NYUNDO YA MOTO

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
5,360
16,999
Mimi nimekaa najiuliza sijapata jibu mpaka sasa. Mtu una mke au wake au una Mpenzi au wapenzi Inawewezekanaje ukaenda kumuingilia mtoto mdogo wa umri wa miaka m3 Asiyejua chochote! Kwani amekukosea nini? Mbona wanawake wamejaa na wanatoa huduma ya line zote! Umekosa nini huku labda wana Jamii Mnaweza kunipa mwanga zaidi na mimi nielewe Shida iko wapi.

Nimesikia kesi zaidi ya mbili sasa, Mmoja Ana mke mwengine ana mademu wengi tu, Wote wamewaigilia watoto kinyume na maumbile, ni swala linaloniumiza kichwa sana. Ukizingatia wanayofanya hayo matukio ni watu wanaoaminika au hawatazamiki kwa taswira ovu.

Tafadhali Embu tushirikishe unahisi hili swala nini kinaperekea? Maana hakuna wakuaminika tena siku izi. Tunashindwa pakuficha watoto wetu ni Mungu tu ndiye anaingilia kati.
 
Hao wanafanya kwa mambo mawili
1. Masharti ya waganga
2. Uzinzi uliopitiliza Hadi kuwaondoa akili ya mema na mabaya wao wanafikiria uzinzi tu 24/7 akipata muda yuko na katoto Peke yao anawaza ufala
 
Tunahitaji wataalamu wa afya ya akili ambao wana elimu ya changamoto za kisasa za kisaikolojia kwa maana kwa sasa haki si nzuri.
 
Hao wanafanya kwa mambo mawili
1. Masharti ya waganga
2. Uzinzi uliopitiliza Hadi kuwaondoa akili ya mema na mabaya wao wanafikiria uzinzi tu 24/7 akipata muda yuko na katoto Peke yao anawaza ufala
Uganga ambao hatuoni mafanikio yao, uzinzi ulipitiza ni kuwa kichaa tu hakuna kingine
 
Tunahitaji wataalamu wa afya ya akili ambao wana elimu ya changamoto za kisasa za kisaikolojia kwa maana kwa sasa haki si nzuri.
Hali sio shwari kwelikweli, Hao watu wanahitajika lakini watu wenyewe wapo mtaani na elimu za kukalili unaweza kuongezewa matatizo bure
 
Siku hizi hofu ya Mungu imepungua ,wanaume hawataki kwenda kanisani/ kwenye nyumba za ibada ,
Ila kuna washika dini na wanafanya ya ajabu

Rejea ya katavi yule mwalimu wa watoto wa shule za jumapili kuwa na tuhuma za kuwafanyia hayo watoto wadogo
 
Ila kuna washika dini na wanafanya ya ajabu

Rejea ya katavi yule mwalimu wa watoto wa shule za jumapili kuwa na tuhuma za kuwafanyia hayo watoto wadogo
Kigezo sio dini, Nazani akili za watu zina shida, swala la kupima akili lizingatiwe
 
Madhaifu ya akili hayo inaitwa pedophilia
cc9a2efd09a2464b9483df747c37b16f~2.jpg

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom