madhila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    Mikasa iliyotokea kipindi wanaigiza filamu za Yesu

    Haikuwa kazi nyepesi kuigiza movie za Yesu. Songombingo lilianza katika ile scene ya msalabani. Scenes zote ilikuwa rahisi sana isipokuwa ile ya msalabani. Kwenye ile movie ya mwaka 1979 ya Yesu iliyoigizwa na Decon, Brian Deacon anasimulia kwenye interview kuwa wakati wa scene ya msalabani...
  2. R

    Kama waziri alimtongoza demu wa Diamond kisha kumtaka atunge wimbo wakuisifia serikali; wasanii wengine wanapitia madhila kiasi gani?

    Natafakari kwanini wasanii wetu wanapopata changamoto au mafanikio ushindwa kuyasimamia badala yake utafuta wanasiasa wawalinde. Diamond anasema demu wake alitongozwa na waziri na kisha waziri huyo huyo anawalipa wamfisie yeye na wizara yake. Na hata baada ya kubainika kuwa huyo waziri alitumia...
  3. S

    Nilitegemea uhitaji wa katiba mpya uwe kipaumbele cha kila mwana-CCM ili madhila ya Awamu ya Tano yasijirudie

    Watu mlio karibu na rais Samia msijisahau sana na wala msione mmepata na hivyo kuamua kupuuza uundwaji wa katiba mpya. Tunataka katiba itakayompunguzia rais mamlaka na itakayoweka mipaka ya uongozi wake. Lkn cha muhimu zaidi rais awajibishwe pale atakapobainika kakosea. Katiba hii ni mbovu...
  4. F

    Rais Samia atengue kauli yake ya yeye na Magufuli ni wamoja, au aombe radhi kwa madhila yaliyowapata baadhi ya watanzania kwenye awamu ya 5

    Baada tu ya kuingia madarakani kama Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kusema kuwa yeye na Magufuli ni wamoja. Sijui kama wakati ule au hata wakati huu Rais anafahamu uzito wa maneno hayo. Kusema kuwa ni mmoja na mtu mwingine kunaweza kumaanisha mengi ila...
  5. Pac the Don

    Wengi humu tulipingwa kuhusu madhila haya

    Sasa leo wameanza kukiri waenyewe tena wazi wazi kabisa, mwanzoni tuliambiwa sijui wanajiteka wenyewe mara walikua mafisadi. -- “Wakati wa serikali ya awamu ya tano,tulilalamika hata Bungeni nilizungumza,watu walikuwa wanatoka huko Ikulu wanasema ni maelekezo ya Rais,unakamatwa unanyang'anywa...
  6. S

    Nataka kumfungulia kesi Hayati Dkt. Magufuli kwa madhila aliyowafanyia Watanzania

    Magufuli amewatendea mabaya watanzania ktk mambo mengi Sana. Tumewasikia viongozi mbalimbali wakitoka hadharani na kulalamika. Mifano hii hapa:- 1. Zitto ...shamba lake la korosho lilitaka kuchomwa 2. Askofu Mwingira amenusurika mara 3 kuuawa 3. Padre Pascal Luhengo wa Mahenge Morogoro ambaye...
  7. Victor Mlaki

    Ujenzi wa madarasa nchini na madhila wanayoyapata wakuu wa Shule

    Habarini wanajamvi!.. Tunafahamu kinachoendelea juu ya ujenzi wa madarasa kote nchini chini ya ufadhili wa IMF lakini kinachofanyika kimenisukuma kuandika haya. Mosi, wakuu wa shule wamejikuta katika wakati mgumu sana kutokana na kuwepo kwa wimbi kubwa la wakaguzi na wafuatiliaji ambao kila...
  8. K

    Kukuza mtandao na kuwa waaminifu kutatuepusha na madhila ya tozo mpya ya CCM

    Ndugu zangu tupo vitani kwa Sasa, Vita hii ni Kati ya watawala wanaolishwa na Kodi zetu dhidi ya watawaliwa. Familia chache zinazotawala nchi hii zimetuletea Kodi kubwa pamoja na tozo huku wakijinadi kwamba TUTAZOEA TU. Hatuna budi kushikamana na kupeana mbinu zakushinda Vita hii, nawaletea...
  9. S

    Rais Samia, unda tume huru ya kuchunguza madhila wanayopitia wananchi wa Tanga

    Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu amekua akizunguka maeneo mbalimbali akisisitiza ukusanyaji wa mapato na matumizi sahihi ya fedha hizo, amewataka viongozi waliopo chini ya wizara yake kuzingatia taratibu zote katika utumishi wa umma. Mbaya zaidi alipokua ziarani Tanga alimtolea mfano Martin...
  10. Mshana Jr

    Roho ya kukataliwa: Chanzo/asili na madhila yake

    Kama wewe si mmojawapo basi kwa vyovyote kuna mtu unamfahamu mwenye hili tatizo. Anaweza kuwa ndugu jamaa ama rafiki. Ni jambo baya na lenye kutatiza mno. Watoto wa mtaani wanasema KIMAVI. Mind you sizungumzii ile kuchukiwa na mtu mmoja mmoja kwa sababu zisizoeleweka. Huwezi kupendwa na kila...
Back
Top Bottom