sua

  1. Geza Ulole

    #COVID19 SUA rats to sniff COVID-19 infection

    RESEARCH in the employment of rats to sniff landmines, TB bacteria and other hidden pathogens will soon enable the Sokoine University of Agriculture (SUA) to field the rats to detect coronavirus infections. Dr Georges Mgode, a senior researcher and manager of the SUA-APOPO rat research...
  2. Analogia Malenga

    SUA: Panya wanaweza kutumika kubaini Corona na kupunguza gharama na maumivu

    Baada ya mafanikkio makubwa ya utafiti wa matumizi ya Panya kwenye kutambua mabomu na vimelea vya kifua kikuu na mambo mengine, Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha kilimo SUA wanasema kuna uwezekano mkubwa wa Panya hao kutumika kwenye kutambua maambukizi ya virusi vya Corona...
  3. L

    Ubora wa elimu unaotolewa SUA, UDOM na UDSM

    Habarini za muda wana jamvii kama kichwaa cha habari kinavo jieleza hapo juu kuna tofauti gani wa ubora wa Elimu unaotolewa chuo kikuu cha kilimo morogoro SUA na ile inayotolewa chuo kikuu cha Dodoma UDOM & UDSM hususan katika zile course za kilimo? Binafsi nina wanangu wanasoma course zinazo...
  4. Ushimen

    ABSA Bank Tanzania Jobs, March 2021- Lead Generator

    JOB TITLE: Lead Generator Location: Iringa General Stores Branch - ABT Job Summary Provide specialist advise and support for day-to-day work, in order to execute predefined objectives as per agreed standard operating procedures (SOPs). Selecting this role has a compensation & benefit impact in...
  5. Upepo wa Pesa

    Chuo cha Sokoine (SUA) chashika namba moja Tanzania (Citations)

    Moja kati ya kazi kuu za chuo chochote duniani ni TAFITI. Chuo chochote hapa duniani kitaonekana bora kama kina wana sayansi (academicians) bora walio tuliza akili na kuandaa tafiti na ku publish tafiti zao kwenye juornal za kitaifa na kimataifa! Kwa kuongoza kwenye citation ni ishara wazi...
  6. Dickson Edwin Mgaya

    Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine - SUA: Tahadhari juu ya ugonjwa wa Corona

    Kufuatia tahadhari zinazoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali za elimu ya juu Nchini ikiwemo Chuo kikuu cha Daressalaam (UDISM) na chuo kikuu Huria (OUT), Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) nacho kimewatahadharisha wanajumuiya wa taasisi hiyo kuchukua hatua stahiki za tahadhari dhidi ya...
  7. M

    Uongozi wa SUA wasababisha majonzi kwa wanafunzi wa ESM na BRD kwa kuwafutia boom la quarter two huku wakilazishwa kwenda field

    Uzi huu nimeamua kufikisha jamvin kwa lengo la kuonyesha njinsi Uongoz wa SUA unavyofanya mambo kwa kutokutafakari kwa kina kama Ifuatavyo; Hivi punde uongoz umechukua maamuz ya kuwafutia pesa ya boom wanafunzi wa Esm na Brd huku wakilazimishwa kwenda field mwez wa pili wakati idadi kubwa ya...
  8. Hot bird

    Serikali ifuatilie utendaji wa uongozi wa Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA)

    Wakuu habari zenu hapa ndani? Nimeandika uzi huu kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya taifa na ustawi wa jamii kwa ujumla, hii ni kutokana na ukweli kuwa taasisi nyingi za serikali zinaendeshwa kwa utendaji mbovu, sasa leo naandika machache kuhusu chuo cha kilimo cha sokoine (SUA), kilichopo...
  9. Clark boots

    Wale wote tuliosoma kilimo kutoka SUA na colleges mbalimbali tukutane hapa tupeane Connection za kazi/ajira

    Kama ni muhitimu wa mafunzo ya kilimo kuanzia Diploma mpaka Degree basi njoo hapa tupeane updates za ajira/kazi hata temporary term iwe serikalini, Taasisi za kiserikali, kampuni binafsi, Mashamba mbalimbali makubwa n.k KARIBUNI SANA VIJANA.
  10. M

    Wanafunzi tunaojiunga SUA invoice za malipo ya Tuition Fee na Accommodation zinapatikanaje / tunazipata wapi?

    Habari ya muda huu wanajukwaa! Naomba kufahamishwa / kuelekezwa namna ya kupata INVOICE kwa ajili ya kulipia ya Accommodation (makazi) na Tuition Fee (Ada) kwa chuo cha Sokoine University of Agriculture (SUA). Maelekezo yaliyopo kwenye Barua ya kukubaliwa kujiua chuo na yale yaliyopo kwenye...
  11. Evarm

    Second round call for applications for undergraduate programmes in the academic year 2020/2021 for SUA

    Habari zenu wakuu, Nimetumiwa hili tangazo ya kuwa SUA wameshafungua raundi ya pili ya application. Naomba tukumbushane ndugu zetu, tuombe kabla ya tarehe 18/10/2020. Nawasilisha.
  12. Clark boots

    Kuhitajika namba za NIDA wakati wa application SUA

    Wadau, wakati nafanya application SUA. Nimekutana na kipengele kinachohitaji namba ya NIDA.. Sasa kama hauna inakuwaje hapa.!!, kuna mtu yeyote kakutananacho hiki kipengele..?
  13. T

    Account za SUA mbona hazina comment

    Ndugu, mbona kwenye account za SUA hawajaweka comment kama mwombaji amepata au la?
  14. Clark boots

    Naomba kufahamu hii kozi kutoka SUA Biotechnology and laboratory sciences

    Kwa ambao wanasoma au wanaifahamu hii kozi kiundani inayotolewa pale SUA, inadili na nini hasa na upande wa matumizi yake.. Bachelor of science in Biotechnology and Laboratory sciences Nawakaribisha.
  15. Kididimo

    Tetesi: SUA: Prof Mstaafu afariki kwa tatizo la kushindwa kupumua! Ni Prof wa tatu kufariki ndani ya miezi miwili kwa tatizo kama hilo

    Taarifa hizi nimezipata kwa rafiki wa karibu aliyeko SUA. Sijawa na uhakika wa kutosha kuhusu chanzo hiki cha habari . Imenitia Uchungu kwa vile hawa walikuwa watu maarufu kitaaluma na waliotoa mchango kwa maendeleo ya uchumi nchini. Iweje taarifa zao zisisikike au kutangazwa na vyombo vikuu...
  16. Superbug

    Mzumbe na SUA Morogoro wa miaka yà 90-2000 mnamkumbuka Shayo Bichwa?

    Kwa waliosoma Mzumbe na SUA miaka ya nyuma watakuwa wanamjua huyu jamaa chek-bob. Wajihi wake Mrefu Mweupe Bichwa kubwa Sana lenye kipara Miwani juu ya kichwa Jinsi muda wote Makalio makubwa Huyu jamaa alikuwa ànapatikana kwenye Bar za Morogoro Mjini 24/7. Alikuwa mishen town na mtoto wa...
  17. Jamii Opportunities

    Postdoctoral Research Fellow in Bioinformatics (re-advertised) at SUA

    The Management of Sokoine University of Agriculture (SUA) wishes to invite suitably qualified individuals, who are able to work full time in a dynamic academic environment to apply for two (2) positionsat the SACIDS Africa Centre of Excellence for Infectious Diseases of Humans and Animals in...
  18. Jamii Opportunities

    Chief Technologist (re-advertised) at The Sokoine University of Agriculture (SUA)

    The Management of Sokoine University of Agriculture (SUA) wishes to invite suitably qualified individuals, who are able to work full time in a dynamic academic environment to apply for two (2) positionsat the SACIDS Africa Centre of Excellence for Infectious Diseases of Humans and Animals in...
  19. Jamii Opportunities

    Nafasi za kazi Sokoine University of Agriculture (SUA)

    Overview The Management of Sokoine University of Agriculture (SUA) wishes to invite suitable qualified individuals, who are able to work full time in a dynamic academic environment to apply for three (3) positions at the SACIDS Foundation for One Health. The Postdoctoral Research Fellow in...
  20. gango2

    Mbona ujenzi barabara Makongo juu wasua sua sana! JASCO shida nini!

    Takribani miezi 4 sasa imeisha toka ujenzi wa barabara hii ya makongo juu kuzinguliwa (November 1) lakini ujenzi wake umezidi kusua sua kiasi kwamba unatia mashaka kama kweli mradi huu upo au ni danganya toto. Miezi 4 sasa hakuna maendeleo yoyote yaliyofanyika na hata hii kampuni ya JASCO...
Back
Top Bottom