maiti

Maiti is an Indian surname that may refer to

Abha Maiti (born 1925), Indian politician
Ajit Kumar Maiti (born 1928), Indian neurophysiologist
Kalobaran Maiti (born 1967), Indian physicist
Mrigendra Nath Maiti, Indian politician
Samarpan Maiti (born 1988), Indian scientist, human rights activist and model
Souvik Maiti (born 1971), Indian chemist

View More On Wikipedia.org
  1. Fantastic Beast

    Hili la kuzuiliwa kwa maiti sababu ya bili kubwa mzizi wake ni huu, Wizara ya afya rudisheni utaratibu wa zamani

    Haka ni katatizo kadogo sana ambako wizara inajua mzizi wake ni nini, kama hawajui basi nawajuza. Kwanza hili tatizo huwezi kulisikia kwenye hospitali zifuatazo, kama lipo basi ni kwa udogo sana: Hospitali za Wilaya, Mikoa, Vituo vya Afya, Hospitali binafsi. Hili tatizo utalikuta hospitali...
  2. Tusker Bariiiidi

    Gari latumbukia Baharini Coco Beach

    Kuna clip inazunguka kwenye Watsap kuwa kuna Gari limetumbukia COCO BEACH mchana huu ==== Gari aina ya Toyota Land Cruiser Prado limetumbukia katika Bahari ya Hindi eneo la ufukwe wa Coco huku polisi wakieleza kusubiri afya ya dereva wa gari hilo kuimarika ili waanze uchunguzi. Kamanda wa...
  3. A

    If you want to destroy any nation without war, destroy their education system

    Watz wanawasiwasi na chanjo ya uviko 19 kutoka kwaabeberu. Hata hivyo vitabu vyote vya elimu mashuleni, vya mitaala, kiada kwa miaka zaidi ya 10 vinafadhiliwa na pesa za mabeberu. Ukitafakari kwa kina utaona kabisa ule usemi wa kimombo usemao if you want to destroy any nation without war...
  4. Pascal_TZA

    Yaliyojificha Mochwari, hatosahau, maiti kufufuka, kupakwa makeup aliekaa miaka 7 anahudumia maiti

    Ushawahi kujiuliza nani atakuandaaa siku yako ya mwisho pale mwili utakapotengana na roho, nani atakuosha, nani atakuvisha? au ushajiuliza inakuwaje pale mtu anapofariki katika ajali viungo vyake vya mwili vikatengana, utumbo ukatoka nje? Maswali hayo yakanifanya nifunge safari mpaka Hospitali...
  5. R

    Maajabu: Maiti yagoma kuzikwa ili ivishwe viatu vipya

    Waombolezaji waliofika katika boma moja eneo la Kilingili, Vihiga nchini Kenya wameachwa midomo wazi baada ya mwili wa marehemu kukataa kuingia ndani ya jeneza hadi ulipovishwa viatu vipya alivyokuwa amenunua. Duru zinaarifu kwamba jeneza lililetwa kisha jamaa na marafiki wa mwenda zake...
  6. K

    Watanzania wanathamini wafu kuliko walio hai

    Mtanzania yuleyule anayeandika kwenye barua, kwenye mtandao wa kijamii au anayezungumza kutoa pole na kuomba dua anaposikia msiba ndiye huyohuyo anayekuona upo kwenye hatari ya kifo asiseme kitu. Hakuna Mtanzania kiongozi wa kitaifa aliyesimama nakusema kuwaweka mahabusu watu bila sababu za...
  7. jeipm

    Wajane na wagane wapewe haki kisheria kuosha maiti za wapendwa wao

    Hili Jambo nimekuwa nikilishangaa hasa kutokana na dini kupoka wajibu wa mke au mme kuosha maiti ya mwenzi wake, mkewe au mmewe pale anapopatwa na mauti. Kwa sababu ndoa ni agano la mme na mke(mwili mmoja) kwa hiyo mme au mke aliyefiwa na mwezie ndie awe na haki ya kumuosha mpendwa wake. Hii...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Diamond Ushakosa Tuzo, Jua Nafasi yako. Achana na Washamba

    DIAMOND ACHANA NA WASHAMBA/MALIMBUKENI. TAMBUA NAFASI YAKO. Na, Robert Heriel Kitu ambacho kinakwamisha Watanzania tuliowengi ni USHAMBA/ULIMBUKENI. Ulimbukeni ni like kitendo cha mtu kupata kitu Kwa kizuri au cha thamani Kwa mara ya kwanza, kitu kile kikamfanya atende kinyume na desturi na...
  9. ommytk

    Hivi kwanini kusafirsha mwili au maiti toka nchi za nje Ni gharama kubwa sana

    Wadau ebu leo tujadili ili kwanini kusafirisha maiti ni gharama kubwa mno kuliko kusafiri mtu ukiwa mzima na ikiwa maiti inakuja tu kama cargo na mtu unakaa ata vip lakini uwezi kuwa na gharama za maiti yaani nabaki najiuliza sipati jibu.
  10. Shujaa Mwendazake

    Ajali Morogoro: Gari liliwekewa Mashada ya Maua na abiria waliomboleza ili kukwepa Doria ya Polisi

    Basi linadaiwa kusababisha ajali jana mkoani Morogoro lilibeba mashada ya maua, dereva aliposimamishwa kwa mwendo kasi alidai Wanawahi Msibani Taarifa za kuaminika kutoka kwa abiria ni kuwa gari hilo halikubeba maiti na abiria wote waligeuka waombolezaji kila gari liliposimamishwa. Na taarifa...
  11. kimsboy

    Kuota umebeba maiti kwenye gunia ina maana gani?

    Leo nimeota ndoto kama ifuatavyo. Nimeota nimebeba maiti ya mtu aliyeuliwa nilikuwa nimebeba kwenye gunia. Cha ajabu hiyo maiti sijui hata nani alimuua hata huo mwili siijui cha ajabu nilikuwa nabeba nachoka nilikuwa nimeambatana na rafiki yangu lakini cha ajabu rafiki yangu alikua hataki...
  12. hamis77

    #COVID19 Corona: Maiti za Waafrika zitatapakaa mitaani – Melinda Gates

    MELINDA GATES, mke wa bilionea Bill Gates wa Marekani, ameonya kwamba iwapo dunia na hususani Afrika haitachukua hatua za haraka za kukabiliana na janga la virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19, maiti za Waafrika zitatapakaa katika kila mitaa ya Afrika mijini na Vijijini. Bi...
  13. Ghazwat

    Dar, Zanzibar: Hofu Maiti 15 zikikutwa kwenye viroba

    Wavuvi na wafanyabiashara katika masoko na minada ya samaki ya Kunduchi, Ununio na Feri jijini Dar es salaam wanaishi kwa hofu baada ya kuwepo kwa taarifa za kuopolewa miili 15 ya watu baharini ikiwa imewekwa katika mifuko maalumu kama viroba, Bara na Zanzibar. Kwa mujibu wa chanzo cha uhakika...
Back
Top Bottom