sua

  1. Kiplayer

    SUA ni muda muafaka jina libadilike

    Sababu kuu kwa sasa Chuo hiki kikuu Cha Kilimo Sokoine kina mchanganyiko wa kozi nyingi nje ya kilimo.
  2. robinson crusoe

    Waziri Mkenda, TCU, na wabunge saidieni wanafunzi wa SUA kuna shida ya maamuzi ya uongozi

    Tufahamishane kwamba, ni kweli takribani nusu ya wanafunzi wa SUA wameshindwa kuhitimu ktk mahafali ya mwezi Novemba 2023 kama ilivyo kawaida ya miaka yote, na wanatakiwa kurudia mitihani baada ya mwaka mzima wa kusubilia mitihani. Sababu kubwa ni maamuzi mabaya ya viongozi wa chuo. Waliamua...
  3. Djob Nkondo

    Kongamano la miaka 62 ya uhuru ya iliyokuwa Tanganyika SUA

    Baada ya kumaliza kula michembe na maziwa nimekaa zangu kwenye duka la Muha nikaona mdahalo unaoendelea muda huu kupitia TBC 1 ambapo wadau mbalimbali wanajadili masuala mbalimbali hususani uendeleshwaji wa kilimo kwa kileo wanaita uchumi wa blue. Kwa uelewa wangu mdogo nimeona na kujifunza...
  4. Chizi Maarifa

    Tetesi: Serikali haina pesa. Hali ni mbaya ya kusua sua baadhi ya Donors waanza kulalamika

    Baadhi ya donors wameanza kulalamika kuwa wanachangia pesa lakini hazitumiki vizuri. Zinatumika katika kusafiria na kulipana posho. Mnakumbuka pesa za kukubali uwepo wa Covid 19 na kupigwa chanjo? Tumezila sisi wakuu... Tumewana kwa namna mbalimbali. Inaumiza lakini unaona wenzako wanapiga...
  5. Faana

    SUA itendeeni Haki jamii ya Watanzania

    Sina nia mbaya wala lengo la kuwaharibia biashara zenu, ila ninyi kama taasisi kubwa nchini inayotumia resources nyingi kwenye tafiti mbalimbali za kilimo, hili la matunda yenu mmeshindwa kabisa. Mfano mmoja kati ya mingi ni haya maembe yenu ya kisasa utakuta kati ya maembe na mapera 10...
  6. BARD AI

    Mwanafunzi Mtanzania aliyefariki kwenye mapigano ya Israel na Hamas atunukiwa Shahada na Chuo cha SUA

    Jina la Clemence Mtenga, aliyefariki dunia nchini Israel, limetajwa kuwa miongoni mwa wahitimu katika mahafali ya 42 ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA). Wakati mahafali hayo yakifanyika hiyo jana, mwili wa Mtenga uliagwa usiku wa kuamkia jana mjini Tel Aviv, Israel na kushuhudiwa na...
  7. Wadiz

    Kuna Mzungu Mmoja anaishi kota za SUA Sokoine Campus Kilimo Street, anawaingilia wanaume kinyume na maumbile na jamii SUA inajua miaka mingi

    Wajibu wangu ni kupiga mbiu mamlaka timizeni wajibu wa kuilinda jamii. Mkisikia ushoga upo basi jamii underground wanayaona na kuyafunika kuna Tetesi zisizo na mashaka za miaka mingi, bodaboda na bajaji na wanajamii ya SUA wanajua hilo na wanashuhudia ugomvi wa mashoga ama wanaume kwenye makazi...
  8. Hot bird

    Hongereni uongozi wa SUA kwa kufuta kozi za fizikia

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano. Leo napenda kuupongeza uongozi wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA) kwa kufuta udahili wa kozi za shahada ya elimu zenye somo la fizikia. Wamefanya hivi baada ya kukosa wanataaluma wenye uwezo na weledi wa kufundisha kozi husika ijapokua...
  9. benzemah

    Panya wa SUA Wapata Majukumu Bandarini

    Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), imesema miongoni mwa njia wanazozitumia kudhibiti ujangili na utoroshwaji wa bidhaa zinazotokana na wanyamapori ni kukagua mizigo bandarini kwa kutumia panya wenye mafunzo maalumu kutoka Chuo cha Kilimo Sokoine (SUA). Kauli hiyo imetolewa na...
  10. displayname

    Serikali kutoitambua Shahada ya Maendeleo Vijijini (Bachelor of Rural Development) toka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoinie (SUA)

    BURUA YA WAZI KWA MKUU WA CHUO CHA KILIMO CHA SOKOINE (SUA) SERIKALI KUTO ITAMBUA SHAHADA YA MAENDELEO VIJIJINI (BACHELOR OF RURAL DEVELOPMENT) KATIKA AJIRA ZINAZOTOLEWA NA UTUMISHI WA UMMA KITENGO CHA SECRETARIET YA AJIRA TANGU SHAHADA HIYO ILIPO ANZISHWA MWAKA 2004. Kwako Mheshimiwa Mkuu wa...
  11. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 18.4 SUA Kujenga Chuo cha Kilimo Mkoa wa Katavi, Mpimbwe

    SHILINGI BILIONI 18.4 SUA KUJENGA CHUO CHA KILIMO KATAVI HALMASHAURI YA MPIMBWE Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi Mhe. Martha Festo Mariki ameuliza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Maswali yaliyojibiwa na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na...
  12. Stephano Mgendanyi

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi na SUA Kutekeleza Maagizo ya Rais Samia

    WIZARA YA MIFUGO & UVUVI, SUA ZATEKELEZA MAAGIZO YA RAIS SAMIA Kufuatia maelekezo aliyoyatoa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuitaka Wizara ya Mifugo na Uvuvi ishirikiane na Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) kuwawezesha vijana kujiajiri yaanza kutekelezwa baada ya pande hizo mbili...
  13. R

    Waziri wa Elimu, wasaidie Wanafunzi SUA mwaka wa Kwanza hawajapata fedha zao toka HESLB

    Prof. Mkenda wasaidie wanafunzi mwaka wa kwanza SUA wapate hela zao toka HESLB. Tangu wafungue muhula hawajapata fedha zao mpaka sasa. Hawana pa kwenda , mamlaka za chuo zinawazungusha bila kuwapa ukweli wa nini kinajiri.
  14. Hot bird

    DOKEZO TCU na TAKUKURU itazameni rushwa iliyotawala Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)

    Ninaandika mambo haya kwa masikitiko kutokana na mustakabali wa elimu ya nchi inavyoharibiwa na baadhi ya viongozi kutojali. Leo nitatoa habari za hali ya rushwa na kutojali ubora wa elimu iliyotawala SUA, hiki ni chuo kikuu kilichopo hapa Morogoro, chenye kampasi kuu Magadu na kitivo kingine...
  15. Roving Journalist

    Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

    Profesa wa Chuo Kikuu Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Mkoani Morogoro, Christopher Kasanga na mwenzake Linael Makundi mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Mandela mkoani hapo wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Morogoro kwa shtaka la madai ya Ugoni dhidi ya mlalamikaji Matrida Sigaret...
  16. B

    SUA wakijizatiti kwenye tafiti na uvumbuzi, kulikoni Law School?

    Imesikika repoti ya Dr. Mwakyembe akitaka kuiaminisha Dunia hii ya werevu ati kuwa sheria ni fani adhimu na special sana. Haijulikani ni kwenye lipi msomi huyu akilenga. Hawa hapa ni SUA wakikodolea ubingwa katika tafiti na uvumbuzi: Mkakati wa SUA kuwa kitovu cha utafiti, uvumbuzi Ma lawyer...
  17. Boss la DP World

    Wakati wenzetu wakiendelea na uvumbuzi wa AI, sisi tunakomaa kufundisha panya pale SUA

    Wakati wenzetu wakiendelea kuvumbua teknolojia mbalimbali ikiwemo akili ya bandia (Artificial Intelligence), wasomi wetu wa SUA wanakimbizana na panya eti kuwafundisha panya kubaini magonjwa na kugundua sehemu ambazo mabumu ya ardhini yametegwa. Kwa maoni yangu huu ni mtindio wa ubongo kwani...
  18. R

    Confirmation SUA

    Naomba ambaye amesha confirm SUA admission anisaidie how to do it. Naweka user name, PW to get into my inbox for joining instructions and confirmation vinakataa. Nawapigia simu anapokea mtu binafsi, kero tupu.
  19. N

    Mwanaspoti: George mpole darasa la saba 2005, sua 2010

    naaam niko hapa napitia mahojiano ya ya mpole na makanjanja ya mwanaspoti mambo ni bull bull
Back
Top Bottom