Swala la Phiri, Onana na Baleke nashauri Benchika achunguzwe. katumwa na waarabu aje kuiua Simba

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Kama maamuzi hayo ya kuwaacha Saidoo, Onana na Bocco kafanya Benchika basi yupo hapo Simba kuiua.

Kama maamuzi hayo kafanya mo basi mpango wake ni kuiacha Simba mbovu kama aliyoikuta. Lengo ataeichukua aumize kichwa.

Kama maamuzi kafanya try Again na Mangungo basi wametukomesha.

Phiri kaja, kaonesha uwezo kafunga ila akawa anachezea benchi.

Baleke ndio top score. Leo wanapimwa uwezo mapinduzi bila muunganiko mzuri wa timu. Wote hao walifunga kwa muunganiko wa chama na kapombe kwa asist za maana...

Je wamewapimaje? Kulikuwa na saikolojia na utimamu wa akili?

Au walipimwa wakati wamezongwa na kesi, madai na visa na mikasa.

Kira la heri Moses Phiri simba tutakukumbuka sana.

Benchika hakuna atakalofanya zaidi ya kuua kilakitu.

Hiii hiii simba Wangempa Mgunda. Hela za kocha za benchika na usajili wakawapa wachezaji madai yao na motisha. Simba leo ingekuwa mbali mno.
 
Kipa angeaminiwa Ally Manula na Abel ,kocha Mgunda pesa zilizotumika kwa Benchika na Ayoub zingefanya mambo mengi TU mazuri ikiwemo kulipa wachezaji madeni Yao na kuleta morali ya team
Mi ni Yanga ila Simba hapa walipotea napenda tuwe tunachukua ubingwa huku tukipewa ushindani ulio imara na Simba
Parade halitanoga kama tutatangaza ubingwa kukiwa na mechi 4 mkononi
 
Kama maamuzi hayo ya kuwaacha Saidoo, Onana na Bocco kafanya Benchika basi yupo hapo Simba kuiua.

Kama maamuzi hayo kafanya mo basi mpango wake ni kuiacha Simba mbovu kama aliyoikuta. Lengo ataeichukua aumize kichwa.

Kama maamuzi kafanya try Again na Mangungo basi wametukomesha.

Phiri kaja, kaonesha uwezo kafunga ila akawa anachezea benchi.

Baleke ndio top score. Leo wanapimwa uwezo mapinduzi bila muunganiko mzuri wa timu. Wote hao walifunga kwa muunganiko wa chama na kapombe kwa asist za maana...

Je wamewapimaje? Kulikuwa na saikolojia na utimamu wa akili?

Au walipimwa wakati wamezongwa na kesi, madai na visa na mikasa.

Kira la heri Moses Phiri simba tutakukumbuka sana.

Benchika hakuna atakalofanya zaidi ya kuua kilakitu.

Hiii hiii simba Wangempa Mgunda. Hela za kocha za benchika na usajili wakawapa wachezaji madai yao na motisha. Simba leo ingekuwa mbali mno.
ukweli usemwe, phiri hana mpira, baleke zaidi ya kuwa hana nidhamu kabisa ila pia anakimbiakimbia tu huwa hatumii akili anatumia nguvu, onana alikuwa bado mchezaji mzuri. chama msimtupe, ataokotwa siku hiyohiyo na kwenda jangwani.
 
Onana kaondoka?
 
Kama maamuzi hayo ya kuwaacha Saidoo, Onana na Bocco kafanya Benchika basi yupo hapo Simba kuiua.

Kama maamuzi hayo kafanya mo basi mpango wake ni kuiacha Simba mbovu kama aliyoikuta. Lengo ataeichukua aumize kichwa.

Kama maamuzi kafanya try Again na Mangungo basi wametukomesha.

Phiri kaja, kaonesha uwezo kafunga ila akawa anachezea benchi.

Baleke ndio top score. Leo wanapimwa uwezo mapinduzi bila muunganiko mzuri wa timu. Wote hao walifunga kwa muunganiko wa chama na kapombe kwa asist za maana...

Je wamewapimaje? Kulikuwa na saikolojia na utimamu wa akili?

Au walipimwa wakati wamezongwa na kesi, madai na visa na mikasa.

Kira la heri Moses Phiri simba tutakukumbuka sana.

Benchika hakuna atakalofanya zaidi ya kuua kilakitu.

Hiii hiii simba Wangempa Mgunda. Hela za kocha za benchika na usajili wakawapa wachezaji madai yao na motisha. Simba leo ingekuwa mbali mno.
Umeandika nini wewe
 
Phiri alipata utetezi sana tangu enzi za Robertinho, lakini alipopewa nafasi bado alishindwa kuonyesha makali. Phiri simtetei kabisa, aachwe tu
Alinyimwa nafasi na kila akipewa alikuwa anascore. Na nani kaja na kiwango kuliko yeye. Au onana kwa goli zile mbili. Phiri kafunga ngapi?

Mchezaji anachezeshwa kwa shinikizo la washabkki kweli.
Na shida kuna mtu aliyebaki bora kuliko yeye.
 
Back
Top Bottom