bifu

The Banking, Insurance and Finance Union (BIFU) was a British trade union.
The union was founded in 1946 as the National Union of Bank Employees (NUBE), when the Bank Officers' Guild and the Scottish Bankers' Association merged. In 1979, it was renamed the Banking, Insurance and Finance Union. In 1999, it merged with the NatWest Staff Association and the Barclays Group Staff Union to form UNIFI.By the time of its merger, the union had 113,000 members, in national and international banks, the Bank of England, insurance companies, building societies, finance houses and the Financial Services Authority. It was affiliated to the Trades Union Congress.

View More On Wikipedia.org
  1. Intelligent businessman

    Bifu la maslahi, linavyokatisha maisha ya mwana harakati wa mtaani

    Niliwahi kusikia habari za EAZY-E kwamba yeye ndiye GodFather of Gangsta Rap. Na zaidi nikaja kusikia kuwaKwa miaka ya 1986-1992 ni EAZY-E Pekee ndiye rapper aliyekuwa na pesa nyingi zaidi kuliko rapper yeyote. Lakini mwisho nikasikia habari mbaya zilizo husu kifo chake Habari zilisema...
  2. Nifah

    Romy Jones ndani ya bifu zito na Lamata!

    DJ maarufu nchini, Romeo George ‘Romy Jones’ ameingia katika bifu zito na bosi wake katika tasnia ya filamu mwanamama Leah Mwendamseke ’Lamata’ kwa kile kinachodhaniwa kuwa vita ya kimaslahi. Wawili hao wamefanya kazi kwa mafanikio katika tamthilia maarufu nchini ya Jua Kali, kabla ya kuibuka...
  3. Hance Mtanashati

    Bifu maarufu la Shah Rukh Khan na Sunny Deol lililodumu kwa miaka zaidi ya 20 mpaka kuisha kwake mwaka huu, tuna la kujifunza hapa

    Miongoni mwa mabifu yaliyowahi kutikisa nchini India basi bila shaka utazungumzia bifu lililokuwepo baina ya Shah Rukh Khan ukipenda muite King Khan au SRK na mbabe Sunny Deol. Hili bifu lilianzia kwenye Ile filamu ya Darr iliyotoka mwaka 1993 iliyowakutanisha Sunny Deol aliyecheza kama...
  4. Hance Mtanashati

    Hizi hapa bifu zaidi ya 60 zilizowahi kutikisa hapa nchini zinazohusisha wanamuziki, watayarishaji wa muziki, media nk

    Zifuatazo ni bifu zilizowahi kutokea hapa nchini ,baadhi yao ziliwahi kutokea na wahusika kumaliza tofauti zao na nyingine bado zinaendelea mpaka sasa. Clouds media vs Kalapina Clouds media vs Pfunk Clouds media vs Dudubaya Ruge vs Lady JayDee Ruge vs Sugu Ruge vs Diamond Platnumz Ruge vs...
  5. GENTAMYCINE

    Nilidhani ni Robetinyo tu ndiyo ana 'Bifu' na Phiri kumbe hata Gamondi nae hamtaki na ana 'Bifu' pia na Skudu?

    Ficheni tu na kaeni Kushadadia / Kushupalia ya Phiri na Robetinyo wakati kumbe hata Kwenu Skudu na Gamondi haziivi na tabasamu mnaloona wanawapeni ni la Kinafiki na Kuwazugeni tu. Halafu mwambieni Gamondi kwakuwa akiwa Avic Town Kigamboni ( Kambini ) Mazoezini huwa Anamchunia ( Hamsemeshi )...
  6. Hemedy Jr Junior

    Yafichuka mazito: Diamond Platnumz na Majizo bifu zao hazina mashiko

    Moja kati ya maboss wa Media, huwezi kosa taja jina la Majizo. Huyu ni Mkurugenzi na Mtendaji toka Radio E na TV E, ambaye kwasasa ni mume halali wa Elizabeth Michael (Lulu), japo alikuwa akitoka na Hamisa Mobetto before na kupata nae mtoto mmoja. Hamisa Mobetto ambaye ni mjasiriamali na msanii...
  7. Stress Challenger

    Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

    Popoma enzi hizo ndo amegraduate SAUT mwanza mass communication. Akawa anaandika threads na michango humu kwa kuweka rangi tofauti blue, nyekundu, njano, pink kwenye maandishi. Huyu GENTAMYCINE popoma mtutsi uchwara kama sikosei kwaanzia mwishoni 2013 akaanza bifu kali na mwanadada...
  8. Chikenpox

    Tatizo alianzisha bifu na Kila mtu ndio maana anapigwa au kupondwa kila Kona

    Yule mwamba wenu alianzisha bifu na kila mtu na kuwaita majina yasiyomithirika. Aliwananga Sana wastafu wakati wao ndio walikuwa wazuri kumzidi yeye ila akajiona yeye ndio anawazidi kwa akili zake fupi. Alifika hatua ya kuredi mpaka sauti zao kwenye mitandao mbalimbali kinyume kabisa na sheria...
  9. GENTAMYCINE

    Nimeamua Kukisanua: Mo Dewji hajaweka Tsh Bilioni 20 Simba SC, ila ameshapata Faida Robo ya hiyo Pesa tokea aichukue Timu

    Hakuna Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Mo Dewji alizoweka Simba SC na kama kuna mwana Simba SC anajua atuambie ameweka Benki ipi na Akaunti gani. Ninachojua ni kwamba Mo Dewji ( Mwekezaji ) wa Simba SC anadhamini Products zake bure kwa Mgongo wa Simba SC na kaamua pia kumvuta Dada yake karibu na...
  10. waziri2020

    Bifu ya hawa wawili Arusha bado mbichi

    Katika siku za hiv karibuni jijini Arusha kumeibuka bifu Baina ya wafanyabiashara wawili ambao inaelezwa hapo awali walikuwa marafiki wa kufa na kupikana. Wafanyabiashara hawa Elizabeth Mayani maarufu kama “Mama Shombee “ anayemiliki kampuni ya Newlook Bridal na Lilian Mosha mmiliki wa duka la...
  11. muafi

    Bifu kati ya wafanyakazi (walimu) na graduates (Jobles) inazidi kupamba moto

    Hapa katikati naona kama bifu kati ya wafanyakazi hasahasa walimu na jobless inazidi kuota mizizi hii nibbaada ya walimu wengi kupigana vikumbo na jobless kwenye kazi za sensa ongezeko la mshahara wa 23.3% isiyoeleweka limefanya walimu wadhihakiwe kila sehemu, sasaivi kila kitu wanaangushiwa...
  12. digalangosha

    Rais Samia unakumbuka haya, naona umeanza tena kuhusu muda wa madaraka ya Urais

    Mtangulizi wake ambae ni JPM alikuwa anafurahia kusifiwa kwamba ataongezewa muda, lakini naona plans zake zilipishana na plans za mwenyezi Mungu. Rais Samia naona na yeye kaanza kujitabilia kuongoza miaka tisa (9) mbele, bila kujua kama mwenyezi Mungu nae anazo plans pia. Kwa tunaoamini katika...
  13. Ettore Bugatti

    Maulid Kitenge, propaganda ulizotumwa kuzifanya kwa wana-Ngorongoro hazitakuacha salama

    Somebody said, AirPods journalist is looking towards being District Commissioner or equivalent in this regime. FYI my Brother Mshambuliaji, hawa ndugu zetu pale wapo kihalali na walihamishwa toka miaka 1950's kutoka Serengeti na nakukumbusha kuna amri ya mahakama ya Afrika Mashariki EACJ...
  14. N

    Bifu linaendelea, Mume wa Waziri Gwajima akana kumtambua Mathias Gwajima kama Baba yake

    Picha ya Marehemu Mzee Stiven Gwajima. Huyu ndiye alikuwa Mkwe wa Waziri wa Afya Dorothy Gwajima. Mzee Stiven Gwajima alifariki dunia tarehe 30/9/2019 jijini Dar es Salaam. Mtoto wake Mwanasheria Msomi Methusela Gwajima amezungumza na #KitengeTV na kusema huyo ndio alikuwa Baba yake na Mkwe wa...
  15. Fundi Madirisha

    #COVID19 Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha. Huyu mtu anarudisha juhudi za...
  16. M

    Bifu lililokuwa la Rayvanny na Harmonize, limemshusha Rayvanny zaidi, nadhani

    Kwa upande wangu naona hili bifu limemuathiri zaidi Rayvanny, nimegundua baada ya kwenda you tube na kuangalia video ya keleb ya Rayvanny, nimesoma comments nikafamu Kuna watu wanetoa negative comments wengi Sana Hali hii haikuwa hapo mwanzoni. Kwani Rayvanny alikuwa na neutral fan base hata...
  17. anonymousafrica

    Bifu la Eminem na Snoop Dogg

    Au niite mgongano (maana halijawa bifu 100%, ila nadhani nimeeleweka kwa huo msamiati) Mwaka jana mwishoni kumeibuka msuguano (kutoelewana) kati ya snoop dogg na Eminem. Kumbuka hawa jamaa wamekuwa karibu kwa mda mrefu bila kusahau wanaunganishwa na Dr Dree (wote ni watu wa karibu na dree na...
  18. sky soldier

    Rafiki yangu katumiwa video WhatsApp na aliekua na bifu naye akimla demu wake, je afanyaje?

    Inauma sana kumuona yule unayempenda akitoa penzi kwa mwengine hasa akiwa adui yako, nazungumzia unaempenda kweli kweli sio hawa ambao tupo nao ilimradi tu. Basi kuna kisa kimempata rafiki yangu, Kwa sasa ana stress nyingi mno, Kaachiwa jeraha kubwa sana moyoni, hata kula ni shida, hana...
  19. dvj nasmiletz

    Dada yako unayempenda sana anataka aolewe na jamaa ambaye una bifu naye la 2-Pac na Big

    Husika na kichwa hapo juu. Utamridhisha dada yako wako wa pekee kwa kuruhusu aolewe naye huyo jamaa ambaye ni paka na panya kati yenu au utamkatalia ili abaki bila furaha (ambayo ndio kitu unapenda awe nacho)
  20. PACHOTO

    Salaam SK- Harmonize bifu hilo kwio

    Msibani Morogoro mazishi ya Mke wa Babu Tale, SALAAM SK mmoja wa mameneja wa Diamond akataa mkono wa HARMONIZE, binfsi sijapenda bifu hadi msibani, kama hasira angekuwa nazo Harmonize kwa zile M600, sio yeye. NB: kumbe WCB walikuwa wanafaidika na uwepo wa TEMBO sasa mambo magumu
Back
Top Bottom