professional ethics

Senior Member
Dec 24, 2023
108
352
Wakuu habari za jioni.

Ni mimi kijana mzalendo wa taifa langu, pia mwanafunzi hapa mlimani , ndugu Wana jf nahitaji kuonana na MH: Daktari Samia Suluhu Hassan nipo na project proposal ya muhimu Sana ambayo itakwenda kuliokoa taifa hili na watu wote kwa ujumla.

Najua wengi mtanidhihaki Lakini naomba mnipe utaratibu jinsi ya kuonana na Dr. Samia Suluhu Hassan.

Sihitaji middlemen, mana naona watachelewesha kuifanyia kazi project hii.

Ni muhimu Sana document hii aipate, kama si hivyo nipeni mawasilianao ya waziri wa Elimu.
 
Ungeweka namba yako ya simu wasaidizi wake wangekufikia kwa sababu nina imani wanapitia sana JF
 
Huwezi onana na Rais bila kuweka wazi jambo lako, sina maana uweke hapa.. ila kwa hao wasaidizi wake na walinzi wake
Yule si mkuu wa shule kusema unaweza kutana nae utakavyo...

Ungehakikisha project yako iwe tayari kwenye kufanya kazi, so ingekuwa kama unaenda kuomba msaada baada ya kukwama, na si project ambayo bado ipo kwenye makaratasi

Point ni kwamba hiyo project kabla haijafika kwa Mama, tayari itakuwa mikononi mwa wengine, kubaliana na hilo
 
Wakuu habari za jioni.

Ni mimi kijana mzalendo wa taifa langu, pia mwanafunzi hapa mlimani , ndugu Wana jf nahitaji kuonana na MH: Daktari Samia Suluhu Hassan nipo na project proposal ya muhimu Sana ambayo itakwenda kuliokoa taifa hili na watu wote kwa ujumla.

Najua wengi mtanidhihaki Lakini naomba mnipe utaratibu jinsi ya kuonana na Dr. Samia Suluhu Hassan.

Sihitaji middlemen, mana naona watachelewesha kuifanyia kazi project hii.

Ni muhimu Sana document hii aipate, kama si hivyo nipeni mawasilianao ya waziri wa Elimu.
Nenda kwenye page zake... M inbox..
 
Weka email ama namba yako ya Simu...
 
Back
Top Bottom