Tunapoandika humu kuhusu dhiki za kutisha za watanzania kwa sasa tunaonekana Wachochezi.
Hebu niambie huu ni usherekeaji gani wa sikukuu? Hapa kuna mtoto yeyote wa kiongozi wa Tanzania? Jamani umasikini ni dhambi na ni laana kuu hatutakiwi kujivunia.
BASHUNGWA AIAGIZA TEMESA KUBORESHA HUDUMA ZA VIVUKO
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kuhakikishia anasimamia masuala ya usalama katika vivuko vyote nchini ili viweze kutoa huduma bora pamoja na kulinda usalama...
Wasaaaalamu
Hali ya usafiri Kigamboni imekuwa mbaya sana wananchi wanahaha na kuhangaika,kwa sasa ni kivuko kimoja tu MV KAZI ndio kinatoa huduma hii inasababisha mrundikano wa raia wanaosubiri kupata huduma ya kivuko na kuleta kero kubwa sana
Mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote alietolea...
Sina mengi,
Kivuko cha buguruni chama binafsi sikioni kama Kiko salama, naomba mamlaka husika ikitupie jicho, baadhi ya mabati ambayo ndiyo tunapita juu yake yameanza kuacha space au kuachana.
Ni hayo tu.
Wasalaamu.
Kufuatia maandamano ya baadhi ya wananchi wa Kata ya Msigani, Jimbo la Kibamba Wilayani ya Ubungo jijini Dar es Salaam katika eneo la Mbezi Kibanda cha Mkaa, wakiishinikiza serikali kuwajengea kivuko chenye usalama zaidi katika eneo hilo, kutokana na ajali za mara kwa mara, Mkuu wa Wilaya ya...
Kwa masikitiko makubwa naomba serikali iingilie kati suala la VIVUKO VYA KIGAMBONI kutokana na hali ya uchakavu iliyopo katika VIVUKO hivyo ili kunusuru majanga yanayoweza kutokea.
Tangu hii wiki ianze wananchi wamekuwa wakiteseka sana pale kwa foleni ndefu magari na mlundikano mkubwa kwenye...
Nimepita maeneo ya feri Dar es Salaam kwa ajili ya kuvuka kwenda upande wa Kigamboni. Nilichokiona pale kwa kweli kimenifikirisha na kunitafakarisha sana na kunifanya niwaze sana juu ya mustakbali wa nchi hii.
1. Kuna dalili kampuni ya Azam imepewa dili kinyemela kufanya kazi ya kuvusha watu...
Kisiwa cha Mombasa nchini Kenya kimeunganishwa na njia tatu za kuingia na kutoka kwenye mji huo mbili zikiwa madaraja ya barabara. Upande mmoja wa kuingia kisiwa humo(Likoni) ni kutumia feri kama zile zetu za Kigamboni. Sehemu hii ilishindikana kuweka daraja kutokana na kuwa njia kuu kwa meli...
Kumekuwa na changamoto kubwa kwenye vivuko vya Watembea kwa Miguu.
Unakuta barabara ina mifereji mikubwa ya Kupitisha maji na mifereji hiyo iko wazi haijafunikwa na hapo hapo kuna kivuko ambacho Mvukaji akishavuka hicho kivuko anakutana na Mfereji mkubwa kiasi kwamba hata Akiruka hawezi kuupita...
Nikiri wazi kuwa mimi ni mmoja wa watuamiaji wa vivuko vinavyosimamiwa na TEMESA katika eneo la Ferry Kigamboni.
Niwapongeze kwa kuingia makubaliano na Azam kama mdau wa usafiri wa majini kwa kuja na SEATAX ingawa nijuavyo yapo mazingira ya kunufainishana kwa wakubwa in either ways and levels...
Imani yangu ndogo sana na hii TEMESA kwa sasa kuhusu huduma hizi za vivuko Kigamboni ila ngoja twende kuna siku huu Uzi mtakuja kurepost.
Yaani Kigamboni kwa sasa ipo kama yatima fulani vile ila muda ni mwalim ngoja muda utaongea.
MV Kazi ina muda atuioni mpaka sasa tumeisahau, Magogoni mguu...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amesema CCM itaendelea kuweka msukumo kuhakikisha miundombinu ya barabara na vivuko inaboreshwa Kwenye Wilaya ya Kigamboni kwa sababu ni lango la uchumi wa Taifa.
Amesema kwa sasa asilimia 90 ya bidhaa ya mafuta yanayotumika nchini...
Kwa barabara zetu kuu ( Highways) hivi hakuna kigezo kwa wakandarasi wa barabara kuweka vivuko vya watembea kwa miguu stahili zaidi ya kuchora mistari ya pundamilia? Nimeandika hivi kwa sababu barabara zetu kuu karibia zote zimejaa matuta na Zebra kitu ambacho nahisi kinaweza kuwa hata nje ya...
Mhe. Dorothy George
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Kwa kushirikisha na TARURA -Temeke 25/01/2022, wameanza Operesheni ya kuvitambua Vivuko Vya watembea Kwa Miguu vivilivyoko ndani ya Maeneo ya Wakazi wa Jimbo la Temeke Kwa ajili ya kuandaa Mpango Maalumu wa kujenga Vivuko Vya kudumu ili kupunguza...
Mimi nashauri badala ya kuongeza vibao ya 50kms/ kwenye barabara kuu
Tuanze kufikia suluhisho ambalo ni kuweka vivuko vya juu au chini vya waenda kwa miguu
Mfano: Barabara ya Arusha kwenda Dar; kutokea Arusha hadi Same miji inaunganika kwa kasi sana, sasa bila kuanza kufikiria suluhisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.