Kiongozi wa paramilitary RSF ya Sudan azuru Uganda na Ethiopia

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,318
24,218
27 December 2023

SUDAN WATU 6,000,000 WAFURUSHWA TOKA MAKAZI YAO, 12,000 WAPOTEZA MAISHA

Kiongozi wa kikosi cha paramilitary cha Sudan jenerali Mohamed Hamdan Dagalo afanya ziara ya kipekee barani Afrika na kuzuru nchi za Uganda na Ethiopia.
1703788122562.png

Kikosi cha RSF kimekuwa kikipambana na majeshi ya serikali ya Khartoum Sudan na kusababisha mgawanyiko.

Mapigano ya majeshi hayo yasababisha raia milioni 6,000,000 kukimbia makazi yao na kuwa wakimbizi wa ndani ya nchi yao huku zaidi ya watu 12,000 kupoteza maisha yao katika nchi hii ya kiAfrika.

Sudan: RSF leader Dagalo visits Uganda​

Dec 27 2023 - The leader of Sudan’s paramilitary Rapid Support Forces (RSF) General Mohamed Hamdan Dagalo said on Wednesday he met Uganda's President Yoweri Museveni, his first confirmed appearance outside of Sudan since the war between RSF and the Sudanese army broke out in April.

Dagalo, whose whereabouts during the war have been unknown, said on X the two discussed developments in Sudan, as well as his vision for negotiations to end the war. Museveni confirmed the meeting in a post on X, saying he welcomed Dagalo to his country home Rwakitura.
1703775880302.png
 
27 December 2023

SUDAN WATU 6,000,000 WAFURUSHWA TOKA MAKAZI YAO, 12,000 WAPOTEZA MAISHA

Kiongozi wa kikosi cha paramilitary cha Sudan jenerali Mohamed Daglo afanya ziara ya kipekee barani Afrika na kuzuru nchi za Uganda na Ethiopia.

Kikosi cha RSF kimekuwa kikipambana na majeshi ya serikali ya Khartoum Sudan na kusababisha mgawanyiko.

Mapigano ya majeshi hayo yasababisha raia milioni 6,000,000 kukimbia makazi yao na kuwa wakimbizi wa ndani ya nchi yao huku zaidi ya watu 12,000 kupoteza maisha yao katika nchi hii ya kiAfrika.

Sudan: RSF leader Daglo visits Uganda​

Dec 27 2023 - The leader of Sudan’s paramilitary Rapid Support Forces (RSF) General Mohamed Hamdan Dagalo said on Wednesday he met Uganda's President Yoweri Museveni, his first confirmed appearance outside of Sudan since the war between RSF and the Sudanese army broke out in April.

Dagalo, whose whereabouts during the war have been unknown, said on X the two discussed developments in Sudan, as well as his vision for negotiations to end the war. Museveni confirmed the meeting in a post on X, saying he welcomed Dagalo to his country home Rwakitura.
View attachment 2855645
 
Hapo mh. rais jenerali Yoweri Kaguta Museveni ana muelewa sana jenerali Mohamed Hamdan Dagalo sababu kihistoria njia zao za kufikia kuchukua nchi zinafanana.
 
28 December 2023
Addis Ababa

Jenerali Mohamed Hamdani Dagalo apokewa kwa zulia la VIP leo nchini Ethiopia

View: https://m.youtube.com/watch?v=S3Prb_gnNHQ
The leader of Sudan's paramilitary Rapid Support Forces, General Mohamed Hamdan Dagalo, said on Thursday that he had visited Ethiopia and met with the country's deputy prime minister and foreign minister, Demeke Mekonnen, in his second confirmed appearance outside Sudan since the conflict between the paramilitary forces and the Sudanese army began in mid-April.

"Earlier this morning, I arrived to Addis Ababa, Ethiopia. I was greeted with warmth and generosity by the Ethiopian people. We were received by Deputy Prime Minister, Foreign Minister Demeke Mekonnen. We discussed the need to bring a swift end to this war, the historical crisis in Sudan, and how to best alleviate the hardships of the Sudanese people," Dagalo said in a statement.
 
Wale wanaojifanya wababe na huwa wanapenda kusema kwamba " Jeshi au serikali huwa haishindwi kitu" Wana kitu cha kujifunza hapa kutokana na mgogoro huu unaoendelea huko Sudan. Jeshi la Serikali linaonekana kama tayari "limetepeta" kwa Wanamgambo wa RSF.Mji Mkuu wa Serikali Khartoum tayari upo mikononi mwa Waasi, Jeshi la Serikali na Serikali yote tayari wameukimbia mji huo, na bado Waasi wanazidi kuteka miji zaidi na majimbo zaidi.
 
RSF ilikuwa kikosi ndani ya Jeshi la Serikali shida ilikuwa ni command structure
 
Back
Top Bottom