biotechnology

Biotechnology is the broad area of biology, involving living systems and organisms to develop or make products, or "any technological application that uses biological systems, living organisms, or derivatives thereof, to make or modify products or processes for specific use" (UN Convention on Biological Diversity, Art. 2). Depending on the tools and applications, it often overlaps with the (related) fields of molecular biology, bio-engineering, biomedical engineering, biomanufacturing, molecular engineering, etc.
For thousands of years, humankind has used biotechnology in agriculture, food production, the environment and medicine. The term is largely believed to have been coined in 1919 by Hungarian engineer Károly Ereky. In the late 20th and early 21st centuries, biotechnology has expanded to include new and diverse sciences such as genomics, recombinant gene techniques, applied immunology, and development of pharmaceutical therapies and diagnostic tests.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    Bachelor of Science in Molecular Biology and Biotechnology

    Habari wana JF, Naomba kujuwa maelezo zaidi ya kozi hii na fursa zake kwa ujumla.
  2. M

    Kutoka diploma ya biotechnology naweza kusoma bachelor ya course yoyote ya afya?

    Habari.... Naomba nisaidiwe kutoka diploma ya biotechnology naweza kusoma bachelor yoyote inayohusiana na afya? Naomba msaada wenu
  3. hermanthegreat

    Ushauri unahitajika; Kati ya Cyber security na Laboratory science in biotechnology

    Habari wanajf. Kuna rafiki yangu kachaguliwa kozi mbili vyuo vitatu, anaomba ushauri vipi a confirm. 1. Cyber security (Arusha) 2. Laboratory science in biotechnology (SUA na MUST) Msaada tafadhari , ipi Ina soko Sana ama Ina unafuu kwenye upatikanaji wa ajira
  4. Thread

    Aliyesoma Biotechnology anaweza kuchukua masters zipi?

    Habari, jqmani mtu aliyesoma degree ya biotechnology anaweza kusoma masters zipi akiamua kuendelea?
  5. Red Giant

    Kuna ubaya kumuongezea binadamu uwezo kwa kutumia biotechnology?

    Tumeona ufundi wa kibiolojia ukibadilisha mambo mengi sana. Tumepata ng'ombe wa kisasa wanaotoa maziwa na nyama nyingi. Tuna kuku wa kisasa wanaotaga sana na kutoa nyama kibao. Tuna miwa yenye sukari nyingi, nguruwe wakubwa. Aina mbalimbali za mbwa. Mimea inayostahimili ukame na magonjwa nk...
  6. Saint_Mwakyoma

    Changamoto kwenye mfumo wa ajira Tanzania kati ya Medical Laboratory Personel na Biotechnology and Laboratory Sciencies personel

    Naomba kuwasilisha uzi huu kwa mfumo wa maswali kwa wadau juu ya sakata hili; 1) Je, sehemu pakufanyia kazi ni tofauti? 2) Kwanini hospital nyingi zinakataa kuwapokea watu biotechnology and laboratory sciencies. 3) Je, leseni za watu wa biotechnology and laboratory sciencies zinapatikana...
  7. Clark boots

    Naomba kufahamu hii kozi kutoka SUA Biotechnology and laboratory sciences

    Kwa ambao wanasoma au wanaifahamu hii kozi kiundani inayotolewa pale SUA, inadili na nini hasa na upande wa matumizi yake.. Bachelor of science in Biotechnology and Laboratory sciences Nawakaribisha.
  8. Prof T Johannes Chacha

    Fahamu kuhusu kada ya Biotechnology (bioteknolojia) na majukumu ya wataalamu wa Bioteknolojia

    Thread starterDyf Start dateMonday at 5:51 PM Dyf Senior Member Monday at 5:51 PM Utangulizi Bioteknolojia ni aina ya teknolojia inayotumia elimu ya biolojia kwa manufaa ya binadamu. Ni teknolojia ya uvumbuzi wa mambo mbalimbali kwa manufaa ya binadamu, kwenye upande wa afya, kilimo...
  9. Prof T Johannes Chacha

    Uwezo wa wataalam wa Bioteknolojia na Microbiolojia

    Kuna mdau wa JF alisema hawawezi tengeneza dawa. Ok Nitaelekeza kwa mifano Hakuna pharmaceutical compound inayoweza tumika kwenye mwili bila kua na knowledge ya drug target (receptors, ligands, Au microbial cellular parts kama cell walls, plasma membrane, Nucleus, au nucleic acid target) na...
Back
Top Bottom