LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,121
- 27,128
Nimetokea kuupenda na kuuamini zaidi uchawi wa Mzungu kuliko uchawi wa mwafrika/Mwarabu (msingi wa uchawi wa Mwarabu na Mwafrika ni the same). Uzuri wa uchawi wa Mzungu, ukiufuata vizuri basi matokeo yake ni asilimia mia moja.
Sasa leo nataka nikufundishe kuhusu dawa ya ngekewa pamoja na dawa ijulikanayo kama hirizi ya Simba.
Uchawi wa ngekewa miongoni mwa Waafrika na Waarabu
Kwanza ngekewa ni nini?
Ngekewa ni mnyama ambaye anapendwa na wanyama karibu wote wa porini. Mnyama huyu anapo onekana basi kundi la wanyama wa porini humfuata kumshangaa huku wakimyonyesha upendo wa hali ya juu.
Uchawi wa ngekewa ni nini? Uchawi wa ngekewa kwa mujibu wa imani za kiafrika ni uchawi utakao kufanya upendwe na watu kama anavyo pendwa ngekewa. Iwe ni kwenye biashara, kazi , ofisini etc.
Mwafrika/Mwarabu akitaka kupendwa kama ngekewa atafanya nini?
Mwafrika/Mwarabu akitaka watu wampende kama ngekewa atatafuta athari ya ngekewa kama vile ngozi, meno, mifupa, mafuta na kadhalika, atavifanyia dua au tambiko maalumu kisha ama atachanjiwa au ataweka kwenye mkoba wake au kwenye biashara yake au kwenye kiti chake ofisini etc, ili eti na yeye awe anapendwa kama anavyo pendwa ngekewa.
Matokeo huwaje? Matokeo ni sifuri. Huwezi kupendwa kama ngekewa simply kwa sababu umechanjiwa athari ya ngekewa au umejipaka mafuta ya ngekewa etc.
Mzungu na uchawi wa ngekewa
(Mzungu akitaka kupendwa kama ngekewa hufanya nini?)
Mzungu akitaka kupendwa kama ngekewa hufanya mambo yafuatayo:
1. Ata mstudy ngekewa kwa muda mrefu. Atasoma vitabu vingi vilivyo andikwa na wataalamu walio bobea kuhusu ngekewa ( wataalamu wa mambo wanasema kwamba kama unataka kuwa expert wa kitu chochote kile basi soma vitabu 400 kuhusu kitu au jambo hilo kwa muda wa miezi sita hadi mwaka mmoja na utakuwa expert wa jambo hilo without a doubt).
Kama kusoma vitabu haitoshi hata tazama documentary za kitaalamu kuhusu ngekewa na on top of that ataenda kwenye mbuga za wanyama ambako ngekewa wanapatikana atafanya on site study kuhusu ngekewa. Baada ya kufanya yote hayo atazigundua sababu za kisayansi kwanini ngekewa anapendwa na kila mnyama. So
2. Mzungu ataanza kuiga hizo tabia za ngekewa ambazo zinamfanya apendwe na kila mnyama. Na mwisho wa siku ataanza kupendwa kama ngekewa.
Mifano hai: Mzungu alijifunza kurusha ndege kwa kuwa study ndege wanao paa. kitu gani kinafanya waweze kuruka angani na kupaa. Baada ya kugundua kitu hicho na yeye akatengeneza ndege inayo paa.
Mwafrika au Mwarabu angechukua mafuta au mifupa au mabawa ya mwewe/kunguru/tai na kisha kuyasomea dua au tambiko kisha kwenda juu ya mlima au mti mrefu na kujiachia akiamini atapaa kwasababu amechanjiwa mafuta ya ndege anaepaa. What would happened to him? Distaster.
Mwafrika/Mwarabu kwa kuwa anajua mtende unaota jangwani basi akitaka biashara yake isimame hata katika mazingira magumu ambayo hayaruhusu biashara yake kufanikiwa, ataenda kuchukua mizizi ya mtende au magamba ya mtende na kuyasomea dua au kuyafanyia tambiko huku akisema kwamba kama mti huu wa mtende ulivyo weza kuota jangwani basi hata mimi baishara yangu ita thrive na kusurvive pamoja na kwamba ipo katika mazingira magumu.
Lakini Mzungu yeye atausoma mti wa mtende kutaka kujua kitu gani kina ufanya kusurvive jangwani ambako miti mingine haiwezi kusurvive.
Atagundua vitu vingi sana. Moja kati ya vitu hivyo ni pamoja na uimara wa mizizi ya mti wa mtende. So atagundua ahaa kumbe moja kati ya sababu zinazo ufanya mti wa mtende uweze kusurvive jangwani ni pamoja na uimara wa mizizi yake. Basi Mzungu atatengeneza mizizi imara kwa ustawi wa biashara yake n.k.
Hirizi ya Simba vivyo hivyo
Mswahili/ Mwarsbu atatafuta hirizi ya simba porini au athari ya simba porini na kujichanja huku akiamini kwamba kwasababu hiyo ataogopwa na watu kama simba anavyoogopwa. Akitoa kauli yake watu wote wataufyata.
Lakini Mzungu yeye atamstudy simba kisha ataanza ku imitate tabia za simba na mwisho wa siku ataanza ku demonstrate characters za simba na ataogopwa na kuheshimika kama simba anavyoogopwa porini.
Tazama jinsi taifa la Marekani kinachotumia sifa za ndege eagle ku exist. Siyo uchawi hapana ni sayansi. Acha kufuata uchawi wa Kiafrika/Kiarabu anza ku practice uchawi wa Kizungu. Utakuja kunishukuru.
Uchawi wa Kiafrika utadumaza uwezo wako wa kufikiri na uchawi wa Kizungu utapanua uwezo wako wa kufikiri.