HABARI WAPENDWA: NAOMBA USHAURI JUU YA SUALA LIFUATALO:
Taaluma yangu imeniwezesha kukutana na wanafunzi wa ngazi mbalimbali wenye ndoto na nafasi za kusoma/kuendelea na elimu ila kutokana na changamoto za kifamilia na kipato cha wazazi wanalazimika kutafuta misaada.
Binafsi nimefanikiwa...
Wasalaam wanajamvi, Mimi ni mdau wa elimu nchini nikiwa ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani ila nimekulia Mkoa wa Mara. Kwa kipindi chote nilichokaa Mkoa wa Mara na hasa halmashauri ya Bunda mji nimebaini mambo mbalimbali katika mashule ndani ya halmashauria mbayo yanachangia ufaulu au anguko la...
STORIES OF CHANGE
JINA LA ANDIKO: MZAZI NA MABADILIKO KIELIMU.
MWANDISHI; ACYER MAMU
-MCHANGO WA MZAZI KATIKA MABADILIKO YA KIELIMU
Kumekuwa na mabadiliko makubwa katika sekta ya elimu kadri ambavyo siku zimezidi kwenda.Mabadiliko hayo yameweza kupelekea kuongezeka kwa idadi kubwa ya wasomi...
I. Utangulizi
Tanzania, sawa na nchi nyingine duniani, inatambua umuhimu wa elimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Kwa miaka mingi, serikali imefanya juhudi kubwa kuendeleza mfumo wa elimu, kutoka kwa elimu ya msingi hadi chuo kikuu. Hata hivyo, bado kuna changamoto nyingi ambazo zinakabili...
Maswali kwa Wizara ya Elimu Tanzania na kwa wadau wote humu Jamiiforums:
Kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya kidato cha nne 2022.
1. Kwanini wizara haijaamuru matumizi ya lugha ya kiswahili katika kufundisha na kuondoa matumizi ya lugha ya kiingereza katika ngazi zote za kielimu hapa nchini...
Wanabodi,
Makala ya Jumapili ya leo.
Juzi, Ijumaa, Tanzania tumeadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania, na kiukweli tumefanikiwa sana katika mambo mengi ya kisisasa, kiuchumi na kijamii, ila pia lazima tukubali, hapa tulipo, sipo mahali tungepaswa tuwe, tulipaswa kuwa mbali zaidi ya hapa...
Ebu leo naomba tuangalie hizi jamii mbili katika ya wahindi na wanaigeria hivi kwanini awa watu wanapiga atua.
Pia uwezi kwenda sehemu ukamkosa kati ya awa watu wawili pia ukiangalia ata kwenye utajiri wa Dunia wapo aiseee. Hizi jamii mbili kwakweli zipo mbali kimaendeleo ata kielimu na...
NB: Wachaga wameelimika ila niwaweke pembeni hawa hawategemei ajira pekee.
Tofauti na zamani tulivyozoea makabila yaliyoelimika na kutegemea ajira kwa asilimia kubwa kama wahaya kujazana maofisini kwa vyeti vyao, kwa sasa hali ni tofauti kabisa..
Zamani elimu ilikuwa inapatikana kwa uchache...
Mabadiliko katika nyanja za kielimu, utawala,uchumi, afya,kilimo sayansi na teknolojia yanaweza kuchochewa na sababu zifuatazo.
Uzalendo. Uzalendo ni miongoni mwa sababu kubwa sana inayoweza kuchochea mabadiliko katika nyanja mbalimbali.
Mfano, katika nyanja ya elimu kama walimu na baadhi ya...
Tumekua tukikalilishwa sana Watanzania kwamba elimu ni ufunguo wa maisha. NDIYO Elimu ni ufunguo wa maisha, lakini pia tukumbuke kwamba Elimu hiyo tunayowapa vijana wetu inawajenga vipi kifikra vijana wetu.
Je, inawasaidia au ndio inawaharibu kisaikorojia?
Tunajua hakuna jambo lenye faida tu...
Shirika la Kimataifa lisilo la Kiserikali The Foundation For Tomorrow limeendelea na programu ya kutoa elimu bora kwa watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kwa kuwasaidia udhamini wa masomo, kuanzia ngazi ya elimu ya awali hadi kidato cha sita ili waweze kujikwamua kimaisha.
Hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.