Yaliyojificha Mochwari, hatosahau, maiti kufufuka, kupakwa makeup aliekaa miaka 7 anahudumia maiti

Pascal_TZA

Member
Mar 25, 2014
17
36
Ushawahi kujiuliza nani atakuandaaa siku yako ya mwisho pale mwili utakapotengana na roho, nani atakuosha, nani atakuvisha? au ushajiuliza inakuwaje pale mtu anapofariki katika ajali viungo vyake vya mwili vikatengana, utumbo ukatoka nje?

Maswali hayo yakanifanya nifunge safari mpaka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika chumba cha kuhifadhia maiti wenyewe wanapaita wodi namba 26, hapa miili hutengenezwa kama gari lililopondeka likipelekwa gereji.

Mwili hupigwa msasa kwa kurudishia viungo mahali pake, kazi ambayo hufanywa na wataalamu waliosomea.

 
Back
Top Bottom