Mfumuko wa bei kwa mwezi Desemba/Januari 2023 kwa baadhi ya nchi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,814
11,991
Mfumuko wa bei kwa mwezi Desemba/Januari 2023 kwa baadhi ya nchi:

Kenya 9.0%
Rwanda 21.6%
Uganda 10.4%
Nigeria 21.3%
Misri 25.8%
Ghana 54.1%
Uturuki 64.7%
Sudan 88.8%
Argentina 94.8%
Zimbabwe 244%
Tanzania 4.9%

Kutokana na takwimu hizi, licha ya ongezeko la mfumuko wa bei, Tanzania bado iko vizuri kuliko mataifa mengi duniani
 
Back
Top Bottom