siasa na dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ulimbo

    Siasa na dini

    Kuna baadhi ya viongozi wa vyama na serikali wamekuwa waki toa maneno, wakiwataka viongozi wa dini wasijiingize kwenye siasa. La ajabu hao viongozi ni waumini wa hizo dini, na walipoapishwa, waliapa kwa kushika vitabu vya dini zao. Pia wanapokuwa kweny matukio mbalimbali, wanawashirikishia...
  2. Feld Marshal Tantawi

    Kikwete watumishi wa Mungu hawezi kutofautisha siasa na dini kwa sababu siasa ni dini na dini ni siasa

    Watanganyika wenzangu someni andiko hili mtapata faida na maana kubwa acheni kuhadaiwa na viongozi wa kisiasa wanataka kuigeuza nchi yetu shamba la Bibi.🩸🩸🩸 Kwanza kabisa napenda niwashukuru Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kuuelewesha Umma. Kanisa Katoliki ni...
  3. voicer

    Mzee Kikwete anatakiwa kuelewa kuwa Dini ni Siasa na Siasa ni Dini

    MHESHIMIWA KIKWETE SISI WATUMISHI WA MUNGU HATUWEZI KUTOFAUTISHA SIASA NA DINI KWA SABABU SIASA NI DINI NA DINI NI SIASA. Na Mwandishi wetu Mzalendo Mtanganyika toka Ughaibuni. 20 August 2023. 16:30 pm Watanganyika wenzangu someni andiko hili mtapata faida na maana kubwa acheni kuhadaiwa na...
  4. YEHODAYA

    Serikali baada ya kukutana na viongozi wa dini ilitakiwa irudi tena kuwapa mrejesho mapendekezo yao Serikali imefikia wapi

    Sintofahamu inayoendelea sasa hivi Issue ya Dp World ilitakuwa kuwa solved kidogo tu. Viongozi wa serikali walikutana na viongozi wa dini kuhusu hilo swala Wakaeleza kutoridhikia na wakatoa maoni yao na kusihi serikali na bunge waangalie ushauri wao wawape mrejesho. Matokeo serikali na bunge...
  5. Hismastersvoice

    Tusichanganye siasa na dini, Kikwete umemsikia rais Mwinyi?

    Rais Mwinyi ni rais tofauti na watangulizi wake, rais Mwinyi yeye amejikita sana kuendeleza uisilamu kwani hivi sasa amekuja na ajenda ya " mwaka wa kiisilamu" kuuingiza kwenye kalenda, huko nyuma aliwahi kuja na serikali kuanzisha mfuko wa mahujaji. Je, ushauri wa Kikwete kuhusu kuchanganya...
  6. Kingsmann

    Mhashamu Almachius Rweyongeza apigilia msumari zaidi kwenye waraka wa TEC

    Mhashamu Almachius Vicent Rweyongeza, Askofu wa jimbo katoliki la Kayanga, Karagwe, Kagera amesema "Chaguzi zilizopita zilikua zinakasoro wengi mlipokea Rushwa na mkasimamia hovyohovyo, Bunge likajaa hao wabunge ambao wameanza kubadili sheria ili ziwalinde" Msikilize kwa dakika 8 akitema madini...
  7. figganigga

    Baba Askofu Stephen Munga: Acheni kucheza karata ya Udini, hoja ijibiwe kwa hoja

    ACHENI KUCHEZA KARATA YA UDINI - HOJA IJIBIWE KWA HOJA Suala la mjadala wa mkataba tata wa bandari sio mchezo wa kamari. Hapo hatufanyi majaribio katika kuhoji na kujibu hoja. Pia hapo tunatazama mambo mapana ya taifa kwa vizazi vingi vijavyo. WATU WENYE AKILI TIMAMU NA NGUVU YA KUFIKIRI...
  8. chiembe

    Sheikh Muharam Mziwanda adai Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena Bandari ya Dar

    Akitoa hotuba yake, Sheikh Muharam Mziwanda amedai kwamba Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena bandarini. Kama ni kweli, je ujio wa DP unaenda kukata mirija ya hawa ndugu? Kuna tetesi kwamba maelfu ya makontena hupitia jina la kanisa hili kwa lengo la kukwepa Kodi. Je kanisa...
  9. Mshana Jr

    Kinachoendelea Twitter (X) kuhusu maoni ya watu juu ya Waraka wa TEC ni upuuzi mtupu

    Huu waraka naona umewashika pabaya mno na ni wazi hawana pa kutokea! Si waraka mbaya umesheheni ushauri na tadhahari kwa maslahi ya Watanganyika wote bila kujali imani, itikadi wala asili zao. Ni waraka usio na chembe ya udini wala itikadi za kisiasa.. Umetembea kwenye mstari wa katiba na...
  10. R

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete: Msijaribu Kuchanganya Dini na Siasa Hata Kidogo

    "Napenda kuchukua nafasi hii kukumbushana kuhusu tunu nyingine muhimu nayo ni kutokuchanganya dini na siasa. Tukiivunja tunu hii gharama yake tutaiona, na kama kuna viongozi wa dini wanataka kutuelekeza kuitumia dini kwa manufaa ya kisiasa, na kama kuna viongozi wa siasa wanataka kuitumia dini...
  11. petercharlz255

    SoC02 Njia mbili za kifikra kati jambo moja na maamuzi sahihi | siasa, ndoa, dini...

    Kupitia jukwaa hili nataka kuwafikishia elimu hii watumiaji wa jukwaa hili la jamii kuhusu NJIA MBILI ZA KIFIKRA KATIKA JAMBO MOJA NA MAAMUZI CHANYA. Kwa ufafanuzi zaidi ili kuleta maana harisi niliyotazamia katika jambo nalotaka kuzungumzia tuchukulie jambo hilo labda ni kosa katika sehemu...
  12. Aaron Arsenal

    Siasa na Dini katika moja na kuja kwa Maitreya

    Toka wakati ule wanadamu wameanza kusimika tawala zao duniani siasa na dini ilikuwa katika sarafu moja. Mfalme alikuwa ni mkuu wa serikali na kuhani kwa wakati mmoja, ni katika nchi ya Israeli pekee mfalme hakuruhusiwa kuwa kuhani, na kuhani hakuruhusiwa kuwa mfalme. Hizo nyanja mbili...
  13. NYUNDO YA MOTO

    Wimbi la ubakaji kwa watoto limekithiri, ni nini kinasababisha?

    Mimi nimekaa najiuliza sijapata jibu mpaka sasa. Mtu una mke au wake au una Mpenzi au wapenzi Inawewezekanaje ukaenda kumuingilia mtoto mdogo wa umri wa miaka m3 Asiyejua chochote! Kwani amekukosea nini? Mbona wanawake wamejaa na wanatoa huduma ya line zote! Umekosa nini huku labda wana Jamii...
  14. B

    Viongozi wa dini wanaruhusiwa kutumia nyumba za ibada kama anavyofanya Gwajima au huu uhuru unapatikana kwa wanachama wa CCM tu?

    Mhe. Gwajima anatumia nyumba ya ibada na amekuwa akitumia nyumba ya ibada kutekeleza mahitaji yake ya kisiasa ikiwemo kudhalilisha watu. Lakini pia mara zote amekuwa akienda mbali zaidi na kupambana kwa nguvu zote na Rais wa nchi. Alianza awamu ya JK, alipoingia JPM akawa anamuunga mkono na...
Back
Top Bottom