Leo nimefanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein ambae amenitembelea katika makazi yangu Osterbay Jijini Dar es Salaam.
WAZIRI WA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI (ZANZIBAR) AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA POSTA ZANZIBAR
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Rahma Kassim Ali(Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Meneja Mkaazi wa Shirika la Posta Tanzania (Zanzibar)...
SADC imesema Mfalme Mswati III wa Eswatini amekubali nia ya kufanya mazungumzo ya kitaifa baada ya maandamano kuongezeka. Miongoni mwa walioandamana ni Wanafunzi na Madereva.
Wanaharakati wanasema Mfalme huyo amekuwa akipuuza wito wa mabadiliko ambayo yangehamisha Eswatini kuelekea Utawala wa...
Siyo CCM wala Upinzani hakuna mwanasiasa anayezungumzia tatizo kubwa la ajira linaloikabili nchi yetu.
Wanasiasa wengi wamejikita kwenye kutoa misaada myepesi kwa wananchi kama vile kujenga matundu ya vyoo na kugawia watoto wa kike taulo.
Tatizo la ajira ni bomu linalosubiri kulipuka, serikali...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Septembea 04,2021 amefanya mazungumzo kwa nija ya Mtandao na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kimataifa ya Mafuta ya Royal Dutch Shell PLC) Bwana Ben Van Beurden
Viva Mama Samia
Viva CCM
Kazi Iendelee
===
Jumuiya ya Uchumi ya Nchi za Katikati mwa Afrika (ECCAS) imetoa wito wa kuitishwa amazungumzo yatakayoshirikisha makundi yote nchini Chad.
Rais Denis Sassou Nguesso wa Jamhuri ya Kongo ambaye ni Mwenyekiti wa sasa wa Jumuiya ya Uchumi ya Nchi za Katikati mwa Afrika (ECCAS) amezitolea wito pande...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango, hii leo Septemba 15,2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.
Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
MAZUNGUMZO MAFUPI NA KITUKUU CHA ABUSHIRI BIN SALIM AL HARITH
Leo jioni nimeingia katika duka moja.
Baada ya salaam kijana aliyekuwa pale dukani nyuma ya counter akanishukuru kwa kumwandika babu yake.
Mimi nikamuulia, ''Babu yako gani niliyemwandika?''
Kijana akanijibu, "Abushiri bin...
#TAARIFA. KATIBU MKUU, ADO SHAIBU ATETA NA UONGOZI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE MAKAO MAKUU YA CHAMA
-Katibu Mkuu wa chama, Ndugu Ado Shaibu atembelewa na uongozi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, ukiongozwa na mkurugenzi wa taasisi ndugu Joseph Butiku na kufanya mazungumzo katika makao makuu ya...
NILIVYOKUTANA NA MZEE SUED KAGASHEKI KATIKA MAZUNGUMZO NA DOSSA AZIZ 1980s
Mmoja katika marafiki zangu ameniletea picha kadhaa za wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika Kanda ya Ziwa, Bukoba.
Moja ya picha hizi ni picha ya Sued Kagasheki mmoja wa viongozi wa TAA na muasisi wa TANU Kanda ya...
Kuna kitu kimoja ambacho nakichukia kupita kiasi katika maisha yangu ya U-Tanzania. Hiki ni kauli za Polisi au wanasiasa pale ambapo wanajaribu kuficha au kupotosha ukweli ambao ukiwekwa wazi wananchi wataona wanavyokiuka haki za msingi za Watanzania, wanavyokandamiza demokrasia au hata...
Akizungumza 'mubashara' kabisa katika Kipindi Bora kabisa cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One kinachoruka kila Siku za Jumapili kuanzia Saa 1 na Nusu asubuhi hadi Saa 4 Kamili asubuhi, Mwanasaikolojia Mwalikwa Dkt. Charity Xavery leo ametoa kitu Kiitwacho Ukweli Mchungu kwa Wasikilizaji...
Hakuna nchi ambayo Kenya imekuwa na mahusiano hasi nayo kushinda Somalia. Nafurahi kuona hatua zikichukuliwa na pande zote mbili kurudi mezani na kufanya mazungumzo. Mazungumzo ni muhimu katika kuleta upatanisho kati ya nchi hizi mbili.
Wakuu habari za muda huu
Poleni sana na mihangaiko wa kwuta nzima.
Natumaini baadhi yetu tumepata muda nzuri wa kupumzika na familia zetu.
Jambo au mambo ambayo napenda leo tuyajadili ni hili:
Wewe kama mwanaume au mwanamke katika kumaliza mazungumzo yenu je ni neno gani bora la kuagana kati...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali ipo katika mazungumzo ili kuweza kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo. Hayo ameyasema leo Tarehe 26, 06. 2021 wakati wa hotuba yake katika mkutano wa 12 wa baraza la biashara.
Rais Samia amesema pia hiyo itakwenda sambamba na mradi wa Mchumchuma...
“Kuhusu Mchuchuma na Liganga nimeshatoa maelekezo, Serikali inaendelea na mazungumzo na Wawekezaji kuona tatizo ni nini!, Serikali inaweza kujitoa hadi wapi Mwekezaji ajitoe hadi wapi na kwa sasa Duniani chuma imepanda bei ni wakati wa kuharakisha mradi ufanye kazi”
- Rais Samia Suluhu Hassan...
Mbunge wa Ilala ameomba muongozo leo Bungeni Dodoma kuhusu mpango wa Serikali kuanzisha mazungumzo tena ya bandari ya Bagamoyo kutokana bandari ya Dar es Salaam kuzidiwa na kutokuwa na uwezo wa kuingiza meli kubwa. Zungu amesema bandari ya Bagamoyo itapelekea kuanzisha viwanda, kuleta ajira na...
Je, Umewahi kuwa na mazungumzo na Nafsi yako?
Ninachojua ni kuwa kwa kila mwanadamu jibu ni ndio, haswa wakati tunapokwama kwenye dhoruba kubwa na lazima tuchague njia moja ya kwenda mbele.
Unajua wakati mambo yanapokwenda ndivyo sivyo sisi wengine tunapata vita kubwa sana katika nafsi zetu na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amekutana na kufanya mazungumzo na Mfanyabiashara maarufu kutokea Nigeria Alhaji Aliko Dangote
Mazungumzo hayo muhimu yalifanyika leo Mei 24, 2021 Ikulu Jijini Dar es salaam
Alhaji Dangote ni mfanyabiashara mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.