mazungumzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Uturuki yajitolea kusaidia mazungumzo ya Ukraine na Urusi

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amemwambia mwenzake Volodymir Zelensk wa Ukraine kwamba taifa lake lipo tayari kutoa kila usaidizi katika mchakato wa majadiliano kati ya Urusi na Ukraine. Ofisi ya Rais ya Uturuki imesema ahadi hiyo imetolewa wakati wa mazungumzo kwa njia ya simu baina ya...
  2. T

    Katibu Mkuu wa CCM taifa, Daniel Chongolo afanya mazungumzo maalumu na Joel Nanauka

    KATIBU MKUU WA CCM TAIFA CDE DANIEL CHONGOLO AFANYA MAZUNGUMZO MAALUMU NA JOEL NANAUKA, DODOMA. 28.03.2022 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Cde Daniel Chongolo, Leo amekutana na Ndg Joel Nanauka na kufanya naye mazungumzo katika ofisi Kuu za CCM jijini Dodoma. Katika mazungumzo...
  3. Roving Journalist

    Waziri Mkenda amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Nchini, Ahmad Al Homaid

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda (Mb) leo tarehe 24 Machi,2022, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Nchini, Mhe. Balozi Hussain Ahmad Al Homaid Jijini Dar es Salaam. Viongozi hao pamoja na mambo mengine wamezungumzia ushirikiano wa Nchi hizo mbili katika...
  4. Analogia Malenga

    Zelensky: Kufeli kwa mazungumzo kutamaanisha 'Vita vya Tatu vya Dunia'

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kuwa anaamini kushindwa kufanikisha mazungumzo ya kumaliza uvamizi wa Urusi kutamaanisha "vita vya tatu vya dunia". Akizungumza na CNN Jumapili, Zelensky alisema yuko tayari kuzungumza moja kwa moja na Rais wa Urusi Vladimir Putin, akiongeza kuwa...
  5. Roving Journalist

    Mazungumzo: Jinsi dijitali inavyoweza kukuza Demokrasia Tanzania

    Tanzania ni moja ya soko linalokuwa zaidi barani Afrika kwenye nyanja ya dijitali, takwimu ya mwaka 2020 ikionyesha watumiaji wa internet wamefika milioni 28.5 kutoka milioni 25.8 mwaka 2019 huku idadi hiyo ikiwa sawa na asilimia 49 ya watu wake. Teknolojia iliyokuja inaruhusu wananchi kuweza...
  6. John Haramba

    Waziri: Mazungumzo ya ndani yanaendelea Tanzania kurejea Mahakama ya Afrika

    Wadau kutoka Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kwa pamoja wametembelea Wizara ya Katiba na Sheria na kukutana na Waziri George Simbaachawene ambaye ameteuliwa kushika nafasi hiyo akichukua nafasi ya Prof. Palamagamba Kabudi. Msafara huo wa THRDC uliongozwa na Mwenyekiti...
  7. B

    Ukiitwa na Rais Ikulu Kwa mazungumzo rasmi ukakataa utafanywa nini?

    Endapo Rais WA nchi akakuita Ikulu Kwa mazungumzo ukakataa kwenda kumsikiliza Kuna madhara yoyote unayoweza kuyapata? Ukitii unaweza ukamsikiliza na baada ya kumsikiliza ukaona anataka kukutoa Kwenye msimamo wako unaweza kumkatalia? Ukimkatalia ukabaki na msimamo wako vyombo vya usalama vya...
  8. Nyendo

    Mazungumzo kati ya wajumbe wa Urusi na Ukraine kuendela tena leo, 03/03/2022

    Wajumbe wa Urusi na Wajumbe wa Ukraine wanatarajiwa kukutana leo kwa mazungumzo nchini Belarus ikiwa ni mara ya pili ya mazungumzo ya ana kwa ana tangu Urusi ilipoivamia Ukraine kijeshi siku nane zilizopita. Ripoti zinasema kuwa Wawakilishi wa pande zote watakutana katika eneo la Brest nchini...
  9. beth

    Urusi yaendelea kuishambulia Ukraine licha ya mazungumzo yanayolenga kusitisha mapigano

    Mashambulizi ya Urusi Nchini Ukraine yameendelea kwa siku ya tano licha ya mazungumzo yanayolenga kusitisha mapigano. Inaripotiwa kuwa, mashambulizi ya makombora yameua watu kadhaa katika Mji wa Kharkiv, huku ving'ora vya mashambulizi ya anga vikisikika tena katika Mji Mkuu wa Kyiv. Rais...
  10. joseph1989

    Ukraine amuomba Roman Abramovic aongoze mazungumzo ya Usuluhishi kati yake na Urusi

    Naona Ukraine hapa kamchagua Roman Abramovic sababu zinaiva na Putini. --- Russian billionaire businessman Roman Abramovich, who owns Premier League football club Chelsea, has accepted a Ukrainian request to help negotiate an end to the war in Ukraine, his spokesperson said. Word of...
  11. John Haramba

    Mazungumzo ya Urusi, Ukraine yaanza, waandishi wa habari watolewa ukumbini

    Mazungumzo kati ya wawakilishi wa Ukraine na Urusi kuhusu uvamizi Ukraine yameanza nchini Belarus, kabla ya mkutano kuanza, waandishi wa habari wametolewa nje. Mwenyeji wa wageni hao ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus, Vladimir Makei amewakaribisha wajumbe hao na kuwataka wajihisi wapo...
  12. John Haramba

    Ukraine yakubali mazungumzo ya amani na Urusi, leo 28/02/2022

    Ukraine imekubali kushiriki mazungumzo ya amani na Urusi, ambapo wajumbe wa pande zote mbili wamepanga kukutana katika eneo la mpaka kati ya Belarus na Ukraine. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa ofisi ya Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, inaelezwa kuwa hakuna masharti yoyote yaliyowekwa katika...
  13. Analogia Malenga

    Ukraine ipo tayari kwa mazungumzo

    Ukraine imeonesha utayari wa kufanya mazungumzo na Urusi mpakani mwa nchi hizo mbili ili kupunguza athari kwa raia wasio na hatia Hatua imejili baada ya Urusi kuonesha kuwa angeweza kutumia bomu la nyuklia kuipiga Ukraine Ripoti zimesema Japan inaweza kuweka vikwazo vya kifedha kama Urusi...
  14. Lycaon pictus

    Mazungumzo ya alfu lela ulela-Kitabu cha kwanza.

    Baada ya kuona kitabu cha pili na cha nne, sasa tuone cha kwanza. hadithi hizi zote unaweza kuzisoma bure ndani ya maktaba app, ipo playstore.
  15. S

    Putin asema sasa yupo tayari kwa mazungumzo ya amani na Serikali ya Ukraine 'kama wanataka mazungumzo'

    Baada ya kuonesha ubabe wake kwa Ukraine kwa kutangaza uhuru wa majimbo mawili ya mashariki mwa Ukraine na kisha kuingia kijeshi na kuchakaza miundombinu ya jeshi la Ukraine huku Ukraine ikiachwa kwenye mataa na wale iliyodhani watamsaidia (Marekani na NATO), Putin katoa ofa kwa serikali ya...
  16. Lycaon pictus

    Mazungumzo ya Alfu Lela Ulela au Siku Elfu na Moja - Kitabu cha Pili

    Baada ya kitabu cha nne, sasa tuone kitabu cha pili. Fuatana nami hadi kitakapoisha, pia hivi vyote na vingine vingi unaweza kuvisoma bure ndani ya maktaba app. MAZUNGUMZO YA ALFU LELA ULELA AU SIKU ELFU NA MOJA KIMEFASIRIWA KWA KISWAHILI NA EDWIN W. BRENN KITABU CHA PILI YALIYOMO...
  17. John Haramba

    Putin: Hatutaki vita Ulaya, tuko tayari kwa mazungumzo

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin amemueleza Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz kuwa nchi yake haitaki vita barani Ulaya. Viongozi hao wawili walikutana jana mjini Moscow ikiwa ni juhudi za hivi karibuni za kuepusha vita. Putin ameelezea utayari wa Moscow wa kufanya mazungumzo na Marekani pamoja na...
  18. J

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la ufadhili wa maendeleo ya Kilimo

    Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa la ufadhili wa maendeleo ya Kilimo duniani (IFAD) Bi. Jacqueline Machangu-Motcho ofisini kwake jijini Dodoma. Mazungumzo hayo yalikuwa ni kuimarisha ushirikiano baina ya shirika...
  19. Analogia Malenga

    Taliban waanza mazungumzo na Maafisa wa Magharibi nchini Norway

    Wajumbe wa Taliban wanakutana na maafisa wa nchi za magharibi nchini Norway kwa ajili ya mazungumzo ya kwanza Ulaya tangu kundi hilo lichukue udhibiti wa nchi ya Afghanstan. Mazungumzo hayo, yaliyopangwa kufanyika kwa muda wa siku tatu, yatakijita katika suala la haki za binadamu pamoja na...
  20. W

    Utekelezaji Diplomasia ya Uchumi kwa maslahi ya Taifa: Balozi Liberata Mulamula akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe ambaye pia anaiwakilisha Tanzania nchini Mauritius Balozi Prof. Emmanuel Mbennah na kusisitiza juu ya utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi kwa...
Back
Top Bottom