Nimeona review ya Honor Os ni balaa

def_xcode

JF-Expert Member
Jul 25, 2023
596
1,620
Katika pita pita zangu mtandaaoni, nimekutana na review ya device za Huawei na Harmony OS kwa who is the boss.
Aisee Harmony OS ni kali sana, hasa devices zake zinavyopair na kuinteract yani ni instantly.
Mfano unasikiliza mziki kwa kutumia wireless earpods zikiwa connected kwa simu halafu mara unataka zihamie kwa tablet, yani ni kuingia sehemu una drag icon na kuidrop kwenye tablet hapo hapo inahama pasipo kuchelewa ni instant.
Au unatazama video kwa simu halafu ukatamani screen kubwa iwe tanlet au laptop, faster unaipair na kuendelea na kitu kingine kwa simu instantly.
Animations zake ziko so smooth, response yake ni faster.
Halafu japo imefungiwa kutumia huduma za Google, kumbe bado unaweza kuzitumia kwa mlango wa nyuma japo si efficinet mfano app ya YT, ukibofya imafungua kwenye browser ambapo YT haitambui kuwa ni Huawei device.
Ingekuwa ina huduma za Google bila mlango wa nyuma ningedaka moja.
 
Back
Top Bottom