Kijana mzalendo kuiburuza serikali mahakamani mkataba DP

Stuka

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
214
686
KUSUDIO LA KIJANA MZALENDO DAVID LEVI NKINDIKWA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI KUPINGA MKATABA WA
BANDARI.

Ndugu waandishi wa habari, leo tarehe 5/8/2023 nimewaita ili kuujulisha umma wa watanzania dhamira yangu ya kufungua kesi Mahakamani kupinga mkataba wa bandari kwenye baadhi ya vipengele na
nimesukumwa na mambo matatu.

(i) Mkataba huu nimeupinga hadharani mara kadhaa,
(ii) Mazingira yenye utata kuhusu mkataba wa IGA,
(iii) Kesi iliyofunguliwa Mbeya kuacha baadhi ya vipengele Muhimu.

1. MKATABA HUU NIMEUPINGA HADHARANI MARA KADHAA.

Mtambuka kuwa mimi binafsi kama kijana mzalendo tangu mkataba huu wa bandari uvuje kwenye mitandao ya Kijamii mwezi Juni 2023 nilitokea hadharani mara kadhaa kuupinga mkataba huu mbovu na sababu za
kuupinga nimekuwa nikiziweka bayana.

Ndugu wanahabari ninyi ni mashahidi nilifanya press kwa mara ya kwanza tarehe 18/6/2023 ikiwa ni siku nane tu baada ya Bunge kupitisha Makubaliano ya ushirikiano wa Kiuchumi katika kuendeleza, kuboresha,
kusimamia na kuendesha maeneo ya bandari nchini. Lakini bado nikazungumza tena katika press nyingine tarehe 11/7/2023, tarehe 20/7/2023 na tarehe 22/7/2023 ikiwa ni mwendelezo wa kupinga mkataba huo. Pia wananchi maeneo mbalimbali bila kujali kabila, dini na itikadi zao za kisiasa wameupinga mkataba huu. Pamoja na Maoni, ushauri na tahadhari zilizotolewa na wananchi kuhusukasoro za mkataba huu wa Bandari na kwa upande mwingine Serikali imekuwa ikiingia Mikataba Mibovu mara nyingi na kupelekea kushindwa
kesi katika Mahakama za usuluhishi za kimataifa na kusababisha taifa letu kulipa matrilioni ya shilingi kila mwaka, hata Mheshimiwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amekuwa akilalamikia mara kwa mara jambo hili.

2. MAZINGIRA YENYE UTATA KUHUSU MKATABA WA IGA

Kuna mazingira yenye utata mkubwa na yanayoibua hisia na maswali mengi kutoka hatua ya MoU, kusainiwa na kuridhiwa kwa mkataba huu wa Bandari, nitaongelea vipengele vitano kama ifuatavyo.

(a) Kampeni za wazi, Spika wa Bunge kuandaa ziara mwezi Februari 2023 ya wabunge 60 kutembelea maeneo ambayo DP World amewekeza na maeneo mengine Duniani ili kujifunza uwekezaji wa sekta binafsi
katika uendeshaji wa bandari. Zoezi hili lilifanyika wakati mkataba haujatangazwa wala kufahamika
kwa wananchi na wabunge wenyewe kinyume na Katiba nasheria za nchi yetu lakini pia ziara hiyo inatuhumiwa na wananchi kugubikwa na rushwa kubwa ili kulishawishi Bunge kuipa upendeleo Kampuni ya DP World.

(b) Baadhi ya Viongozi na watendaji wa Nafasi za juu serikalini kuondolewa kwenye Nafasi zao bila Maelezo yoyote akiwemo Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari, Eric Hamis aliondolewa tarehe 4/7/2022, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Katanga na Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa, Kamishna Diwani Athumani
ambao waliondolewa kwa pamoja tarehe 3/1/2023. Viongozi wote hawa waliondolewa ndani ya kipindi cha mchakato wa MoU na Kuridhiwa kwa mkataba huu na Bunge.

(c) Kuchukua kipindi kirefu cha miezi 8 kuingia Mkataba tangu kusainiwa MoU na katika kipindi hicho Serikali haikufanya tathmini wala feasibility study kujua mahitaji na manufaa ya mradi.

(d) Kutangaza kufanyia marekebisho ya Sheria ya Manunuzi na Sheria za Ulinzi wa Rasilimali kabla ya kuingia Mikataba ya HGAs baina ya TPA na DP World.

(e) Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Mbarawa na timu ya Serikali ya majadiliano kuendelea kutoa Ufafanuzi wa Mkataba wa IGA badala ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Jaji Dk. Eliezer Mbuki Feleshi na
Baba wa Mikataba na Baba Negotiation, Mhe. Profesa Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi.
Viongozi hawa wamekaa kimya badala ya kujitokeza hadharani wawaeleze watanzania ukimya wao unasukumwa na nini.

3. KESI ILIYOFUNGULIWA MBEYA KUACHA BAADHI YA VIPENGELE MUHIMU

Ndugu Waandishi wa Habari, kwamujibu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 27 (1) na (2) inamtaka kila mtanzania Kulinda Mali ya Umma, naomba kunukuu.

“Kila Mtu ana wajibu wa kulinda mali asili ya Jamhuri ya Muungano, mali ya mamlaka ya nchi na mali yote inayomilikiwa kwa pamoja na wananchi na pia kuiheshimu mali ya mtu mwingine, watu wote
watatakiwa na Sheria kutunza vizuri mali ya mamlaka ya nchi na ya pamoja, kupiga vita aina zote za uharibifu na ubadhirifu, na kuendesha uchumi wa taifa kwa makini kama watu ambao ndio waaamuzi wa hali ya
baadaye ya Taifa lao” Mwisho wa kunukuu

Natambua kuwa watanzania wenzetu wazalendo wamefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya wakiwasilisha maombi matano (5) kupinga mkataba huu na mimi binafsi nawapongeza sana kwa uamuzi huo
wa kizalendo, lakini nilivyosoma maombi yao Mahakamani nimeona bado kuna maeneo ambayo hayakujumuishwa kwenye kesi zilizofunguliwa kuhusu mkataba wa Bandari, nami nimeamua kufungua
kesi Mahakamani kupinga baadhi ya vipengele vingine vya mkataba huo.

4. MAENEO NINAYOFUNGULIA KESI

Pamoja na kesi iliyofunguliwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya kupinga mkataba huu bado yapo maeneo mengi ambayo hayajafunguliwa kesi ili kuiomba Mahakama kutoa tafsiri sahihi ambapo mimi
nimekusudia kuwasilisha Mahakamani vipengele viwili kama ifuatavyo:-

(i) IGA kutumika kuipatia kazi Kampuni ya DP World Mkataba wa IGA ulioingiwa baina ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai umetumika kuipatia kazi Kampuni DP World katika Bandari za Bahari, Maziwa Makuu, Bandari Kavu, Maeneo Huru ya Kiuchumi na miundombinu wezeshi ambapo maeneo haya yako chini ya Mamlaka ya
Bandari Tanzania (TPA) na mamlaka zingine za Serikali. Kitendo cha Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa kuingia mkataba huu ni kinyume na Ibara ya 34 (5) ya Katiba ya Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania ambayo imepiga marufuku Rais kunyang’anya madaraka ambayo si yake, ambayo Bunge limetoa kwa Mamlaka nyingine. Rais hakuwa na mamlaka ya kutoa ruhusa kwa Waziri
Mbarawa kuingia mkataba wa IGA. Hapa amevunja Katiba ya nchi.

Pia uamuzi huo umekwenda kinyume na Kifungu cha 5 na Kifungu 12 (d) na (e) cha Sheria ya Bandari Na. 17 ya Mwaka 2004 ambavyo vinatoa mamlaka yote inayohusiana na masuala ya bandari kwa TPA. Hivyo
Mkataba wa IGA umeingilia mamlaka ya TPA iliyokabidhiwa kisheria. Mkataba huu ulitakiwa uwe wa kibishara kati ya TPA na DPW kama walivyosaini Makubaliano ya awali MoU tu na sio Mkataba wa nchi na
nchi. MoU ilizungumzia mahusiano ya Kibiashara baina ya TPA na DP World iliwezekana vipi kuzaa mkataba wa IGA?

(ii) Mkataba wa IGA kutosainiwa kikamilifu Mkataba wa IGA kutokusainiwa kikamilifu kinyume cha Sheria ya
Mikataba Sura ya 345 na Sheria za Kimataifa ambazo zinataka mikataba kuwa baina ya watu au mamlaka zenye nguvu kisheria na kusainiwa na watu waliopewa mamlaka kamili. Maeneo yenye mapungufu nikama
ifuatavyo:-

(a) Power Of Attoney iliyompa mamlaka Profesa Mbarawa kusaini kwa
niaba ya Tanzania imekosewa kwani Rais wa Tanzania hana mamlaka na
Serikali ya Dubai,

(b) Aliyemshuhudia Waziri Prof. Makame Mbarawa anayedaiwa kuwa ni
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi haijulikani mamlaka
iliyomteua kufanya jukumu hilo, lakini pia ameficha jina lake,

(c) Eneo la kusaini anayedaiwa ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na
Uchukuzi kuna saini mbili moja ya wino wa kijani na nyingine ya wino
wa bluu, hali inayoonyesha kuwa kulikuwa na kughushi saini,

(d) Kwa upande wa Dubai aliyesaini Mamlaka iliyomteua, H.E Ahmed
Mahboob Musabih ameficha jina na ameficha cheo chake,

(e) Shahidi aliyemhuhudia huyo H.E Mahboob ameficha jina na ameficha
cheo chake.

5. HITIMISHO

Tayari hadi sasa Jopo la Mawakili wangu wamekamilisha maandalizi yote ya Kesi na kwamba siku ya Jumatatu naiburuza rasmi Serikali Mahakamani kuhusiana na vipengele hivyo nilivyovitaja.
Niwaombe watanzania tuendelee kushikamana kutetea rasilimali zetu na kamwe tusikubali kugawanyishwa na mtu au kikundi cha watu kwa misingi ya dini, itikadi za Siasa, jinsia, makabila wala ubara na uzanzibari bali tusimame imara kupinga vipengele vya mkataba huu ili taifa liweze kunufaika na mali asili zake ilizojaliwa na Mwenyezi Mungu.

Hata ziara zinazofanywa nchi nzima na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Daniel Chongolo na makada wengine wa CCM na baadhi ya Viongozi wa Serikali kupigia upatu mkataba huu unaolaaniwa na kila
mtanzania zimeacha maswali mengi sana kwa watanzania. Leo hii nchi inashuhudia kilio kikubwa cha uhaba wa nishati ya mafuta na kupanda bei ya nishati hiyo ambapo ndani ya kipindi kifupi cha kutoka
Juni bei ya nishati ya mafuta imeongezeka kwa zaidi ya shilingi 400 kwa lita na maeneo mengine lita moja inauzwa zaidi ya shilingi 5,000 ambapo imepelekea bidhaa zote kupanda bei, gharama za usafiri na usafishaji
kuongezeka na kuongeza ugumu wa maisha kwa watanzania masikini. Dola za Marekani zimeadimika na kupelekea biashara za kudorora kwa biashara za kimataifa, kushuka kwa thamani ya Tanzania shilingi, bei za
bidhaa kuongezeka, Serikali kushindwa kukusanya kodi, Deni la Taifa kuongeka mara dufu na maisha ya watanzania kuwa magumu kupitiliza.

Upande wa huduma ya nishati umeme wananchi wametengezewa mgao feki wa umeme ambao hauna Maelezo yoyote, umeme unakatika kila wakati na kuathiri uzalishaji na kupelekea upungufu wa bidhaa, biashara
kufa, kufilisika na bidhaa kupanda bei.

Matatizo ya Umeme, Dola na nishati ya mafuta yanaendelea kuwatafuna watanzania bila msaada wowote wa Chama cha Mapinduzi, hatujawahi kuona Katibu Mkuu wa CCM akizunguka nchi nzima kupinga masuala
hayo, kukataa dhuluma hizi na kuwawajibisha wahusika ambao wote ni Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC). leo hii Katibu Mkuu wa CCM anazunguka nchi nzima na kutumia
gharama kubwa kukusanya watu kutoka maeneo mbalimbali nchini na kukutana sehemu moja kupigia debe mkataba mbovu wa Bandari, Kazi ya kupigia debe mkataba wa Serikali sio kazi ya Chama lakini Katibu Mkuu
Chongolo ameamua kuacha majukumu ya Chama ya kuisimamia Serikali
na kuwa CHAWA wa Kampuni DP World.

Lakini hata maandiko matakatifu katika Biblia yanasema, Ukisoma Isaya 29:13 inasema Bwana akanena, kwa kuwa watu hawa hunikaribia na kuniheshimu kwa vinywa vyao bali mioyo yao wamefarakana nami, na
kicho chao walichonacho kwangu ni maagizo ya wanadamu
walivyofundishwa. Lakini pia ukisoma Mathayo 15:7-9 inasema Enyi Wanafiki, ni vyema
alivyotabiri Isaya kwa habari zenu akisema, watu hawa huniheshimu kwa midomo, ila mioyo yao iko mbali nami. Nao waniabudu bure, wakifundisha mafundisho yaliyo maagizo ya wanadamu.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu zibariki bandari zetu, Asanteni sana kwa kunisikiliza.

David Levi Nkindikwa
Kijana Mzalendo
0685 446343
 
Goo My son Go you have a history to make!
 
mumewako wewe mbwa weee unaingiolia meseji za wanaume katafute basha huko

Nimesema tu ukweli, mtu ana sababu za kupambana na mambo yake muache tu, ndo maana nikahisi labda ni mumeo anakulisha, mbona sasa unanitukanq.
 
Go go wazalendo go
 
Muwe mnafikiria na familia zenu kabla hamjajiingiza kwenye mkumbo.
Jiulizeni kwanini Vyama vya siasa havijaenda Mahakamani

Kwanini Wanasiasa wakubwa hawajaenda mahakamani
 
Back
Top Bottom