hirizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Kumekucha, wachezaji wawili wote leo ndiyo wamebeba 'Majini na Hirizi' za Kuzibeba timu zao kwa Mkapa

    Na nawaombeni leo kabla ya Mechi kuanza kuweni makini kuangalia nini Watafanya au Kitafanyika ila Mpira ukianza tu watakuwa Wanakwepana. Pia kuna uwezekano mkubwa Wote wakafunga Magoli kwa Timu zao ila Kuumia kiasi kwa Mmoja wao au sana ni kwa 85% kutokana na Mizigo ya HATARI ya Kishirikina...
  2. Labani og

    Je aliyeleta ushindi wa simba ni Chama au shabiki aliyeenda fukia hirizi golini

    Wakati mechi ikiwa imekolea Makolo wakiendelea kupelekewa moto na mashujaa Jana. ...... Shabiki aliyekuwa amevaa jezi ya kolo fc then Baada ya kurukia uwanjani akaivua na kubakizwa na singlend ( kaushi) alienda golini Kwa mashujaa na kufukia dawa ( hirizi) ......then after while Chama akaanza...
  3. S

    Wanawake wanaovaa shanga kiunoni nawaona sawa na wavaa hirizi

    Binafsi licha ya kutopenda uvaaji wa shangaa kiuononi kwa wanawwke, tabia hii kwangu naiona ni sawa na kuvaa hirizi tu. Nikikutana na mwanamke anaemia shanga kiuononi, basi siku hiyo ndio inalkuwa ya mwisho kati ya mimi na yeye. Na wanaovaa haya mashangaa asilimia kubwa ni wa dini fulani na...
  4. Jemima Mrembo

    Je, Hayati Magufuli alikuwa na hirizi ya simba?

    Magufuli alikuwa ni mtawala anayeogopwa sana. Ukiitwa ofisini kwake unapatwa na ubaridi yabisi hadi kwenye mifupa. Watu wote tulimuogopa sana. Nchi nzima hakuna aliyeweza kumnyooshea kidole. Wataalam wa mambo yasiyoonekana wanasema ili uweze kuwa na kaliba ile ni lazima uwe na hirizi ya Simba...
  5. GENTAMYCINE

    Ni matumaini yangu Ikulu mpya inayoenda Kuzinduliwa hatutasikia nayo ina Hirizi nyingi na Kondoo wengi Wamezikwa

    Kuna Mtu Mmoja aliingia zamu yake ( mwaka nauhifadhi ) na alikuta Hirizi kila mahala huku Kondoo wakiwa Wamefukiwa hadi hawaka anashindwa Kulala ndipo Watu wa Maombi wakaitwa na Kuombea kisha vyote vikatolewa na ikawa salama na aliyekuwa navyo akaondoka navyo vingine Kwake Mikocheni, Masaki na...
  6. TODAYS

    Fisi waliopora Mtoto Wilayani Magu, wakutwa na hirizi

    Mamlaka ya usimamizi wa Wanyamapori TAWA mkoani Mwanza imefanikisha kuua fisi wawili walioripotiwa kupora mtoto na kumjeruhi katika kijiji cha Nsola kata ya Nsola Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza. Askari wa TAWA walifanikiwa kuwaua fisi hao huku mmoja akikutwa na hirizi katika mkia wake kama...
  7. M

    Je, Waziri Nchemba ni 'Hirizi' ya Awamu ya Rais Samia na kwamba ikitupwa Serikali haitoongoza vyema Tanzania?

    Labda Siku atakayomjibu hovyo Boss wake ambayo naiona haiko mbali ndipo ataondolewa katika Wizara aliyoko ili Watanzania tupumzike na Dharau zake, Kiburi chake na Ushamba wake.
  8. LIKUD

    Unayetafuta ngekewa na hirizi ya Simba hivi hapa, ufanisi wake ni 100%

    Nimetokea kuupenda na kuuamini zaidi uchawi wa Mzungu kuliko uchawi wa mwafrika/Mwarabu (msingi wa uchawi wa Mwarabu na Mwafrika ni the same). Uzuri wa uchawi wa Mzungu, ukiufuata vizuri basi matokeo yake ni asilimia mia moja. Sasa leo nataka nikufundishe kuhusu dawa ya ngekewa pamoja na dawa...
  9. JanguKamaJangu

    Pelekeni watoto Hospitali, msiwafunge hirizi –DC Tanga

    Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Hashim Mgandilwa, amewataka wazazi kuwapeleka hospitali watoto wanaozaliwa wakiwa na changamoto kama vile kuwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi badala ya kuishia kuwafunga hirizi na kubaki nao nyumbani. "Kuna wakati unaona mtoto kazaliwa akiwa na changamoto tamaduni...
  10. GENTAMYCINE

    Mmoja wa wachezaji hawa wa Yanga SC ndiyo atavaa hirizi ya timu leo

    1. Farid Musa 2. Bakari Mwamnyeto 3. Feisal Salum Fei Toto Hivyo nawaomba wachezaji wa Simba SC kama ikiwezekana wafukizwe sana moshi wa .... au wapakae mafuta ya nguruwe. Na kwa wale wa benchi la ufundi (siyo wachezaji) nawaomba muda mwingi wawe wameshika au wameweka ndimu au malimao karibu...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    Bora upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga!

    Nakutakia Ijumaa njema na wikiendi njema mwana JF mwenzangu. Weka msemo wako mkali wa kuisindikiza wikiendi ya kwanza mwezi wa kumi.
  12. OKW BOBAN SUNZU

    Hii ndio Afrika: Auawa kwenye jaribio la kuzuia risasi kwa hirizi

    Mvulana wa miaka 12, auawa kwa kupigwa risasi na kaka yake nchini Nigeria, katika jaribio la 'kuzuia risasi' kwa kuvaa hirizi mpya. Kwa mujibu wa polisi katika jimbo la Kwara, ndugu hao waliamini kuwa wamejiimarisha kwa kuvaa hirizi ya ulinzi, ndipo kaka mtu akampiga risasi mdogo wake kwa...
  13. LIKUD

    Hirizi ya Simba ya Freemasons vs Hirizi ya Simba ya mchawi au mganga wa kiafrika

    Kwamba ukiwa Na hirizi ya Simba uta demonstrate sifa, nguvu Na uwezo kama WA mnyama Simba kama vile kuogopeka nakadhalika. Muumini WA Dini ZA kiafrika ( ambae anaweza kuwa muislamu au mkristo) mchawi WA kiafrika, mganga wa kiafrika, mchawi WA kiarabu, mganga WA kiarabu akitaka hirizi ya Simba...
  14. ommytk

    Jana mara yangu ya kwanza kwenda kazini na hirizi

    Jana ilikuwa siku yangu ngumu sana kazini baada mtaalam wangu juzi nilienda kumuona kunipa hirizi niende nayo ofisini niweke juu chini kapeti la miguu mlangoni then jioni niondoke nayo ili kuweka mambo yangu sawa ofisini. Haikuwa kazi nyepesi siku nzima siku na raha nikiwaza pale kapeti...
  15. Mshana Jr

    Hirizi ni mzigo mzito sana

    Unajiuliza nini dhima ya hirizi maungoni? Unakuja kugundua mvaaji kapewa ili IMLINDE! Imlinde na uchawi Imlinde na wanga Imlinde na chuma ulete Imkinge na mambo yote mabaya Impe mvuto Impe ngekewa nknk Unatafakari vile ilivyo.. Je ina uwezo wa kufanya yote haya? Ni kweli kabisa hirizi ni kubwa...
Back
Top Bottom