Tetesi: Kimenuka Mtama: Nape akatisha shughuli za Serikali na kuitisha mkutano wa hadhara

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Kama ni jua basi tungesema jua la Mbunge wa Mtama Nape Nnauye limeanza kuzama na kumfanya kada huyo wa CCM kuweweseka. Hii ni baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kumpiga "stop" asihudhurie shughuli ya 40 ya mtangulizi wake Hayati Bernard Membe inayofanyika kesho 26/3/2023 kijijini Rondo-Chiponda.

Taarifa kutoka Rondo zinaeleza kwamba Nape ameitisha mkutano wa dharura wa hadhara hapa hapa Chiponda mita kadhaa kutoka nyumba ya Membe ambapo hadi ninaleta Uzi huu vijana wanapita na vipaza sauti kualika watu.

Aidha, imeelezwa kwamba Nape anatarajia kutumia mkutano huo "kuwajibu" wananchi wa Mtama kuhusu madai na malalamiko ya kuwadharau, kuwapuuza katika mambo ya maendeleo.

Kwa taratibu za Wamwera siku moja kabla ya shughuli ya 40 machifu hukutana "kufanya yao" na kwamba Nape amepanga kuvamia kikao hicho cha machifu.

Mmoja wa wanafamilia ya Membe amesema, "kama familia tuna wasiwasi sana na Mpango huu wa Mbunge wetu Nape wa kutaka kuvuruga shughuli hii ya kifamilia kesho na hata wazee wameanza kuingiwa hofu ya kushughulikiwa kwa kauli za mara kwa za kumkataa Nape kuwa arudi kwao Misungwi Mwanza kwa mama yake mzazi".

Duru za siasa Mtama zinadai kwamba Nape anamhofia mdogo wa marehemu Stephen Membe anayedaiwa kutaka kutwaa hilo Jimbo kupitia CHADEMA ambapo tayari amejiunga na chama hicho.

My take: Usalama wa Jeshi la Polisi katika tukio hilo ni muhimu sana Toka sasa Hadi kesho na siku zote.
 
Duru za siasa Mtama zinadai kwamba Nape anamhofia mdogo wa marehemu Stephen Membe anayedaiwa kutaka kutwaa hilo Jimbo kupitia Chadema ambapo tayari amejiunga na chama hicho.

Vipi tena!!? Wameanza kukanyagana tena. Nape si ni mtaalamu wa kukanyaga makalio ya kinamama wa kimwera!!?
 
Picha iko wapi?
 
Sijaelewa hii habari, mleta uzi hivi Huu tulionao ni mwezi gani? maana habari yako naona Arobaini ni mwezi wa tatu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom