Tanga kuna usafiri wa moja kwa moja kwenda Kondoa kupitia Kiteto

BARDIZBAH

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
4,793
8,494
Msaada tafadhali. Tanga kuna usafiri wa moja kwa moja kwenda Kondoa kupitia Kiteto?

Na nauli yake imekaaje?
 
Shukran sana mkuu. Inaonekana kipande kikubwa ni vumbi? Maaba nikiangalia kwenye map naona sio pakubwa sana.
Vumbi linaanzia Handeni-Kiteto (Kibaya)-Mrijo-Kondoa. Kipindi cha mvua jiandae kisaikolojia. MiTo mingi haina madaraja
 
Back
Top Bottom