NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,853
NB: Wachaga wameelimika ila niwaweke pembeni hawa hawategemei ajira pekee.
Tofauti na zamani tulivyozoea makabila yaliyoelimika na kutegemea ajira kwa asilimia kubwa kama wahaya kujazana maofisini kwa vyeti vyao, kwa sasa hali ni tofauti kabisa..
Zamani elimu ilikuwa inapatikana kwa uchache sana na ilikuwa ni ngumu maana vitu kama material za kujisomea zilikuwa taabu kuzipata, shule zilikuwa chache, n.k
Kwa sasa hali imebadilika, shule zimesambaa zipo nyingi sana, tuishen zipo kibao, vitabu vya maswali na majibu vya pastpaper vipo, vyuo kibao, ni kawaida siku hizi shule haina division 4 wala 0.
Kwa sasa wenye vigezo vya kwenda maofisini ni karibu kila kabila tena kwa wingi, hali
Mfano ukienda hata vyuoni, zamani walikuwa wamejaa walimu wa kihaya kibao lakini leo hii utawakuta walimu wa makabila ambayo hata hatukuwai dhania.
Mbaya zaidi licha ya huu uhalisia naona wahaya wanazidi kukazia kusubiri ajira wengi wao kwenye biashara wanaishia kufanya ndogo ndogo tena hapo bado anawaza ajira, mtafika kweli ??
Kwa sasa biashara ndio jibu, Wachaga pamoja na kuelimika lakini biashara zinawaokoa sana na zimewaweka kuwa kabila lenye maendeleo makubwa hata bila ya kutegemea vyeo vya maofisini,,, ukija makabila mengine kama wakinga nao wengi hawajaelimika lakini biashara zimewapa maendeleo ,,,,, kwa hali hii wahaya hamstuki ???