Makamu mwenyekiti UWT CDE. Zainabu Shomari atoa salamu za upendo za Rais Dkt. Mwinyi kwa UWT

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
MAKAMU MWENYEKITI UWT CDE. ZAINABU SHOMARI ATOA SALAMU ZA UPENDO ZA RAIS DKT. MWINYI KWA UWT

Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndugu. Zainab Shomari akizungumza na Maelfu ya Wanawake waliojitokeza kwa wingi kwenye Kongamano la kumshukuru Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi CCM ya mwaka 2020 - 2025 katika kipindi cha miaka 3 akiwa madarakani (2021 - 2024)

Akizungumza na Wanawake hao, Ndugu. Zainabu ametoa salamu za Upendo kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
IMG-20240327-WA0249.jpg
IMG-20240327-WA0248.jpg

🗓️ 26 Machi, 2024
 
Back
Top Bottom