maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Latifasaid

    Kwa mahitaji ya viwanja maeneo ya kigamboni, Bagamoyo, Dodoma unapata kwa bei poa. Malipo ni kwa awamu ndani ya mwaka na ukitaka kulipa kwa mkupuo pia

    Habari zenu ndugu jamaa na marafiki. Huu ni wakati sahihi wa kumiliki kiwanja chako kwa bei nafuu pia ulipaji wake ni wa awamu yaani kidogo kidogo. Viwanja vipo karibu na barabarani na vishapimwa kabisa. Kampuni yetu ipo tayari kukuhufumia ndugu mteja. Karibu tukuhudumie. Kwa mawasiliano...
  2. Y

    Natafuta kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa , Ipagala au Nzuguni

    Salaam wadau. Natafuta Kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa, Ipagala au Nzuguni. Kiwe kimepimwa na kiwe na hati kwa Matumizi ya makazi. aksanteni.
  3. Jackal

    Kumekucha: Israel yashambulia maeneo nyeti ya Hamas na Islamic Jihad

    Israeli Air Force struck Hamas and Islamic Jihad terror infrastructure, military bases, weapon warehouses and other terror targets in Gaza. 👏
  4. S

    Waliojenga katika maeneo ya viwanda Pugu Road na maeneo mengine ya nchi wajiandae

    Kuna clip iko kwenye mitandao ikimuonyesha Waziri wa Ardhi, Bwana Lukuvi akitaka maeno ya yaliyotengwa kwa akili ya viwanda huko barabara ya Pugu na sasa yanatumika kwa shughuli nyingine yachunguzwe na hatua zichukuliwe. Ameagiza vibali vichunguzwe na waliobadili matumizi ya viwanja hivyo kwa...
  5. Nyankurungu2020

    Kwa mliowahi kufika Gaborone, ile gereji ya watanzania maeneo ya Mogoditshane, Gaborone bado ipo?

    Hii ilikuwa kama kijiwe cha wabongo kukutana wakiwa Gaborone ili kubadilishana mawazo na kupeana mikakati. Ilikuwa ikimilikiwa na wabongo toka maeneo ya Iringa hivi hii gereji bado ipo?
  6. Elon Mzebuluni

    House4Rent Natafuta chumba cha kupanga (double) maeneo ya Paloti, Arusha mjini

    Hello! Habari wandugu kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza. Bajeti yangu 60,000 to 70,000. Asante.
  7. Carnivora

    Mtandao wa Airtel unasumbua mno maeneo ya mikoa ya Pwani

    Habari zenu wana jamvi, Katika siku za karibuni mtandao wa simu wa Airtel Tanzania unasumbua sana maeneo ya Dar es Salaam, Mkuranga, Kibiti, Rufiji hata Kilwa. Hili tatizo limewahi kujitokeza siku za nyuma lakini wenye mtandao wao wakakaa kimya kama vile hakijatokea kitu. Nitaeleza siku ya...
  8. beth

    Maeneo ya kambi za wakimbizi kurejeshwa Serikalini

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamis Hamza amesema Serikali inaendelea na jitihada za kupunguza tatizo la wakimbizi Nchini kwa kuwarejesha makwao wakishirikiana na Jumuiya za Kimataifa na Nchi wanazotoka Akiwa Bungeni Dodoma, amesema "Baada ya Wakimbizi hao kuondoka maeneo yote ya kambi...
  9. T

    Namtafuta rafiki yangu aliyeishi maeneo ya Mwenge magorofa ya Jeshi miaka ya 2005-2009/10

    Habarini ndugu zangu, poleni na majuumu, namtafuta rafiki yangu kipenzi anaitwa JOSHUA RUSHINGWA (NDALU), nilipotezana naye mwaka 2009, yeye alisoma shule ya Sekondari KAMBANGWA, na alikuwa anaishi Mwenge magorofa ya jeshi karibu na mlalakuwa, ukiwa unatokea Sinza Afrikasana ni baada ya kota za...
  10. D

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi...
  11. Kurunzi

    Sasa ni wakati Wamachinga wapewe maeneo rasmi ya kufanyia Biashara

    Baada ya Mwendazake kuondoka sasa ni wakati wa kuwaondoa wamachinga wote sehemu zisizokuwa rasmi kibiashasha na kuwatafutia sehemu rasmi. Lazima tuwe na utaratibu sasa, jiji la Dar wamachinga wamekuwa kama uchafu, ukifika Kariakoo barabara Msimbazi, makutano ya Msimbazi Uhuru wamacinga mpaka...
  12. Hazard CFC

    Maeneo ya biashara Mbezi Louis stendi mpya walengwa ni kina nani?

    Frem ya mita 3 kwa 4 ni milion 5 kwa kodi ya mwezi. Hiyo hapo ni kwa ajili ya E.MONEY shops(uwakala) sijui mtu atafanya biashara kiasi gani kuweza kupata kiasi hicho cha kodi,mshahara wa mfanyakazi/kodi za serekali, faida n.k Picha ya tatu ni mita za mraba 42 eneo la cafe na fastfood bei ni...
  13. The Sheriff

    Si kila jengo, eneo na barabara lazima ipewe jina la Mwanasiasa au Kiongozi. Kuna Wanamichezo na Wasanii wanaopaswa kuenziwa ili kulinda historia yetu

    Marehemu mzee Morris Nyunyusa Nina jambo moja ambalo huwa linanitatiza kidogo. Majina ya viongozi wa kisiasa ndiyo yametanda kila kona ya nchi yetu. Kuanzia majengo, mitaa, barabara, taasisi za elimu na nyinginezo. Hili sina shida nalo na wala sina dhamira ya kulifanya kuwa shida akilini mwangu...
Back
Top Bottom