mikeka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mr pipa

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Vipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
  2. tpaul

    Simba na Yanga: Jinsi ushabiki wa mikeka ulivyoua ushabiki wa mpira

    Zamani kabla mikeka haijaingia hapa nchini mashabiki wa mpira walikuwa na ushabiki halisi kwa timu zao pendwa. Nakumbuka mechi kati ya Man United na Arsenal iliyochezwa mwaka 2003. Van Van Nistelrooy alikosa penati dakika za majeruhi. Siku hiyo kulikuwa na mshawasha mkubwa sana miongoni mwa...
  3. A

    Weka mikeka mitatu upate mmoja bure

    Wazee wa Mikeka mambo Vipi, Naamini utakuwa ushakutana na Bonus kibao kwenye Mikeka unayo isuka, Ila Leo nimekuja na hii kitu wanasema weka Mikeka MITATU Upate mmoja wa Bure Ni kwamba inatakiwa kuweka mkeka wenye Mechi kuanzia tatu na kila mechi iwe na Odds ya kuanzia 1.4 bhasi baada ya hapo...
  4. Planet FSD

    Msaada wazee wa mikeka: kulink VISA card na online betting companies

    Wakuu msaada, nimekuwa nahangaika kulink card yangu ya VISA Debit kutoka Equity Bank. Nilipowauliza wakasema ni BOT wamezuia online transactions kutoka/kwenda kwenye online gambling sites na forex. Nilipewa pia jibu hilo hilo nilipowapigia BancABC. Kwa wale wanaofanya online betting kupitia...
  5. hamza mahundu

    Mikeka ya walioitwaa interview TRA na TPA vipi imeshatoka?

    Mikeka ya walioitwaa interview TRA na TPA vipi imeshatoka au
  6. NYUNDO YA MOTO

    Wimbi la ubakaji kwa watoto limekithiri, ni nini kinasababisha?

    Mimi nimekaa najiuliza sijapata jibu mpaka sasa. Mtu una mke au wake au una Mpenzi au wapenzi Inawewezekanaje ukaenda kumuingilia mtoto mdogo wa umri wa miaka m3 Asiyejua chochote! Kwani amekukosea nini? Mbona wanawake wamejaa na wanatoa huduma ya line zote! Umekosa nini huku labda wana Jamii...
  7. TheDreamer Thebeliever

    Watanzania wengi tumejikatia tamaa, tunaishi kwa kutegemea mikeka itiki

    Habari wadau! Kiukweli zama zimebadilika sana, kwa sasa Watanzania wengi tunaishi kwa kutegenea mikeka. Wanaume majumbani kwetu ndio usiseme, wife ukiona anakuzonga zonga unamwambia kuna mchongo huo naufukuzia ukitiki tu mambo yatakuwa poa kumbe mtu mzima una mkeka wako wa siri unangoja Odds...
Back
Top Bottom