuna jua
Mahakama zote zina agizwa na Ccm na ndio hizo hizo zili hukumu Maria
Leo Ccm hao hao wana jisifu ati kaachiwa. Hovyooo
Halafu Ccm msitafute kiki za kijinga
Walio kata rufaa walikuwa ni TLS. Chama cha wana sheria Tanzania.
Naam; Walio kata rufaa walikuwa ni TLS. Chama cha wana sheria Tanzania.
Hicho chama cha Siasa(ccm) kimekwapua juhudi za Chama cha Wataalam wa Sheria Nchini (TLS)na kujivika Taji wasilostahili. Haipendezi kula jasho la wenzio kwa nguvu. Komaa na hali yako wewe sisiemu. :oops: :oops:
 
CCM Ni mtetezi wa wanyonge.hata wewe kama kuna mahali unaona kuwa umeonewa na umenyiwma haki yako basi lete kero yako ndani ya CCM ili usaidiwe kupata haki yako.
 
Hii ndio sababu ya CCM kuendelea kuwa kimbilio la wanyonge na kuendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo kila uchaguzi. Sasa unafikiri ni vipi mama huyu ambaye amebubujikwa machozi ya furaha baada ya kutolewa gerezani atashindwa kuipigia kura CCM?

Iliyohukumu mwanzo ni mahakama na iliyotoa hukumu ya kuachiwa huru kwa mama huyo ni mahakama...

Kinachomfanya mtuhumiwa aepuke kifungo ni hoja za utetezi na si vinginevyo...

Ukiisifia CCM kwenye hili, unaweka picha ya uwepo wa matumizi ya mlango wa nyuma kwenye maamuzi ya mahakama...
 
Naam; Walio kata rufaa walikuwa ni TLS. Chama cha wana sheria Tanzania.
Hicho chama cha Siasa(ccm) kimekwapua juhudi za Chama cha Wataalam wa Sheria Nchini (TLS)na kujivika Taji wasilostahili. Haipendezi kula jasho la wenzio kwa nguvu. Komaa na hali yako wewe sisiemu. :oops: :oops:
Acha wivu wako wewe. UWT mtetezi wa wanawake wanyonge na leo imerejesha tabasamu kwa mama Maria ngoda
 
Iliyohukumu mwanzo ni mahakama na iliyotoa hukumu ya kuachiwa huru kwa mama huyo ni mahakama...

Kinachomfanya mtuhumiwa aepuke kifungo ni hoja za utetezi na si vinginevyo...

Ukiisifia CCM kwenye hili, unaweka picha ya uwepo wa matumizi ya mlango wa nyuma kwenye maamuzi ya mahakama...
CCM Ndio iliyo mpigania na kuhakikisha kuwa mama wa watu mnyonge mama Maria anapata haki yake.

Ninyi nyumbu wa CHADEMA endeleeni kupiga makelele yenu wakati CCM ikiendelea kugusa maisha ya watu.
 
Mbona mwanzoni tulisikia na kusoma ni TLS sasa imekuwaje tena tunasikia CCM na UWT ?? Hebu nyoosha maneno hapo - msituchanganyie mafaili.
Siyo TLS bali Ni UWT ndio iliyo mpigania.kwani hao tls wangekuwa na nia ya kumtetea si wangemoatia msaada wa kisheria tangia awali?lakini alifungwa na akapata msaada wa kisheria pale UWT ilipopata taarifa hiyo na kuamua kumpigania mama huyo mnyonge.
 
Back
Top Bottom