Mwanza mvua inashuka ni balaa. Wakazi wa mabondeni chukueni tahadhari

Nilikua huko wiki kama 2 zimepita mvua ilipiga pale mabatini maji yakawa yanapita juu ya daraja tukazungukia buzuruga..shida ya mwanza hakuna barabara nyingi za michepuko....ile foleni yake ilikua noma..
 
Nchi nzima mvua inanyesha balaa ila mwezi wa Tisa mwakani Tanesco watakuja na Tangazo lao kina cha maji kimepungua kwenye Bwawa A na B hawana njia mbadala wa haya maji au huko Dawasco mqeneo mengi daslm maji ni kwenye madumu miaka nenda rudi..
 
Back
Top Bottom