Movie ya EONII hakuna kitu

Majighu2015

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,924
3,905
Nimeingalia movie ya EONII lakini haijanifurahisha kabisaaa. Advertisement waliyofanya AZAM ni kubwa sana lakini movie sifuri. Teknolojia iliyotumika ni kubwa kuliko movie yenyewe.

Characters waliocheza movie wamemezeshwa maneno ya kuongea hata mzuka haupo. Angalau Azam wangetafuta professional actors si hao waliowatumia.

Theme ya movie haieleweki, yani ni vurugu tu. Azam wajipange upya.
 
Nimeingalia movie ya EONII lakini haijanifurahisha kabisaaa. Advertisement waliyofanya AZAM ni kubwa sana lakini movie sifuri. Teknolojia iliyotumika ni kubwa kuliko movie yenyewe.
Characters waliocheza movie wamemezeshwa maneno ya kuongea hata mzuka haupo. Angalau Azam wangetafuta proffesional acters si hao waliowatumia.
Theme ya movie haieleweki, yani ni vurugu tu. Azam wajipange upya
 
Nilitoa mawazo yangu mapema sana na kuikataa

Tukauliza IST 2061, wakasema ni ya Umeme

Tukauliza ya umeme model ya 2004 mwaka 2061?

Copy na paste ya lile gari la kwenye batman

Kiswahili hakifai kwenye movie za aina ile, narrators hawafai
 
Nimeingalia movie ya EONII lakini haijanifurahisha kabisaaa. Advertisement waliyofanya AZAM ni kubwa sana lakini movie sifuri. Teknolojia iliyotumika ni kubwa kuliko movie yenyewe.
Characters waliocheza movie wamemezeshwa maneno ya kuongea hata mzuka haupo. Angalau Azam wangetafuta proffesional acters si hao waliowatumia.
Theme ya movie haieleweki, yani ni vurugu tu. Azam wajipange upya

Hata sijaangalia, najua tu itakuwa ya hovyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom