cnn

The Cable News Network (CNN) is a multinational news-based pay television channel headquartered in Atlanta, United States. It is owned by CNN Worldwide, a unit of the WarnerMedia News & Sports division of AT&T's WarnerMedia. It was founded in 1980 by American media proprietor Ted Turner and Reese Schonfeld as a 24-hour cable news channel. Upon its launch in 1980, CNN was the first television channel to provide 24-hour news coverage, and was the first all-news television channel in the United States.As of September 2018, CNN has 90.1 million television households as subscribers (97.7% of households with cable) in the United States. According to Nielsen, in June 2021 CNN ranked third in viewership among cable news networks, behind Fox News and MSNBC, averaging 580,000 viewers throughout the day, down 49% from a year earlier, amid sharp declines in viewers across all cable news networks. CNN ranks 14th among all basic cable networks.The network is known for its dramatic live coverage of breaking news, some of which has drawn criticism as overly sensationalistic, and for its efforts to be nonpartisan, which have led to accusations of false balance.Globally, CNN programming has aired through CNN International, seen by viewers in over 212 countries and territories; since May 2019 however, the US domestic version has absorbed international news coverage in order to streamline programming expenses. The American version, sometimes referred to as CNN (US), is also available in Canada, some islands of the Caribbean and in Japan, where it was first broadcast on CNNj in 2003, with simultaneous translation in Japanese.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    CNN Report: UAE yapewa ardhi Afrika kufanya uwekezaji chechefu, watachuma mabilioni ya dola kutunza misitu ya nchi tano ikiwemo Tanzania

    Chanzo Kuelekea mkutano wa mazingira wa dunia, COP28, utakaofanyika mwezi December 2023 huko Dubai, CNN imetoa ripoti maalum inayoilaumu UAE kwa kuendesha miradi chechefu ya kimazingira ikiwemo kukwapua ardhi ya Afrika ikijifanya kutunza mazingira wakati nia halisi ni kujikingia kifua wakati...
  2. Pascal Mayalla

    Mo Dewji Aipaisha Tanzania Kimataifa on CNN "Unfortunately We Don't Have The Right Framework & Policies to Deal With Large Investment in Agricalture!"

    Wanabodi, Mo Dewji if not yet, then probably is going to be the richest man in Tanzania!. Has 150 products, he is going to knock down Coca Cola and Pepsi Cola!, ametupaisha kimataifa, ila pia ametubagaza kuwa "we have got tons of arable land that can feed Africa, but he is surprised why are...
  3. S

    Tanzania yatajwa na CNN kama sehemu bora ya kutembelewa kwa mwaka 2023

    Kwa mujibu wa mtandao wa cnn , tanzania ni moja ya sehemu bora na imewashauri watalii kuitembelea. Na ni nchi mbili tu kwa Afrika zilizotajwa nyengine ni Rwanda japokua Rwanda haikutajwa kama nchi ili kuna hoteli, sextarion Rwanda, ndio imepigiwa chapuo. Ila Tanzania imetajwa kama nchi na...
  4. Replica

    Mtaalam wa ndege CNN: Watu 26 kati ya 43 kuokolewa ni nzuri sana kwa ajali ya ndege

    Mary Schiavo ameshika nafasi mbalimbali Marekani ikiwemo mkurugenzi mkuu wa idara ya usafirishaji Marekani na kwasasa ni mchambuzi wa usafiri wa anga kwenye kituo cha CNN. Kuhusu ndege iliyopata ajali, Mary kasema ndege za ATR ziliacha kutumika nchini Marekani kwa sababu ya ajali za mara kwa...
  5. T

    CNN: 73% ya Wamarekani wanataka Biden asigombee 2024, hawaelewi nchi inakoelekea chini ya Biden

    Takwimu za kila siku zinaonyesha kua idadi kubwa ya Wamarekani hawamuelewi Biden na hawaelewi nchi inakoekea. Ndani ya mwaka mmoja umaarufu wa Biden umekua ukishuka kwa kasi ya ajabu. Hii ni kutokana na kwamba wamarekani hawaelewi Biden anachokifanya Ikulu. Nashindwa kuelewa huyu mzee...
  6. sampuli nyingi

    Natamani kujua historia ya CNN na Aljazeera

    Habari ndugu wanajukwaa wezangu. Poleni na hongereni kwa kazi Samahan Sana wanaJf nimekua inspired Sana na hivi vyombo vya habari na kutaka Kujua historia zake Asanten sana naomba kupewa japo kwa sehemu tu Asante ndugu zangu
  7. Analogia Malenga

    Zelensky: Kufeli kwa mazungumzo kutamaanisha 'Vita vya Tatu vya Dunia'

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kuwa anaamini kushindwa kufanikisha mazungumzo ya kumaliza uvamizi wa Urusi kutamaanisha "vita vya tatu vya dunia". Akizungumza na CNN Jumapili, Zelensky alisema yuko tayari kuzungumza moja kwa moja na Rais wa Urusi Vladimir Putin, akiongeza kuwa...
  8. beth

    Sheria mpya yapelekea CNN, BBC na Bloomberg kusitisha kuripoti Urusi

    Baada ya Bunge kupitisha Sheria inayoruhusu Mamlaka kuwafunga hadi miaka 15 watu walioshtakiwa kwa kusambaza makusudi taarifa feki, Mashirika mbalimbali yametangaza kusitisha kuripoti Urusi. BBC, CNN, Bloomberg, Shirika la Habari la Canada (CBC) pamoja na Redio Canada zimesema zitaacha kurusha...
  9. N

    Rais wa CNN Jeff Zucker alifukuzwa kazi na sasa Vice President wa CNN naye afukuzwa

    Jeff zucker amefukuzwa kazi Kwa sababu ya Low ratings (CNN average viewers per day laki 4, MSNBC milion 1 na Fox News million 5 ) na coverage ya Russia hoax. CNN ATT imenunuliwa na Discovery (Discovery owner ni Trump supporter) hopefully CNN itarudi kuwa news organization. =========...
  10. Kasomi

    CNN yamfukuza kazi mtangazaji kwa kumsaidia kaka yake mwanasiasa

    Mtangazaji wa Marekani Chris Cuomo amefukuzwa kazi na CNN baada ya kumsaidia kaka yake, gavana wa zamani wa New York Andrew Cuomo, alipokuwa akipambana na madai ya unyanyasaji. Uamuzi huo ulikuja baada ya CNN kusema kuwa habari za ziada zimeibuka juu ya kiwango cha ushiriki wa Chris Cuomo...
  11. Pascal Mayalla

    Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

    Wanabodi, Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa". Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake...
  12. Shujaa Mwendazake

    CNN ni sehemu ya CIA: Mtazamo wao kuhusu Serikali yetu ni mtazamo wa Jumuiya ya Kimataifa. Tusiwapuuze!

    Nimejaribu kutafakari uchambuzi wa CNN kuhusu kushikiliwa kwa Freeman Mbowe, kuna kitu wanaongelea sana pale "timing of arrest". Nadhani exposure yao ni kubwa sana kwa siasa za mataifa mbalimbali ikiwemo siasa za bara la Africa. Tunafahamu katika tools za kupatia taarifa kwa mashirika ya...
  13. Tony254

    Larry Madowo gets Promoted to International Correspondent months after joining CNN

    Nyota ya huyu Kijana inazidi kung'aa tu. The guy is achieving greatness right infront of us. Hongera Larry. Alianzia KTN akaenda Ntv, Kisha akaenda BBC, sasa yuko CNN. Amekuwa Nairobi Correspondent kwa miezi miwili tu sasa amepandishwa cheo na kuwa international correspondent, sasa kazi yake...
Back
Top Bottom