mfumuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    Riba ya Benki Kuu yaongezwa hadi 6% kukabiliana na Mfumuko wa Bei

    Katika hatua muhimu ya kukabiliana na shinikizo la mfumuko wa bei linalotokana na mwenendo wa uchumi duniani, Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) imetangaza ongezeko la Kiwango cha Riba ya Benki Kuu (CBR) kutoka asilimia 5.5 hadi asilimia 6. Uamuzi huu, umefikiwa wakati wa kikao cha MPC...
  2. Mwande na Mndewa

    Mfumuko wa bei wawafukuza wafanyabiashara wa kigeni Kariakoo, wasema wanapata hasara

    Mwaka Mpya wa China umewakutanisha Wachina na kufanya tathmini juu ya mfumuko wa bei Tanzania. Wachina wauza mashuka, mataulo, mapazia, chupa za maji, vyombo vya Udongo, maua, chupi, chupa za chai na vyandarua wamesema bei wanazouza sasa zinawapa hasara kubwa sababu dola imepanda thamani...
  3. Eli Cohen

    Ni comedic-actors gani watano ambao ukiwaangalia angalau wanakupunguzia stress za mfumuko wa bei?

    1: Adam Sandler 2: Jim Carrey 3: Will Ferrell 4: Nick Swardson 5: Katt Williams
  4. Webabu

    Polisi wa Hamas waanza kazi zao jijini Gaza. Wapita masokoni kudhibiti mfumuko wa bei

    Tangu vikosi vya Israel viondoke kaskazini ya Gaza mamia kwa maelfu ya wananchi wamekuwa wakimiminiko kutoka walikojificha na wengine kurudi kutoka kusini na kujaza mitaa iliyojaa magofu na kifusi. Shida kubwa waliyokutana nayo ni ukosefu wa chakula na kwa vile vichache vinavyopatikana masokoni...
  5. Msanii

    Mfumuko wa bei upo juu, Viongozi wapo bize na uchaguzi na kununua makasri Dubai

    Ndugu zangu, Bidhaa ghafi kama sukari inakimbilia TZS 5,000+ halafu Waziri wa Kilimo anatuambia mashamba ya miwa yamejaa maji... ina maana mipango na mikakati ya serikali ni namna wanavyosurvive leo na hawana 10+ years plan. Serikali haina akiba ya chakula ndiyo maana soon watakimbilia...
  6. Immortal Techniques

    Inflation & Unemployment: Mfumuko wa Bei na Ukosefu wa Ajira.Tanzania Wapi tunaelekea?

    Utangulizi: Wabobezi wengi wa uchumi Duniani wanakubaliana adui namba Moja kwenye Uchumi ni Inflation & Unemployment,hakuna uchumi wowote Duniani unaokoa bila kuzalisha ajira Kwa wananchi wake, Tanzania ni nchi yenye watu Estd.63 Million sensa ya mwaka 2022 kati ya hao 70% wako chini ya Umri...
  7. Suley2019

    Mwigulu Nchemba: Mfumuko wa bei upo chini ya 5%

    Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba leo Bungeni Dodoma amewasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi wa Kitaifa kwa Mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Mwaka 2023/2024 ambapo moja ya mambo aliyoyasema ni kwamba mfumuko wa bei nchini umeendelea kuwa ndani ya lengo la wigo...
  8. W

    Mfumuko wa bei

    Habarini wana jamii wenzangu, Tangu muda mrefu kumekuwapo na mjadala mrefu juu ya mfumuko wa bei, hasa kwa bidhaa za chakula. Wachambuzi wengi wamekuwa wakilaani jambo hili, hasa ndugu zetu waishio maeneo ya mjini. Sasa mimi naomba kuelimishwa, kwani kila mfumuko wa bei ni hatari katika...
  9. W

    Ila wabongo wabishi aisee, tozo na mfumuko wote huu wa bei bado sikukuu zimefana kama kawa!!!

    Nazungumzia sikukuu zote za hivi karibuni; x-mas, mwaka na hii eid el fitr ya leo. Yaani... -majumbani mapilau yametawala -watoto wamewaka kwa mavazi mapya -kuna maeneo bidhaa kama viazi mpaka vilikwisha kwa jinsi vilivyonunuliwa kwa wingi. -wanawake walivaa -shows za wanamuziki kama zote -kumbi...
  10. Analogia Malenga

    NBS: Mfumuko wa bei umeshuka kutoka 4.9 hadi 4.8

    TAARIFA KWENYE VYOMBO VYA HABARI FAHIRISI ZA BEI ZA TAIFA KWA MWEZI FEBRUARI, 2023 Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imepewa mamlaka kwa mujibu wa Sheria ya Takwimu Sura 351 ya kutoa, kusimamia na kuratibu upatikanaji na usambazaji wa Takwimu Rasmi nchini ikiwa ni pamoja na takwimu za Mfumuko...
  11. Black Butterfly

    Hivi Serikali haioni kama Wananchi wanateseka na mfumuko wa Bei, kwanini haiondoi Tozo ili kuwapunguzia mzigo?

    Hivi jamani hii Serikali ya "Anayeupiga mwingi" haitambui kuwa wananchi wanateseka na hali mbaya ya maisha? mbona hatuoni juhudi za makusudi za kuwapunguzia mzigo mzito wa maisha ikiwemo mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa muhimu kama chakula na vifaa vya ujenzi? Badala ya kuwapunguzia wananchi...
  12. Crocodiletooth

    Mfumuko mkali wa bei waikumba Rwanda

    Benki Kuu ya Rwanda imeongeza kiwango cha riba kutoka asilimia 6.5 hadi asilimia 7 kutokana na mfumuko wa bei. Benki hiyo imesema kwamba kiwango cha mfumuko wa bei kilifikia asilimia 20.7 mwezi Januari. Maafisa wamesema kwamba hawatarajii mfumuko wa bei kushuka hivi karibuni. Hata hivyo...
  13. J

    Prof. Lipumba: Dkt. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF wala kumiliki kadi

    Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema aliyekuwa Katibu wa CCM Dr. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF na hajawahi kumiliki kadi ya chama hicho. Chanzo: ITV Dakika 45
  14. Roving Journalist

    Mfumuko wa bei kwa mwezi Desemba/Januari 2023 kwa baadhi ya nchi

    Mfumuko wa bei kwa mwezi Desemba/Januari 2023 kwa baadhi ya nchi: Kenya 9.0% Rwanda 21.6% Uganda 10.4% Nigeria 21.3% Misri 25.8% Ghana 54.1% Uturuki 64.7% Sudan 88.8% Argentina 94.8% Zimbabwe 244% Tanzania 4.9% Kutokana na takwimu hizi, licha ya ongezeko la mfumuko wa bei, Tanzania bado iko...
  15. M

    CHADEMA yataka maelezo juu ya zuio la Zanzibar la kutouza nje Sukari na Mchele

    Zanzibar wamestuka Wakati Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ikitangaza zuio la uuzaji nje ya nchi bidhaa ya sukari na mchele, Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) kimeitaka itoe maelezo ya kina juu ya marufuku hiyo. Kimesema uamuzi huo umefanyika wakati ambao, Serikali ya Mapinduzi ya...
  16. Lycaon pictus

    Mboga gani unaweza otesha nyumbani ili kukabiliana na mfumuko wa bei na ugumu wa maisha?

    Infaltion inafanya maisha yanakuwa magumu sana. Athari kubwa zinakuwa upande wa lishe. Si vema kupata utapiamlo na hali unaweza solve kwa kuotesha mbogamboga hapo nyumbani. Tushirikishane juu ya mbogamboga na vyakula vingine ambavyo mtu anaweza kuzalisha nyumbani. 1. Kisamvu. Hapa nazungumzia...
  17. Msanii

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Mfumuko wa Bei upo, na hauvumiliki

    Leo nimemsikia mubashara mheshimiwa Makamu wa Rais ndugu Philp Mpango alipokuwa anahutubia viwanja vya Mnazi Mmoja kwenye kilele cha kumbukizi ya kuzaliwa chama chetu CCM. Nilidhani kwenye hotuba yake ataainisha mikakati ya serikali kudhibiti mfumuko na kuboresha ugumu wa maisha unaowakabili...
  18. J

    Tanzania ndio nchi yenye mfumuko wa Bei mdogo zaidi Afrika Mashariki

    Kati ya nchi za Afrika Mashariki, Tanzania ndio yenye kiwango kidogo zaidi cha mfumuko wa Bei Swala la mfumuko wa Bei ni suala la kidunia, wale waliojifungia wasiojua kinachoendelea duniani wafahamu hilo
  19. JanguKamaJangu

    Tundu Lissu: Ili mfumuko wa bei upungue Rais apunguze kodi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema mfumuko wa bei unaoendelea Nchini kwa bei ya vitu vingi kupanda ni wa Rais na kama akitaka upungue lazima apunguze kodi. Amesema “Ukipunguza kodi bidhaa zitapungua bei, ila sijasema ifutwe bali ipunguzwe, kwani ni lazima Serikali inununue VX...
  20. The Burning Spear

    Ukweli ni kwamba mkulima kijijini anaumia zaidi na Mfumuko wa Bei, tofauti na tunavyoaminishwa

    Watanzania wenzangu ifike mahali tuwe tunafuatilia mambo Kwa kina na tusiwe benderea fuata upepo. Leo hii kuna mfumuko wa bei ya vyakula tunaambiwa mkulima anafaidi. Nasema hivi huu ni uongo Kwa asilimia 100. Mchana kweupe. Mara zote wakulima huuza mazao Yao kipindi cha mavuno kipindi bei iko...
Back
Top Bottom