hatimaye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Hatimaye Malisa na Boniface Jackob waachiwa kwa dhamana

    Wawili hao wamewekwa mahabusu kwa masaa zaidi ya 40 kwa kosa linalodaiwa kuwa Uchochezi na kuzua Taharuki . Walikamatwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya RPC Muliro ambaye ndiye mlalamikaji Mkuu , bado haijafahamika siku ambayo watafikishwa Mahakamani PIA SOMA - Kamanda Muliro: Malisa GJ...
  2. Intelligent businessman

    Hatimaye nime mpata

    Ulikuwa wapi mbona ume chelewa??, I looked for you kila Kona ila siku ambulia kitu!!? I even asked majirani ila nao hawakuwa na jibu la kunipa, zaidi ya pole (damn). Sorry about that day, nawe uli zidi ujue, sometimes stick to my rules kwani mi ndo bread chaser. You know we are cool...
  3. Ngongo

    Hatimaye maigizo ya Makonda yamchosha Mama

    Yale maigizo ya Bashite ya kupanda mikokoteni,matrecta...... yamemchosha Mama wa Kizimkazi. Ni wazi kupitia mikutano yake iliyojaa maigizo na ulaghai uliopitiliza ameonekana ni vyema akapewa nafasi level ya mkoa akapambane na mama ntilie,kupokea mwenge na kupambana na waendesha bodaboda...
  4. MK254

    Hatimaye Putin akubali shambulio lilifanywa na magaidi wa kiislamu ila asema Ukraine ilihusika kiaina

    Japo hana ushahidi wa uhusika wa Ukraine, ila asema shambulizi lilifanywa na magaidi wa kiislamu lakini anahisi kuna namna Ukraine ilihusika sehemu......... Swali la msingi, Ukraine na waislamu wapi na wapi, yeye ndiye alianza kuchangamkia hao watu bila kujua ni mazombi ambayo hayaachi asili...
  5. BARD AI

    Msemaji Mkuu wa Serikali: Pato la kila Mtanzania ni Tsh. 3,048,681

    Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi, amesema Tanzania imeendelea kuwa katika kundi la Nchi zenye uchumi wa pato la kati, ikimaanisha pato la wastani la kila Mwanachi kwa mwaka (GNI per capital) ambapo mwaka 2019 ilikuwa dola 1,080 (Tsh. 2,743,813) lakini kwa mwaka 2022 ni dola 1,200 ( Tsh...
  6. N

    Hatimaye barua imefika Ikulu kwa Rais kuhusu balozi mteule Jen. Patrick Nyamvuba wa Rwanda nchini Tanzania

    Habari Ndugu zangu? Naitwa Lugete Mussa Lugete mchambuzi wa siasa za Kimataifa, Mwanahistoria na Mwanamajumui wa Afrika. Nachukua nafasi hii kuwapongeza wasomaji wangu wote kwa sababu Barua yangu kwa Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kuhusu Balozi mteule wa Rwanda nchini Tanzania Generali...
  7. JanguKamaJangu

    Hatimaye wazoaji taka wametimiza wajibu wao kwa kuzoa taka Mtaa wa Mzimuni - Kawe

    Yaani muda mfupi baada ya kuweka andiko langu hapa, jana hiyohiyo magari mawili ya kuzoa taka yalifika mtaani kwetu na kubeba taka zote zilizokuwa zimezagaa. Kumbe inawezekana, sasa walichokuwa wanasubiri ni nini? Wanataka hadi turipoti mitandaoni ndio hatua zinachukuliwa? Hii si sawa...
  8. ndege JOHN

    Ndege John nimejitafuta hatimaye nimejipata

    Hahahahahaha awali ya yote nianze kwanza Kwa kucheka kuashiria Kwa sasa niko na furaha muda wote baada ya kufanikisha mambo niliyoyawish kama ifuatavyo. 1. FLOW YA HELA Ni muda mrefu sasa akaunti yangu Inasoma pesa zaidi ya million 2 haijaisha ndani ya miezi miwili Kwa sababu nashinda Sana...
  9. Erythrocyte

    Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

    Hatimaye Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya fedha, Bwana Dotto James ameonekana hadharani baada ya kupotea kwa kipindi kirefu. Ameonekana huko Chato kwenye maadhimisho ya miaka 3 tangu kufariki kwa John Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania. Huyu hapa
  10. lord commander

    Nilijiona mjanja kumbe mjinga tu, hatimaye leo nimetapeliwa

    LEO BORN TOWN NIMETAPELIWA/NIMEIBIWA, SIJUI ILIKUWAJE, NIMEBAKI NAJICHEKA TU. Basi bhana leo jumapili ya tarehe 17-03-2024 nikaamka zangu maghetoni nikasema wacha nikanunue boxer kabwe, nikachukua zangu tsh 30,000/= nikaweka mfukoni nikabeba begi langu nimenunua juzi buku 23 nikaliweka...
  11. Financial Intelligence

    Hatimaye benki ya biashara ya NMB Tanzania yasaini hati ya mashirikiano na ZASCO

    === Hatimaye NMB wamesaini makubaliano ya miaka mitatu (3) ya ushirikiano na Kampuni ya Zao la Mwani Zanzibar (ZASCO) ikiwa ni hatua ya kuendeleza sekta ya kilimo cha mwani na kuleta maendeleo yenye tija kwa wakulima katika pwani ya Bahari ya Hindi (Tanzania Bara na Visiwani). Katika maeneo...
  12. Execute

    Hatimaye nimempenda mtu kwa kumaanisha na wazo la kuoa limekuja

    Miaka kadhaa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wamekuwa wakiulizia naoa lini lakini nikawa hata siwaelewi. Sasa kuna binti mmoja, miaka 25, mzuri, anajitambua na mpambanaji nimekutana naye na moyo umemridhia kwa dhati. Hatimaye sasa wazo la kuoa limekuja na niko tayari kuchukua binti huyu mzuri.
  13. Mad Max

    HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

    Wakuu. Mapenzi ya Watanzania kwa SUV pendwa Mazda CX-5 yanazidi kujionesha kwa Mtandao maarufu wa kuingiza Magari kutoka Japan kuiweka katika magari 10 yanayoingizwa sana Tanzania na kushika namba 4. Bado Subaru Forester, tako la Nyani na IST wako mbele yake ila inaonesha jinsi gari mwaka 2024...
  14. TAI DUME

    Hatimaye nimepata kazi kupitia JF

    Wadau Niliahidi hapa kwenye huu uzi wa Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa kwamba ikitokea nimepata sehemu ya kupiga kazi ningewajuza. Nachukiua nafasi hii kuwafahamisha kwamba nimefanikiwa/bahatika/barikiwa kupata kazi kutokana na connection ya mdau mmoja aliyepitia...
  15. Friedrich Nietzsche

    Hatimaye naoa

    "Wakuu naoa mimi 😂😂 Alooo 😂😂😂 Kwanza ncheke Naongea kwa utani kwasababu mimi nina masihara sana. Hadi sasa nina miaka 34. Wadogo zangu wote walishaoa. Umri wangu walishaoa. Kila naemjua alishaoa Nimesemwa sana aisee Wazazi walihisi sidindi daah. Ila nilikua sijapata mtu ambae hata wazo la...
  16. Tafakari_nami

    HATIMAYE SOMALIA KAWA MWANACHAMA RASMI WA EAC

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, sasa wanachama wa Jumuiya ya Umoja wa Afrika Mashariki idadi yao inakuwa inchi 8. Jumuiya inazidi kukua. Kama tungekuwa na hela moja ya Afrika Mashariki ingekuwa poa sana. Je nini maoni yako juu ya kukuwa kwa Jumuiya yetu ?!
  17. BARD AI

    Somalia imekuwa mwanachama Rasmi wa Jumuaiya ya Afrika Mashariki

    DIPLOMASIA: Nchi ya Somalia imekuwa Mwanachama kamili wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) baada ya kukamilisha hatua zote zilizohitajika ili kuweza kupata ridhaa ya kujiunga na jumuiya hiyo Sekretarieti ya EAC imechapisha taarifa inayoonesha Ujumbe wa Somalia ukikabidhiwa Hati yake ya...
  18. DR Mambo Jambo

    Hatimaye APHFTA na Hospitali Binafsi zote Warejesha huduma za HNIF Hospitalini

    Wizara ya Afya Tanzania wameupongeza Uongozi wa Bodi ya Wamiliki wa Vituo vya Afya binafsi (APHFTA) kwa hatua hii nzuri yenye kuleta matumaini katika kufikia suluhisho la changamito iliyojitokeza. "Sote ni wamoja, turudi kwenye majadiliano, huduma bora za afya ziendelee kutolewa kwa wananchi."...
  19. Tate Mkuu

    Hatimaye Maandamano ya CHADEMA Mkoani Mbeya leo Februari 20, 2024, yameleta faraja kubwa na kukata kiu ya kijana wetu Lucas Mwashambwa

    Nyinyi ndugu zangu humu jukwaani ni mashahidi. Kijana wetu leo ametulia sana humu jukwaani. Bila shaka alisafiri kutoka kwao Mbozi, mpaka Mbeya Mjini ili kwenda kuwaona Makamanda wa Chadema live! Yaani moyo wake utakuwa umesuuzika baada ya kuwaona Makamanda kama Lissu, Mbowe, na wengineo live...
  20. C

    Hatimaye nimempata anayenipenda, naye ananipenda! Aisee, love is a beautiful thing

    Aisee nimekamatika mpaka jana nikatoroka, na leo nimesingizia naumwa ili niwe nae nisiende ofisini. Mimi ni mchapakazi sana na mara ya nyingi ni wa mwisho kuondoka ofisi, lakini naona mapenzi yataenda kufanya kibarua chagu kiote nyasi Mahusiano haya yenye mwezi sasa yanazidi kunibadilishia...
Back
Top Bottom