forex broker

  1. Yohana Daniel

    Jinsi cryptocurrency inavyoibuka kuwa mshikamano wa fedha ya baadaye

    Habari za uzima ndugu zangu, Niende moja kwa moja kwenye mada husika kiukweli (cryptocurrency) pesa za mitandaoni kama sijakosea ndio suala linalokuja juu sana japo katika nchi yetu hawajaweka mikakati mizuri (watawala) hivyo basi ningependa kuwaalika nyote mnaovutiwa na haya mambo tuyajenge...
  2. NYUNDO YA MOTO

    Wimbi la ubakaji kwa watoto limekithiri, ni nini kinasababisha?

    Mimi nimekaa najiuliza sijapata jibu mpaka sasa. Mtu una mke au wake au una Mpenzi au wapenzi Inawewezekanaje ukaenda kumuingilia mtoto mdogo wa umri wa miaka m3 Asiyejua chochote! Kwani amekukosea nini? Mbona wanawake wamejaa na wanatoa huduma ya line zote! Umekosa nini huku labda wana Jamii...
Back
Top Bottom