Hivi kwanini kusafirsha mwili au maiti toka nchi za nje Ni gharama kubwa sana

ommytk

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
482
1,054
Wadau ebu leo tujadili ili kwanini kusafirisha maiti ni gharama kubwa mno kuliko kusafiri mtu ukiwa mzima na ikiwa maiti inakuja tu kama cargo na mtu unakaa ata vip lakini uwezi kuwa na gharama za maiti yaani nabaki najiuliza sipati jibu.
 
Wadau ebu leo tujadili ili kwanini kusafirisha maiti ni gharama kubwa mno kuliko kusafiri mtu ukiwa mzima na ikiwa maiti inakuja Tu kama cargo na mtu unakaa ata vip lakini uwezi kuwa na gharama Za maiti yaani nabaki najiuliza sipati jibu
Kuna ukweli wowote kwenye hili ?
 
Back
Top Bottom